Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

Wengine wanakataa kabisa kuwa hakuwa selemala
Wanakosea. Yesu alikuwa Selemala, mwana wa selemala. Waliokaa na ma selemala tunajua kuwa ni rahisi sana kuwa mpiga randa kama home kuna kijiwe. So sioni kama ni shida.
 
Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.
Hii iko wazi boss
Unataka maandiko gani tena mkuu?
Kuwa. Yesu alifanya biashara ya samani!
 
Ndugu, usiwe mzito kuelewa. Kwa Mungu hakuna linaloshindikana, kukuta lodge zimejaa, that was a cause to go to the hut, lakini wangeweza kukuta vyumba bado vipo kwenye lodge. Kwa hiyo hapa ilikuwa shabaha ya Mungu itimie!
Sawa.
Ila kutafuta gesti maana yake unayopesa. Kusema alizalia zizini kwa sababu ya umasikini ni kupotosha kauli za Mungu
 
Unaargue kupitia biblia au Kanisa.?
Yesu alikuwa Selemala. Fungu lipo kwenye Uzi. Yesu akisema fanyeni Biashara hata nitakapokuja. Unataka kupotosha akifanya Biashara duniduni wakati yeye anasisitiza tufanye Mambo makubwa kuliko yeye.?

Acha kumuhafifisha masihi mkuu
Muzee hakuna haja ya kurudia mambo ya selemala. Biblia iko wazi na hata unayemnukuu kakubali. Ambacho unatulazimisha tukubali bila ushahidi ni kuwa Yesu alifanya biashara. Hiyo ni speculation. Kama ungesema kwenye uzi wako kuwa unabahatisha kuwa yawezekana Yesu alifanya biashara, ungeeleweka.

Lakini kugeuza speculations kuwa fact hapo ndipo tunakataa na tunadai ushahidi. Sasa kumaliza maneno basi kubali kuwa umekosea au leta mstari husika unaosema wazi kuwa Yesu alifanya biashara.

Kuendelea kukomaa ni kukosa uungwana!
 
Ni sawa kusema hata petro mvuvi hakuwa mfanya Biashara alikuwa anavua tu kwenye Nashua Kisha sijui anagawa au anawarudisha samaki majini?

Alikuwa anafanya uselemala ili iweje? Jibu apate kipato. Sasa huoni hii ni Biashara au Biashara ni nini.

Unajua hata yeye anakushangaa mkuu unavyokomaa
 
Hahaha sasa hautaki mkuu.
Au alikuwa na charity ya kugawa furniture?
Hata hiyo biashara alikuwa nayo? Maana baba yake ndiye alikuwa anafanya hii kazi. So ni rahisi kuamini Yusufu alikuwa mfanyabiashara wa samani kwa sababu angalau alikuwa na jukumu la kulisha familia. Sasa Yesu ni wapi umepata alikuwa na biashara, acha tu kufanya biashara? Hiyo ni interpolation yako tu.

Nimekuonesha interest ya Yesu toka mdogo ilikuwa ni kufundisha na kujadiliana na waalimu wa torati. Sasa basi tuoneshe mstari unaosema Yesu alikuwa mfanyabiashara. Uzuri wote tunaokuhoji tunaamini Biblia inachosema, hivyo ukileta andiko kazi yako itakuwa rahisi.

Mbona unakwepa sasa? Anyway hii itakuwa message yangu ya mwisho. Nitabakia kusoma kuona kama utaleta mstari husika...!
 
Hakuwa na makazi ya kudumu kama wengine. Alikuwa anatembea na kufundisha, kambi popote!
Yesu alikuwa na makazi ya kudumu.
Na akimaliza mizunguko alikuwa anarudi kwao nazareti pia. Ndio maana ndugu zake waliowahi kumuambia aondoke aende Yerusalem akajionyeshe. Hayo mazungumzo yalikuwa wakiwa kwao.

Alikuwa akirun ile familia inaonekana Baba yake alikufa mapema.
 
