kwamwewe
JF-Expert Member
- Jul 15, 2010
- 1,908
- 604
Iandike kwa maneno TafadhaliYOHANA 1:12-13,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iandike kwa maneno TafadhaliYOHANA 1:12-13,
Judaism Siyo Dini au ukisema Dini unamaanisha in
Hapo ulipoiona hiyo ayaNikupe translation ipi mkuu KJV, au?
maana christian ni mfuasi wa kristo, sasa kristo atakuaje mkristo wakati yeye mwenyewe ndio kristoKuna baadhi ya vitu hutakiwi kupinga kwa kuwa ni mfuasi wa dhehebu fulani,,,,!!!
Ukweli unabaki palepale kwamba Issa (a.s) was not christian and he will not be christian ever as you claim,,,!!!
Sawa, ko yesu alikuwa wa dini gani???maana christian ni mfuasi wa kristo, sasa kristo atakuaje mkristo wakati yeye mwenyewe ndio kristo
Yesu yeye mwenyewe ndio dini, ndio njiaSawa, ko yesu alikuwa wa dini gani???
Sawa sawa,,,,,,!!!!Yesu yeye mwenyewe ndio dini, ndio njia
Nyie ndio wakristo mnaoendeshwa. Inaonesha hata biblia yenyewe huijui na wala hutaki kuijua. Yesu ni Mwanadamu na alikuwa ni mtume wa Mungu (aliyetumwa na Mungu) kuja kuwaelekeza wanadamu hasa Wayahudi juu ya mwenendo aupendao Mungu mmoja muumba wa kila kitu.Wewe unaumwa nini? Mungu asali kumuomba nani? Mudi ndio anatakiwa asali
Luka 4:16Lakini walimlalamikia hashiki sabato akawaambia Sabato iliumbwa kwa ajili ya mwanadamu na Siyo mwanadamu kwa ajili ya Sabato
Kwa bahati mbaya nasikitika kusema swali lako halina mantiki, Wala hali sound..Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Hili swali walisha lijibu Mzee wa upako na Chalamila hata kabla hawajaulizwa na mtuNawasalimu wote.