Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

Yesu hakuwa mkristu, wala hakuanzisha kanisa. Alisali na Jews wenzake na akirudi ataenda huko "kama ilivyo desturi yake"
Haya makanisa yameanzishwa baadae na kutumia jina lake kupata "mileage"
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?
Hana dini,Dini tumezianzisha sisi wanadamu na kuzisajili ili kuwanyonya wana usharika 😀
 
Yesu hakuwa mkristu, wala hakuanzisha kanisa. Alisali na Jews wenzake na akirudi ataenda huko "kama ilivyo desturi yake"
Haya makanisa yameanzishwa kwa kutumia jina lake tu, kupata "mileage"
Hakwenda sawa na Wayahudi ndipo akatoa ufafanuzi wa Dini ya kweli,Hiyo dini ya kweli haina uislam wala ukristo wala uo uyahudi
 
Yesu hatakuja kwakua hakuna alipo enda...nawala hakuwahi kuwepo hapa duniani.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Hakwenda sawa na Wayahudi ndipo akatoa ufafanuzi wa Dini ya kweli,Hiyo dini ya kweli haina uislam wala ukristo
Hakwenda sawa na Jews lakini sio dini yao. Hakuwahi kuikana Torati.
Mambo ya uislam na ukristu yalikuja baadae wakati Yesu hayupo duniani
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?
Swali la Mwalimu Asubuhi Otieno wa UoA. Jibu lake atasali siku ya Sabato kama ilivyokuwa desturi yake.
 
Jinsi gani tunaweza kuwatofautisha na wengine ??QUOTE="ammoshi, post: 50413104, member: 150385"]
Kanisa la Yesu sio majengo, ni watu. Mwili wake haujajengwa na "organization" Bali umejengwa na watu wanaomfuata.
[/QUOTE]
 
Mkuu n
Yesu hatakuja kusali.. atakuja kuhukumu waliohai na wafu..

Biblia imeelezwa yote hayo nashangaa unavyopotosha

Kingine inaonesha ulivyo mweupe kichwani haujui nini unaandika wala haujui nini maana ya Imani..
Ni itifaki Mfalme anapotembelea mahali hufika kwa wenyeji Fulani! Na hapa hupokea taarifa za kinachoendelea (briefing) ndiyo maana Malaika walioshuka waliomtembelea Ibrahim walifanya hivyo.

Kwahiyo Yesu akija kuchukua walio wake atafikia wapi?
 
Sabato ndio amri ya milele kwa hiyo hizo dini ulizozitaja zote zina nadharia ya kutimiza sabato ya kweli

Dini zimeundwa kwa matakwa ya jamii fulani ni kama desturi za jamii za wakati huo

Kwa hiyo mungu hana dini bali sabato yako ina imani ya kweli ya kuishi katika amri zake kwa kufanya matendo mema katika maisha yako.
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?

Yesu ndo Kanisa. Hakuanzisha Kanisa. Alianzisha imani. Ndo maana hakuwa na Kanisa aliloanzisha.
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?
Yesu atarudi duniani mara 2, ya kwanza kunyakua kanisa ambapo watakaokuwa tayari muda hua anaporudi duniani watanyakuliwa kumbuka hapo anaporudi mara hiyo walio tayari tu ndio watakao muona na ataishia mawinguni hivyo hatasali kokote maana hagusi ardhi.
Mara ya 2 atarudi duniani kumaliza ugomvi wa dunia na Israel ambapo ataanzisha utawala wa miaka 1000 na ambapo hakutokuwa tena na madhehebu haya sijui kkkt, eagt, rc, n.k bali kutakuwa na dini/imani moja tu na kila mwaka watu wataenda Yerusalemu kumuabudu.
 
Back
Top Bottom