Hata hiyo biashara alikuwa nayo? Maana baba yake ndiye alikuwa anafanya hii kazi. So ni rahisi kuamini Yusufu alikuwa mfanyabiashara wa samani kwa sababu angalau alikuwa na jukumu la kulisha familia. Sasa Yesu ni wapi umepata alikuwa na biashara, acha tu kufanya biashara? Hiyo ni interpolation yako tu.

Nimekuonesha interest ya Yesu toka mdogo ilikuwa ni kufundisha na kujadiliana na waalimu wa torati. Sasa basi tuoneshe mstari unaosema Yesu alikuwa mfanyabiashara. Uzuri wote tunaokuhoji tunaamini Biblia inachosema, hivyo ukileta andiko kazi yako itakuwa rahisi.

Mbona unakwepa sasa? Anyway hii itakuwa message yangu ya mwisho. Nitabakia kusoma kuona kama utaleta mstari husika...!
Biblia imesema Yesu alikuwa Selemala. Ambaye Baba yake alikuwa Selemala pia.

Sasa Selemala Yesu usimfiche kwenye uselemala wa Baba yake aonekane kana kwamba alikuwa anazuga tu au anasaidiasaidia.

Wanakijiji wamesema ni Selemala. Selemala sio shemasi au mmishonari ni mfanyabiashara.

Maswala ya kufundisha ni sku moja tu kwenye sikukuu. Tena wazazi wakamtafuta wakaondoka naye kurudi kwao huko nazareti aendelee na shughuli zake za Biashara ya samani.

Ila ulipotimia utimilivu wa wakati, aliingia kwenye harakati za wokovu kwa muda mfupi tu miaka 3
 
Marko 6:3
[3]Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.

Is not this the carpenter, the son of Mary, the brother of James, and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us? And they were offended at him.

Selemala lazima ajue marketing vinginevyo majochi, sofa, vigoda au top za Milango zitamdodea.

Yesu alikuwa smart Sana. Haijaandikwa kufeli katika industry yake hiyo ya kuuza bidhaa za mbao
Kwani ukiwa mwana wa Daktari lazima weww uwe daktari? Biblia inayema alikuwa Mwana wa Seremala ikimaanisha kuwa Seremala ni Yoseph na sii Yesu
 
Mmoja ndio alikuwa mfanya biashara kabisa. Alianza kuwasindikiza wajomba zake na baadaye akawa konki master kwenye biashara tena za kimataifa

Kule kwenye mataifa ndiko alikokuta watu wa kitabu wanahubiri Mungu mmoja asiye onekana, wakati baba na babu zake walikuwa wanaabudu kwenye miamba

Akatafakari ikabidi aibadilishe jamii yake kwa kuanzisha imani nyingine ila equation aliyoitumia kutengeneza mwongozo anajua mwenyewe maana alichukua maneno mengi ya watu wa kitabu akaleta hybrid na akawaambia wafuasi kuwa imani hii ilikuwepo toka adam kumbe material kachukua kwenye al kitab na kutumia mfano wa mbayuwayu ( za kuambiwa.....)

Alijua kabisa kwenye biashara huwezi kufanikiwa bila kukopa na yeye kama mfanya biashara nguli alilijua lakini akawaambia wafuasi wake wasikope au kukopesha kwa riba. Na wafuasi wake wanatumia huo huo mfano wa mbayuwayu kwenye kusema wanasema lakini kwenye biashara kama kawa wanakopesha na kukopa kwa riba. Wanaweze kubadilisha jina wakaita faida lakini kitu ni kile kile
 
Kwani ukiwa mwana wa Daktari lazima weww uwe daktari? Biblia inayema alikuwa Mwana wa Seremala ikimaanisha kuwa Seremala ni Yoseph na sii Yesu
Biblia hausemi hivyo.
Nimekupa hapo juu biblia inasema ni Selemala. Marko 6:3
 
Hata hiyo biashara alikuwa nayo? Maana baba yake ndiye alikuwa anafanya hii kazi. So ni rahisi kuamini Yusufu alikuwa mfanyabiashara wa samani kwa sababu angalau alikuwa na jukumu la kulisha familia. Sasa Yesu ni wapi umepata alikuwa na biashara, acha tu kufanya biashara? Hiyo ni interpolation yako tu.

