Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

Katika ufalme wa mbinguni Yesu ana yakini kuwa hatokuwa nao ila wana wa Israili tu. Injili ya Mathayo inasema...
Maandiko uyasomayo hujakosea na sie tu warithi wa Ibrahim Kwa kununuliwa na Yesu kwa Damu yake. Kiroho wote tu Wana wa Yuda (tuliookolewa na Damu ya Yesu tulip wa Mataifa). Tutaketi kuhukumu.
 
Y
Katika ufalme wa mbinguni Yesu ana yakini kuwa hatokuwa nao ila wana wa Israili tu. Injili ya Mathayo inasema:

Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili,...
Yesu alikuja kwa ajili ya kondoo waliopotea wa Nyumba ya Israeli walipomkataa. Ndio sawa na andiko "alikuja kwa walio wake (Israeli) na hawakumpokea Bali waliompokea aliwavika uwezo kufanyika watoto wa Mungu ndio walitajao jina lake "
 
kumbe yesu alilelewa Nazareth,,,,!!!

Hivi munafahamu hiyo Nazareth iko wapi kwa sasa,,,,,????

Basi ngoja niwadukulie hata kwa uchache.
...
Yani kwavile Muhamad alizaliwa maka akafia madina na huko wote ni waislamu unataka ulazimishe na bethlehem iwe hivo hivo!

Unauhakika baada ya miaka 500 ijayo hiyo maka na madina itakua hivo hivo? Au tutakua na nchi ya Tanzania?

Je unafahamu historia na dini za kirumi miaka ya nyuma then saizi ndio kitovu cha ukatoliki?

Au unasoma stori za madrasa tuu
 
Warumi wa wapi,,,,????

Pale ulaya ya mashariki???

Na kitovu cha ukatoliki si Italia kwa sasa, hata hao watukufu wa kikatoliki ni waitalia, ulaya ya magharibi na sasa wameanza kuwachukua waamerika ya kusini,,,,!!!

Wakatoliki hawatakuja kuwapa uongozi watu wa ulaya mashariki au middle east, kwa sababu the real christians wa middle east and eastern europe ni wanazi wa orthodox church la kigiriki,,,,,!!!!

Haya nenda kagugo tena, na huenda ukawa unagugo machapisho yangu,,,,!!!
 
Yani kwavile Muhamad alizaliwa maka akafia madina na huko wote ni waislamu unataka ulazimishe na bethlehem iwe hivo hivo!

Unauhakika baada ya miaka 500 ijayo hiyo maka na madina itakua hivo hivo? Au tutakua na nchi ya Tanzania?

Je unafahamu historia na dini za kirumi miaka ya nyuma then saizi ndio kitovu cha ukatoliki?

Au unasoma stori za madrasa tuu
Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kupinga kwa kuwa ni mfuasi wa dhehebu fulani,,,,!!!

Ukweli unabaki palepale kwamba Issa (a.s) was not christian and he will not be christian ever as you claim,,,!!!
 
Kwanza Tengua kauli yako huyo Issa mnaemzungumzia kwenye kitabu chenu sio Yesu.. na hizo stories mnazolishana uislamu ulianza kwa Adam mnaonekana kichwani mpo weupe muwe mnasoma historia...
Tatizo unagugo sana, ni heri ungekuwa unagugo na kufanya kopi and paste, umegugo then unaongeza na ya kwako tena kwa chuki,,,,!!!

Relax kidogo nikuhabarishe, uislamu ulikuwapo tangu enzi za adam hadi Issa, then ukapotea kwa sababu baada ya Issa dini mpya zaidi ikazuka nayo ni ukristo, na ndio maana hakuna maelezo kwenye biblia yanayoeleza kama waliokuwapo kabla ya yesu walikuwa wa dini gani kwa sababu huo ukristo hata yesu mwenyewe hautambui na kama anautambua lete andiko.

Tuendelee, ko baada ya yesu kunyanyuliwa mbinguni, na wafuasi wake kudisapia one after another, waliobaki ndio wakaanzisha ukristo wa wafuasi wa wafuasi wa yesu ambao ulikuwa 70% right and the rest was wrong, ko kadri siku zinavyokwenda na ndivyo dini ikawa inakuwa na ugunduzi mpya uliotofautiana na ukweli kiasi kwamba wakweli walikuwa wachache sana, ukisoma historia ya Muhammad kuna maelezo yanasema kuwa ulivyokaribia wakati wa utume wa muhammad kuna baadhi ya mapadri waliofuata mafundisho sahihi ya injili ambao waliwahi kukutana na Muhammad walimwambia kuwa wewe ndiye nabii aliyetabiriwa kwenye injili (kitabu sahihi cha yesu) ko wapo waliomnasihi kujilinda dhidi ya mayahudi ambao kiasili ni maadui wa mitume wote wa Mungu waliopelekwa kwao(ikiwamo yesu) na wapo walimuahidi kuwa ikiwa watakuwa hai hadi atakapopewa utume basi watamwamini, na hakuna maelezo yoyote yanayoeleza kuwa walimpinga kwa sababu wao walikuwa kwenye mafundisho sahihi ya injili na sio biblia (human version yenye mchanganyiko wa maandiko ya Mungu na interest za kibinadamu) na Muhammad hakupigana na wayahudi kwa sababu walimpinga tu bali wao ndio walioanzisha chokochoko dhidi yake na dini yake.

Before muhammad ni waarabu tu walikuwa wakristo, then baada yake walikonvat na kuwa waislamu kwa sababu wengi wao walifahamu imani sahihi iliyokuja kuhuisha imani za mitume waliotangulia, ko muhammad ni muhuishaji wa uislamu in reality na sio founder wa uislamu kama inavyosema gugo.

Haya wenye dini yao walibadili na kuwa waislamu, nyie ukristo mliupatia wapi,,,,???? Ni ulaya,,,!!! Na huo ukristo ulikuwa dini ya mtume gani wa Mungu, hakuna bali ni tawi la shetani ili aweze kuwa na wafuasi wengi.

Na shetani amewin kwenye hilo, ndio maana ukristo upo na nguvu kwa sababu ya wazungu wapokeaji wa dini, ila wanaweza kufanya reforms kinyume na maandiko ya biblia na waafrika mikia mkafuata,,,,,,!!!
 
Yesu alikuwa myahudi.... Na dini ya kiyahudi ipo mpaka leo.... Huo ukristo hakuuacha kwahyo hautambui

Nadhani majibu ushapata, kwahyo msijifariji waisrael weusi✋🏽
Paulo ndo anawatambua ila yesu anawatambua wayahudi🚶🚶
 
Wapi ndani ya biblia imeandikwa kuwa Myahudi ni dini?
 
Y

Yesu alikuja kwa ajili ya kondoo waliopotea wa Nyumba ya Israeli walipomkataa. Ndio sawa na andiko "alikuja kwa walio wake (Israeli) na hawakumpokea Bali waliompokea aliwavika uwezo kufanyika watoto wa Mungu ndio walitajao jina lake "
Wapi ndani ya biblia imeandikwa Yesu aliwavika uwezo kufanyika watoto wa Mungu?
 
Back
Top Bottom