Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

Yesu ni dini gani? Yesu hana dini na hakuja kutangaza dini. Kasome The holy bible tena
na wote walikuwa madalali maana bila wao uwezi kujua dini zao na bila kwenda kwa mungu
 
Weka maandiko mezani. Umesimuliwa na shekh wako kuhusu Issa nawe umeyaweka Kwa Yesu.
Yesu siyo Issa 100%
Yesu kafanya Sana Biashara ya furniture. Maana hata kazi za kiroho alianza akiwa na takribani miaka27.

Nazareti nzima walimjua Kama fundi. Alikuwa atengenezi vya kutumia. Alikuwa anauza.

Kwa sasa tuseme angekuwa ni wamiliki maduka makubwa ya furniture.
 
Acha utapeli lete hayo maandiko. Unalalamikia utapeli nawe unatutapeli mchana kweupe?
Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.

Unataka maandiko gani tena mkuu?
 
Tujadili kidogo.

Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo.

Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali,kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi

TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture)lakini hakutenda dhambi?

Mtume Mohammad SAW alikuwa mfanyabiashara muaminifu Sana chini ya Khadija. Akifanya Biashara Kati ya saudia na Syria. Alikuwa amenyooka.

Tunafeli wapi wakuu.

Karibuni
Yesu hajawahi kufanya biashara yoyote na aliwachukia sana,kule hekaluni alitimua wamachinga kwa kupiga teke meza zao,
 
Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.

Unataka maandiko gani tena mkuu?
Baba yako akiwa dereva na wewe dereva?
 
Kwani akiwa selemala automatically anakuwa mfanyabiashara?
mbona unashinda kuelewa vitu rahisi? Kama umeweza kirahisi kuleta mstari wa kuonesha alikuwa selemala, kipi kinakushinda kuonesha sehemu ambayo alikuwa mfanyabiashara?
Wengine wanakataa kabisa kuwa hakuwa selemala
 
Yesu hajawahi kufanya biashara yoyote na aliwachukia sana,kule hekaluni alitimua wamachinga kwa kupiga teke meza zao,
Yesu alikuwa anapenda Sana Biashara. Ila alichukia Sana kufanya Biashara makanisani Kama siku hizi wanauza Hadi kokoto za upako.

Akifanya Biashara kwao na anajua Biashara. Na kaagiza

Lka 19;13
Akawaita watumishi wake, akawapa pesa, akasema fanyeni Biashara hata nitakaokuja.
 
Baba yako akiwa dereva na wewe dereva?
Kuna sehemu kaitwa mwanawa selemala.

Mimi nazungunziaMarko inayomuitaDelemala.

Kwa hiyo unadhani Yesu alikuwa idle tu miaka karibu 15 kabla ya kuanza ministry yake?
 
🤣🤣🤣

Kisa Yusuph Baba yake alikuwa seremala
Ilikuwa family business.
Mbona hamtaki kifungu kinachosema Yesu ni selemala na hakisemi ni mtoto wa selemala. Kiko Marko. Nimetoka hapo ju
 
Back
Top Bottom