Wanakosea. Yesu alikuwa Selemala, mwana wa selemala. Waliokaa na ma selemala tunajua kuwa ni rahisi sana kuwa mpiga randa kama home kuna kijiwe. So sioni kama ni shida.Wengine wanakataa kabisa kuwa hakuwa selemala
Hii iko wazi bossMarko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.
Kuwa. Yesu alifanya biashara ya samani!Unataka maandiko gani tena mkuu?
Sawa.Ndugu, usiwe mzito kuelewa. Kwa Mungu hakuna linaloshindikana, kukuta lodge zimejaa, that was a cause to go to the hut, lakini wangeweza kukuta vyumba bado vipo kwenye lodge. Kwa hiyo hapa ilikuwa shabaha ya Mungu itimie!
Muzee hakuna haja ya kurudia mambo ya selemala. Biblia iko wazi na hata unayemnukuu kakubali. Ambacho unatulazimisha tukubali bila ushahidi ni kuwa Yesu alifanya biashara. Hiyo ni speculation. Kama ungesema kwenye uzi wako kuwa unabahatisha kuwa yawezekana Yesu alifanya biashara, ungeeleweka.Unaargue kupitia biblia au Kanisa.?
Yesu alikuwa Selemala. Fungu lipo kwenye Uzi. Yesu akisema fanyeni Biashara hata nitakapokuja. Unataka kupotosha akifanya Biashara duniduni wakati yeye anasisitiza tufanye Mambo makubwa kuliko yeye.?
Acha kumuhafifisha masihi mkuu
Hahaha sasa hautaki mkuu.Hii iko wazi boss
Kuwa. Yesu alifanya biashara ya samani!
Ni sawa kusema hata petro mvuvi hakuwa mfanya Biashara alikuwa anavua tu kwenye Nashua Kisha sijui anagawa au anawarudisha samaki majini?Muzee hakuna haja ya kurudia mambo ya selemala. Biblia iko wazi na hata unayemnukuu kakubali. Ambacho unatulazimisha tukubali bila ushahidi ni kuwa Yesu alifanya biashara. Hiyo ni speculation. Kama ungesema kwenye uzi wako kuwa unabahatisha kuwa yawezekana Yesu alifanya biashara, ungeeleweka.
Lakini kugeuza speculations kuwa fact hapo ndipo tunakataa na tunadai ushahidi. Sasa kumaliza maneno basi kubali kuwa umekosea au leta mstari husika unaosema wazi kuwa Yesu alifanya biashara.
Kuendelea kukomaa ni kukosa uungwana!
Hata hiyo biashara alikuwa nayo? Maana baba yake ndiye alikuwa anafanya hii kazi. So ni rahisi kuamini Yusufu alikuwa mfanyabiashara wa samani kwa sababu angalau alikuwa na jukumu la kulisha familia. Sasa Yesu ni wapi umepata alikuwa na biashara, acha tu kufanya biashara? Hiyo ni interpolation yako tu.Hahaha sasa hautaki mkuu.
Au alikuwa na charity ya kugawa furniture?
Yesu alikuwa na makazi ya kudumu.Hakuwa na makazi ya kudumu kama wengine. Alikuwa anatembea na kufundisha, kambi popote!
Biblia imesema Yesu alikuwa Selemala. Ambaye Baba yake alikuwa Selemala pia.Hata hiyo biashara alikuwa nayo? Maana baba yake ndiye alikuwa anafanya hii kazi. So ni rahisi kuamini Yusufu alikuwa mfanyabiashara wa samani kwa sababu angalau alikuwa na jukumu la kulisha familia. Sasa Yesu ni wapi umepata alikuwa na biashara, acha tu kufanya biashara? Hiyo ni interpolation yako tu.
Nimekuonesha interest ya Yesu toka mdogo ilikuwa ni kufundisha na kujadiliana na waalimu wa torati. Sasa basi tuoneshe mstari unaosema Yesu alikuwa mfanyabiashara. Uzuri wote tunaokuhoji tunaamini Biblia inachosema, hivyo ukileta andiko kazi yako itakuwa rahisi.
