zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,255
Tusichanganyane sasa,hivi Yesu atakuja au sisi ndio tunaenda?
Nawasilisha...
Nawasilisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wenye mauzauza ya kila aina ?Mimi ni muislamu safi, lkn naamini ataenda kusali Kwa walokole
As long as unafuata kweli jibu linaweza kuwa ndio ama sio, imani ndio itakupa kweli na sio dini.Kama dini ni tamaduni za mahali husika je, ni sahihi Sisi kufuata tamaduni za ulaya magharibi na Asia?
Atasali kwenye Kanisa linalotupiwa mawe mara kwa mara na halijitetei - "sikuja kutafuta wenye haki, bali wakosefu ili wapate kuokoka". Angalia pia simulizi la Mwana Mpotevu kwenye Injili ya Luka. Aliyepokelewa kwenye sherehe ni "mwana mpotevu/mkosefu". Yule aliyejiona mwenye haki alikataa kuingia kwenye sherehe. Sherehe hapa ni mfano wa maisha ya heri/paradizo. Wale wanaotambua ukosefu wao wakitubu wanapokelewa. Wale wanaodhani ni wenye haki na kuona hawana cha kutubu kwa sababu wana Mungu na Mungu ana wao, huachwa nje ya sherehe/heri/wokovu/hawatamwona Mungu.Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Atasali kwa wayahudi wenzake.Nawasalimu wote.

Hawatuambii..... ila tunamjua Yesu...Nawasalimu wote.

Atapenda kujua Kama kazi alizowaachia wanafunzi wake zinatekelezwa ikumbukwe aliwaagiza akisema. "Enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili... "
Wengine tunasali popote inapohubiriwa KWELI .........na sisi ndio WATEULE tutakaochukuliwa hatuna baya na mtu.Watu hao wanyenyekevu atakaowachukua wanasali wapi?
Wako katika madhehebu mbalimbali.Watu hao wanyenyekevu atakaowachukua wanasali wapi?
Atasali kwa Wayahudi au Wakatoliki.Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Uislamu ulikuwepo kabla ya ukristo, kwa sababu uislamu ulianza kwa adamu, Idrisa, nuh, Ibrahim,(Abraham) Issa (Yesu) , Muhammad hadi kutufikia sisi na wajao,.Unaamini kwamba Hakuna Uislamu bila Ukristo? Ukristo ndio chanzo cha uislamu?
Walokole ndiyo kina nani hao?Mimi ni muislamu safi, lkn naamini ataenda kusali Kwa walokole