Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

Dini Gani wanaoingia msikitini?
Luka 4:16
Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake.
kumbe yesu alilelewa Nazareth,,,,!!!

Hivi munafahamu hiyo Nazareth iko wapi kwa sasa,,,,,????

Basi ngoja niwadukulie hata kwa uchache.

Tuanze na sehemu aliyozaliwa, ni kule bethlehem au waarabu wanapaita bait alrahma, sehemu yenye historia katika kisa cha israi na miraj, sehemu hii ipo palestina na ni moja kati ya sehemu za kihistoria na zenye heshima kubwa kwa wapalestina na waislamu.

Kutoka bethlehem mpaka Nazareth sehemu alikokulia, sehemu hii ipo eneo linalokaliwa kimabavu na Israel, ni sehemu inayokaliwa na waarabu waislamu na wayahudi sijapata kuona maelezo kuhusu ukazi wa wakristo katika eneo hilo, pia napo ni mahali penye historia na heshima kwa wapalestina,.

Swali kwenu, maelezo yanasema kuwa sehemu zote mbili bethlehem na Nazareth ni makazi ya waislamu kwa sasa, je kwanini sehemu hizo hazionekani kupewa nafasi kubwa sana kwa wakristo kama mnavyoipa thamani vatican, uingereza kwenye familia ya kifalme, au Marekani wakati sehemu hizo hazina uhusiano wowote na yesu (mwokozi) au wafuasi wake, kwa nini iko hivyo???
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?

Ataendelea kusali kama ilivyokuwa desturi yake alivyokuwa hapa duniani👇👇👇👇

Luka 4:16
[16]Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
And he came to Nazareth, where he had been brought up: and, as his custom was, he went into the synagogue on the sabbath day, and stood up for to read.
 
Yesu ndiye kuhani mkuu, wale walio wake ndio watamfuata.

Kanisa ni la Kiristo, waumini ni wale walio mwamini na kumkiri kuwa bwana na mwokozi wetu.

Hawa watu naamini watapatikana kutoka katika madhehebu mbalimbali.
Sharti wawe wamemwamini na kumkiri Yesu Kristo.

In theory katika ukiristo ilitakiwa iwepo dini moja tuu. But kutokana na udhaifu wetu , ndio kumekuwepo madhehebu mengi katika ukiristo.

Key note, ni kumkiri na kumuamini Yesu Kristo
Ukimwamini utampenda, ukimpenda utazishika sheria zake.
Sheria zake ziko kwenye bible.
Hapo sasa ndio tunaanza kutofautiana.
Kwa nini tunatofautiana?
Sababu sisi ni dhaifu, katika udhaifu huo shetani nae anapitia hapohapo.

Lakini Habari njema ni kwamba katika Kristo UDHAIFU unaondolewa.
 
Mkuu n
Ni itifaki Mfalme anapotembelea mahali hufika kwa wenyeji Fulani! Na hapa hupokea taarifa za kinachoendelea (briefing) ndiyo maana Malaika walioshuka waliomtembelea Ibrahim walifanya hivyo.

Kwahiyo Yesu akija kuchukua walio wake atafikia wapi?

Wapi katika biblia imeandikwa Yesu akija mara ya Pili Duniani atakuja kusali..?

Biblia ni kitabu kilichojitosheleza Nje na maneno unayoyaongeza ni batili..

Ukionesha palipoandkwa Yesu akirudi Duniani mara ya pili atakuja kusali nitakuwa na sababu ya kujibu Hoja yako.

Hata hicho unachoamini kwamba atarudi umekisoma katika biblia basi nioneshe pia katika biblia hiyo ambapo yesu akirudi atakuja kusali .

Hakuna maandiko ya namna hiyo..
 
Mkuu n
Ni itifaki Mfalme anapotembelea mahali hufika kwa wenyeji Fulani! Na hapa hupokea taarifa za kinachoendelea (briefing) ndiyo maana Malaika walioshuka waliomtembelea Ibrahim walifanya hivyo.

Kwahiyo Yesu akija kuchukua walio wake atafikia wapi?
Nioneshe katika Biblia palipoandkwa Yesu akirudi mara ya pili atakuja kusali

Kwakuwa unaamini kwamba atarudi mara ya pili na umeamini hivyo baada ya kusoma katika biblia . Basi katika biblia hiyo hiyo nioneshe palipoandikwa ikiwa akija atakuja kusali .
Kuna uwezekano mkubwa tukawa tunajibu swali kwa mtu ambaye hajui mamlaka aliyo nayo Yesu ni Yapi na kwanini alisema atarudi mara ya Pili.