Mbona unakwepa sasa? Anyway hii itakuwa message yangu ya mwisho. Nitabakia kusoma kuona kama utaleta mstari husika...!
Kwani ukiwa mwana wa Daktari lazima weww uwe daktari? Biblia inayema alikuwa Mwana wa Seremala ikimaanisha kuwa Seremala ni Yoseph na sii YesuMarko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.
Selemala lazima ajue marketing vinginevyo majochi, sofa, vigoda au top za Milango zitamdodea.
Yesu alikuwa smart Sana. Haijaandikwa kufeli katika industry yake hiyo ya kuuza bidhaa za mbao
Biblia hausemi hivyo.Kwani ukiwa mwana wa Daktari lazima weww uwe daktari? Biblia inayema alikuwa Mwana wa Seremala ikimaanisha kuwa Seremala ni Yoseph na sii Yesu
Sasa mkuu, ina maana Yesu alikua anakula bure kwao mpaka alipoanza kuhubiri?Hata hiyo biashara alikuwa nayo? Maana baba yake ndiye alikuwa anafanya hii kazi. So ni rahisi kuamini Yusufu alikuwa mfanyabiashara wa samani kwa sababu angalau alikuwa na jukumu la kulisha familia. Sasa Yesu ni wapi umepata alikuwa na biashara, acha tu kufanya biashara? Hiyo ni interpolation yako tu.
Nimekuonesha interest ya Yesu toka mdogo ilikuwa ni kufundisha na kujadiliana na waalimu wa torati. Sasa basi tuoneshe mstari unaosema Yesu alikuwa mfanyabiashara. Uzuri wote tunaokuhoji tunaamini Biblia inachosema, hivyo ukileta andiko kazi yako itakuwa rahisi.
Mbona unakwepa sasa? Anyway hii itakuwa message yangu ya mwisho. Nitabakia kusoma kuona kama utaleta mstari husika...!
Wanakijiji wenzake wanaonyesha walimfahamu Yesu kama Mtu wa kawaida tu Seremala.Biblia hausemi hivyo.
Nimekupa hapo juu biblia inasema ni Selemala. Marko 6:3
Biblia haisemi alikuwa anafanya nini. So chochote utakachosema ni speculation!Sasa mkuu, ina maana Yesu alikua anakula bure kwao mpaka alipoanza kuhubiri?
Anatengeneza samaniAlikua ni Seremala na Marko 6;3 wanakijiji wenzake wanamtambua kama Fundi.Sasa kwa akili ya kawaida Fundi anafanya nini?
Ukichukua logic ya kawaida basi Biblia achana nayo. Punda wa Baalam kuongea ni logic ya kawaida? Au mtu kufufuka baada ya siku nne? Biblia inapaswa uifuate kama ilivyo au uachane nayo. Hizi speculations zako zina tofauti gani na wanaosema Yesu alikwenda India na alioa? Mna tofauti gani sasa?Vitu vingine ni Logic tu ya kawaida.
Nasubiri mstari...!Lazima kwa namna moja Yesu alikua anafanya biashara ya kujikimu na kuingiza familia kipato.
Samani ili azifanye nini azile au.Biblia haisemi alikuwa anafanya nini. So chochote utakachosema ni speculation!
Anatengeneza samani
Ukichukua logic ya kawaida basi Biblia achana nayo. Punda wa Baalam kuongea ni logic ya kawaida? Au mtu kufufuka baada ya siku nne? Biblia inapaswa uifuate kama ilivyo au uachane nayo. Hizi speculations zako zina tofauti gani na wanaosema Yesu alikwenda India na alioa? Mna tofauti gani sasa?
Au labda niulize swali.Furniture alikuwa anamtengenezea Nani Kama hakuwa nawateja?Kwani akiwa selemala automatically anakuwa mfanyabiashara?
mbona unashinda kuelewa vitu rahisi? Kama umeweza kirahisi kuleta mstari wa kuonesha alikuwa selemala, kipi kinakushinda kuonesha sehemu ambayo alikuwa mfanyabiashara?