Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

dini ya kweli ni kuwasaidia wajane na yatima.
Alisema : MAMA na ndugu zangu ni wale ..........

Kwa HIO HAPO naona kabisa km haujaenda kanisa la Irene Uwoya basi ataenda lile kanisa la Giggy kwa Nwamposa hatofika kabisa
 
  • Yesu hana dini
  • Huwa ni sherehe ya idi au mkutano wa idi? Kumbuka Quran ime-copy kutoka kwenye Biblia ndiyo maana baadhi ya huwa ni tofauti. Rejea Yesu na Issa utagundua ni watu tofauti
Alafu mwambie Idi ni Jina la MTU km alivyo Issa
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?
Thread yako umeleta kishabiki pasipo kutafakari. Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu
Yesu hana dini wala hafungamani na dhehebu lolote, ukimuamini Yesu kristo wa Nazareti aliyehai na ukatenda mema
 
Kwanini, umekuwepo msisitizo wa dini yaani ukiwaambia watu namwamini Mungu watakuuliza unasali dini ipi? Ukiwaambia Mkristo watakuuliza dhehebu!!
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.
Yesu hana dini
 
Sielewi kwanini bangi Kwa bongo ni haramu? itabidi ihararishwe tuu na hakuna sababu yeyote ya kuifungia, sigara ina madhara kuliko bangi kiafya, bangi ni nzuri na itaongeza mapato ya Kodi kuliko hata pombe na itasaidia wakulima kujiongezea kipato
 
lakini RC Bikra maria tunaaminishwa ni mama wa Mungu katika Kristo yesu.
Swali : MUNGU alivyosema "tumfanye MTU kwa mfano WETU" inamaanisha nini WETU inamaana gani?

Elewa Neno mfano
Elewa Neno WETU

SIO Mifano YETU ni Mfano WETU

Mfano UPI?

WETU wangapi? MUNGU alikua na wakina Nani? Malaika Mikael na Gabriel?

Akampulizia PUMZI ya UHAI maana yake akaingia ndani yake maana yake PUMZI ni sehemu yake MUNGU HIO ni maana kwamba kila binadamu ana MUNGU ndani yake
 
Muislamu utaelezeaje historia ya Yesu ambaye ninyi mnamfananisha na uyo mtu wenu mnaemuita Nabii Issa.

Hao ni watu wawili tofauti

Kingine mnatumia nguvu kubwa sana kujilinganisha na ukristo kwa kutohoa story na kuongeza hadithi zenu

Ilihali uislamu wenu ulianzishwa na huyo Mohammed wenu miaka 500 baada ya Yesu kuondoka ... Na Bado mnasema alikua ni Muislam.

Kuelezea kitu usichokuwa na imani nacho huku ukiwana chuki utakielezea kwa kutokueleza ukweli
Nyie endeleeni na mtu wenu huyo
Kasomeeee,,,,,,!!!!

Acha kukariri, haya elezea wewe kile unachokifahamu,,,,,,!!!!

Hao wachungaji na mapadri ambao ni wajuzi zaidi kuzidi wa ukristo kuzidi wewe hawakapingi kuwa yesu na Issa is the same, we ni nani hadi upinge,,,!!!

We una elimu gani ya dini na umeipatia wapi???

We subiri ikifika siku ya ibada uwapelekee maokoto huku ukivirigwa,,,!!!!
 
Lakini Yesu huyo anafukuza majini yenu na mapepo yenu yanamuogopa
Hizo ni fallacies au propaganda dhidi ya uislamu, hakuna ukweli wowote, na kuthibitisha ujinga wenu huwa mnabeba uzushi wa namna hiyo na kuuamini!

Kama ingelikuwa kuna ukweli katika hayo ya majini na mapepo basi kesi za mapepo zingelikuwa nyingi msikitini, ushawahi kusikia msikitini kuna mapepo au majini, sa nenda kanisani kila uchwao wao na maombezi, maombezi na wao,. Wajanja wanatake advantage kwa ujinga wenu wa bendera kufuata upepo!!!!
 
Mapepo na majini yetu umewahi kuyaona wapi?

Unaamini kwamba Hakuna Uislamu bila Ukristo? Ukristo ndio chanzo cha uislamu?
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?
Yesu au Isa bin Maryam ni muislamu na sisi tunaamini kulingana na habari alizozitoa Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم kwanza hajawahi kufa Wala kufufuka na Allaah alimpaisha mbinguni kabla mikono michafu ya wayahudi haijamgusa. Na atarudi duniani kabla ya siku ya kiyama, atavunja misalaba na kuua nguruwe. Na ataswali msikitini pamoja na waislamu. Na wakati huo Wakristo wengi watasilimu.
 
Hatakuja kusali tena bali atakuja
1.Mara ya kwanza kulinyakua Kanisani lake,(Yohana14:1-3)(1Wathesalonike4:13-17) (1Wakorintho15:51-53)
2.Mara ya pili Kuja kutawala na Kanisa lake miaka 1000,
(Ufunuo19:11-16)
(Ufunuo20:1-4)
 
Sijui atakaposali ila tu nikuambie watu wote wataalikwa katika makutano ya bwana kasoro wewe tu kwa ajili ya upotevu wako wa akili
 
Atapenda kujua Kama kazi alizowaachia wanafunzi wake zinatekelezwa ikumbukwe aliwaagiza akisema. "Enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili... "
Atasali makanisa yote ni baba wa ukristo bila kujali kanisa
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?
Tafuta ela ndg, uwaachie watoto urithi
 
Hakuna kitu na huyo kiumbe hayupo zaidi hizo ni story tu za watu weupe basi
 
Yesu atarudi duniani mara 2, ya kwanza kunyakua kanisa ambapo watakaokuwa tayari muda hua anaporudi duniani watanyakuliwa kumbuka hapo anaporudi mara hiyo walio tayari tu ndio watakao muona na ataishia mawinguni hivyo hatasali kokote maana hagusi ardhi.
Mara ya 2 atarudi duniani kumaliza ugomvi wa dunia na Israel ambapo ataanzisha utawala wa miaka 1000 na ambapo hakutokuwa tena na madhehebu haya sijui kkkt, eagt, rc, n.k bali kutakuwa na dini/imani moja tu na kila mwaka watu wataenda Yerusalemu kumuabudu.

Kama huna ushahidi, huna haki ya kuongea!!

Leta andiko tujisomee wenyewe.
 
Back
Top Bottom