Nimekuonesha interest ya Yesu toka mdogo ilikuwa ni kufundisha na kujadiliana na waalimu wa torati. Sasa basi tuoneshe mstari unaosema Yesu alikuwa mfanyabiashara. Uzuri wote tunaokuhoji tunaamini Biblia inachosema, hivyo ukileta andiko kazi yako itakuwa rahisi.

Mbona unakwepa sasa? Anyway hii itakuwa message yangu ya mwisho. Nitabakia kusoma kuona kama utaleta mstari husika...!
Sasa mkuu, ina maana Yesu alikua anakula bure kwao mpaka alipoanza kuhubiri?

Alikua ni Seremala na Marko 6;3 wanakijiji wenzake wanamtambua kama Fundi.Sasa kwa akili ya kawaida Fundi anafanya nini?

Vitu vingine ni Logic tu ya kawaida.
 
Biblia hausemi hivyo.
Nimekupa hapo juu biblia inasema ni Selemala. Marko 6:3
Wanakijiji wenzake wanaonyesha walimfahamu Yesu kama Mtu wa kawaida tu Seremala.

Sasa mtu anabisha kwamba hakuwa anachonga samani na kuuza itakua maajabu sana. Lazima kwa namna moja Yesu alikua anafanya biashara ya kujikimu na kuingiza familia kipato.
 
Sasa mkuu, ina maana Yesu alikua anakula bure kwao mpaka alipoanza kuhubiri?
Biblia haisemi alikuwa anafanya nini. So chochote utakachosema ni speculation!
Alikua ni Seremala na Marko 6;3 wanakijiji wenzake wanamtambua kama Fundi.Sasa kwa akili ya kawaida Fundi anafanya nini?
Anatengeneza samani
Vitu vingine ni Logic tu ya kawaida.
Ukichukua logic ya kawaida basi Biblia achana nayo. Punda wa Baalam kuongea ni logic ya kawaida? Au mtu kufufuka baada ya siku nne? Biblia inapaswa uifuate kama ilivyo au uachane nayo. Hizi speculations zako zina tofauti gani na wanaosema Yesu alikwenda India na alioa? Mna tofauti gani sasa?
 
Lazima kwa namna moja Yesu alikua anafanya biashara ya kujikimu na kuingiza familia kipato.
Nasubiri mstari...!
Sio maelezo na speculation but mstari unaoonesha Yesu alifanya biashara. Vinginevyo ukubaliane na wanaosema chochote kuhusu Yesu ambacho hakiko kwenye Biblia!
 
Biblia haisemi alikuwa anafanya nini. So chochote utakachosema ni speculation!

Anatengeneza samani

Ukichukua logic ya kawaida basi Biblia achana nayo. Punda wa Baalam kuongea ni logic ya kawaida? Au mtu kufufuka baada ya siku nne? Biblia inapaswa uifuate kama ilivyo au uachane nayo. Hizi speculations zako zina tofauti gani na wanaosema Yesu alikwenda India na alioa? Mna tofauti gani sasa?
Samani ili azifanye nini azile au.
Hapo inahitaji Imani kweli kujua alikuwa mjasiliamali
 
Kwani akiwa selemala automatically anakuwa mfanyabiashara?
mbona unashinda kuelewa vitu rahisi? Kama umeweza kirahisi kuleta mstari wa kuonesha alikuwa selemala, kipi kinakushinda kuonesha sehemu ambayo alikuwa mfanyabiashara?
Au labda niulize swali.Furniture alikuwa anamtengenezea Nani Kama hakuwa nawateja?
 
Back
Top Bottom