Biblia imeeleza yote hayo.. na kwa mtiririko
 
kumbe yesu alilelewa Nazareth,,,,!!!

Hivi munafahamu hiyo Nazareth iko wapi kwa sasa,,,,,????

Basi ngoja niwadukulie hata kwa uchache.

Tuanze na sehemu aliyozaliwa, ni kule bethlehem au waarabu wanapaita bait alrahma, sehemu yenye historia katika kisa cha israi na miraj, sehemu hii ipo palestina na ni moja kati ya sehemu za kihistoria na zenye heshima kubwa kwa wapalestina na waislamu.

Kutoka bethlehem mpaka Nazareth sehemu alikokulia, sehemu hii ipo eneo linalokaliwa kimabavu na Israel, ni sehemu inayokaliwa na waarabu waislamu na wayahudi sijapata kuona maelezo kuhusu ukazi wa wakristo katika eneo hilo, pia napo ni mahali penye historia na heshima kwa wapalestina,.

Swali kwenu, maelezo yanasema kuwa sehemu zote mbili bethlehem na Nazareth ni makazi ya waislamu kwa sasa, je kwanini sehemu hizo hazionekani kupewa nafasi kubwa sana kwa wakristo kama mnavyoipa thamani vatican, uingereza kwenye familia ya kifalme, au Marekani wakati sehemu hizo hazina uhusiano wowote na yesu (mwokozi) au wafuasi wake, kwa nini iko hivyo???
Muislamu utaelezeaje historia ya Yesu ambaye ninyi mnamfananisha na uyo mtu wenu mnaemuita Nabii Issa.

Hao ni watu wawili tofauti

Kingine mnatumia nguvu kubwa sana kujilinganisha na ukristo kwa kutohoa story na kuongeza hadithi zenu

Ilihali uislamu wenu ulianzishwa na huyo Mohammed wenu miaka 500 baada ya Yesu kuondoka ... Na Bado mnasema alikua ni Muislam.

Kuelezea kitu usichokuwa na imani nacho huku ukiwana chuki utakielezea kwa kutokueleza ukweli
Nyie endeleeni na mtu wenu huyo
 
Kiumbe anaeitwa yesu hajawahi kutokea katika ulimwengu ulilishwa matango pori.
 
Nawasalimu wote.

Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.

Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.

Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!

Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!

Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?

Je, ni kitu gani hawatuambii?
Kuhusu dini ni swala la kiimani zaidi na jinsi ulivyo soma na kuhadithiwa fasihi simulizi katika vitabu vya kidini...dini ni imani kwahyo dini ya kweli ni wewe na Mungu wako. Katika biblia ya RC kipo kipengele kinasema dini ya kweli ni kuwasaidia wajane na yatima. haya madhehebu yasituchanganye ni jinsi ya kuwasilisha ujumbe katika kuaminisha ulimwengu juu ya uwepo wa Mungu.... Ukija upande wa walokole na madheheb mengine ya kikristo hawaamini katika bikira Maria lakini RC Bikra maria tunaaminishwa ni mama wa Mungu katika Kristo yesu. Swala la Dini ni personally zaid tofauti na watu wanavyolichukulia pia tuje tutofautishe kati ya Dini na Imani juu ya uwepo wa Mungu hivi vitu ni tofauti Dini ni njia ya kutuwezesha kuamini katika uwepo wa Mwenyezi Mungu. Kama dini ina mkanganyiko basi bila shaka kufikisha ujumbe kwa waumini juu ya uwepo wa Mungu nao pia utatia mashaka kiufupi sisi sote waumini wa kikristo achilia mbali madhehebu bado tupo katika giza nene la wenye kukosa maarifa juu ya kipi ni kweli na kipi sio sahihi.
 
Msikitini
Bisha sasa
Tulianzishe maana hamchelewi
Tutagombana kwa yajayo
 
Hilo jakamoyo lipo wazi.
Hosea 9:5
Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa idi, na katika siku ya karamu ya BWANA?
  • Yesu hana dini
  • Huwa ni sherehe ya idi au mkutano wa idi? Kumbuka Quran ime-copy kutoka kwenye Biblia ndiyo maana baadhi ya huwa ni tofauti. Rejea Yesu na Issa utagundua ni watu tofauti
 
Back
Top Bottom