Yesu ambaye ndiye Role Model wetu Wanaharakati naye alipewa Kesi ya Kisiasa kama Lissu

Mdude_Nyagali

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
84
Reaction score
1,494
Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa unatawala dunia na hata wafalme na magavana kutoka Israel waliteuliwa na kaisari kutoka Roma.

Sasa ushawishi wa Yesu ulianza kuwapa wasiwasi watawala kwamba inaweza kutokea siku Yesu akahamasisha maasi kuangusha serikali. Fikiria wakati huo mikutano ya Yesu ilikuwa inakusanya watu elfu 5 hadi elfu 10. Upande wa pili ujuaji wa torati na maandiko mengine ya manabii ulikuwa tishio kwa viongozi wa dini ya kiyahudi na serikali hasa wale mafarisayo, waandishi na masadukayo. Watu hawa walikuwa wasomi walioenda shule kujifunza vyuo mbalimbali vya torati na manabii wa kale lakini Yesu hakwenda shule ila alikuwa anajua kuliko wao. Wakati mwingine aliwashinda kwa facts za vifungu mbele ya watu na wakapata aibu.

Katika mazingira hayo wayahudi wakaona Yesu Kristo ndugu yao amekuwa tishio kwa dini ya kiyahudi na serikali hasa kwa ushawishi wake mkubwa pale Israel. Wakaona wapange njama za kumpa kesi itakayopelekea adhabu ya kifo kwa usalama wa dini yao ya kiyahudi na serikali. Lakini ilikuwa kila mtego wanaomtegea kwa kesi unabumba. Mfano lile swali aliloulizwa Yesu kama ni sahihi kulipa kodi kwa serikali ya Kaisari ulikuwa mtego wa kumtafutia kesi ya uasi kama ya Lissu. Kwa sababu Yesu hakuwa binadamu wa kawaida alijua mtego huo na akaruka kwamba ya kaisari mpe kaisari ya Mungu mpe Mungu. Baadaye wakaamua kumkamata halafu ndio waanze kumtafutia kosa kama ambavyo serikali ya Samia ilimkamata kwanza Lissu kisha mashtaka yakafuata baadaye kinyume kabisa na sheria.

Mwanzo alishtakiwa kwa kosa la kukufuru kujiita mwana wa Mungu. Baraza ambalo wajumbe wake walikuwa mafarisayo na masadukayo chini ya kuhani mkuu Kayafa waliazimia kumpeleka kwa gavana wa Yerusalemu Pilato ambaye yeye ndiye alikuwa na mamlaka ya kuidhinisha adhabu kwa mujibu wa sheria za utawala wa Roma.

Gavana Pilato aliwakatalia kuidhinisha adhabu kwa sababu kufuru inayodaiwa kufanywa na Yesu haikuvunja sheria za utawala wa Roma. Kibaya zaidi Pilato hakuwa myahudi kwa hiyo mambo ya dini ya kiyahudi hakuyajua. Ni kama sasa tunavyoletewa wakuu wa wilaya na mikoa ambao sio wakazi wa maeneo yetu wala hawajui tamaduni za maeneo yetu. Pilato aliwaambia kama amekufuru kwa sheria zenu za kiyahudi kamhukumu kwa sheria zenu. Bahati mbaya hukumu ya kifo ilikuwa lazima iidhinishwe na gavana ambaye ni pilato. Kwa hiyo Kayafa na wajumbe wengine wakarudi kutengeneza kesi nyingine.

Waliporudi Kayafa akamuuliza Yesu akiwa chini ya ulinzi,"𝒘𝒆𝒘𝒆 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒆 𝒎𝒇𝒂𝒍𝒎𝒆 𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒚𝒂𝒉𝒖𝒅𝒊?" Yesu akamjibu wewe wasema. Kayafa kuhani mkuu akawauliza wenzake tunataka ushahidi gani wa ziada wakati amekiri? Kumbuka kwamba kujiita mfalme kwenye nchi ambayo tayari ina mfalme ni kosa kama kujitangazia Urais kwenye nchi ambayo ina Rais.

Kwa hiyo Yesu akarudishwa kwa Pilato na mashtaka ya uhaini kujiita mfalme. Pilato akamuuliza Yesu kama kweli anajiita mfalme, pamoja na majibu mengine Yesu alimjibu Pilato kuwa ufalme wake sio wa ulimwengu ule. Pilato akatoka na kuwaambia wale wayahudi wakiongozwa na Kayafa kwamba mbona ufalme anaouzungumzia Yesu sio wa ulimwengu ule?

Kwa bahati mbaya wakamtisha Pilato kwamba watamfikishia taarifa boss wake kaisari kuwa Israel kuna mtu anajiita mfalme na Pilato anataka kumuachia. Pilato kwa kuhofia cheo na adhabu kutoka kwa kaisari akaidhinisha kifo cha Yesu haraka kisha akanawa mikono yake kuonesha hahusiki na umwagaji wa damu ile.

Hata baada ya kifo cha Yesu wafuasi wake walipigwa marufuku. Wengi wao walikamatwa na kuuawa. Lakini hadi sasa ukristo ndio ndini yenye wafuasi wengi zaidi duniani.

Kwa hiyo upinzani ni nafsi na sio watu, ukimfunga na kumuua Lissu upinzani itaendelea kwa namna nyingine na Lissu atabaki kama alama ya ukombozi kwa taifa.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
 
Attachments

  • 20250411_080215.jpg
    20250411_080215.jpg
    144.6 KB · Views: 37

Acha upotishaji gentleman,
Mropokaji mzushi, mpiga kelele mbinafsi na mwenye mdomo mtu mchoyo na omba omba kuchangiwa pesa kama Lisu, hangeweza kua mfuasi wala mwanafunzi wa Yesu.

ana tamaa na msaliti wa ndoa kama mzee slaa tu 🐒🐒
 
Attachments

  • IMG_20230125_142540.jpg
    IMG_20230125_142540.jpg
    59.2 KB · Views: 34

Mnakosea sana mnaponasibisha CHADEMA na ukristo...kwahiyo nyinyi mnahubiri dini badala ya siasa (circular)...kwamba asiye christian kwenu ni mzigo..
 
Fikiria pia uhusiano uliopo kati ya maneno haya mawili: UHAI na UHAINI, na pia MAJI YA UHAI
 
kwahiyo Lissu ni yesu aliyechangamshwa 🙄
Anasahau Yesu mwenyewe alisema, "Ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu". Pia anasahau hakuna mahali Yesu aliwahi kupambana na Serikali. Yeye alipambana watu kuupata Ufalme wa Mbinguni!
 
Kaka Mungu akulinde huko ulipo,Kama wameshakufanyia Kama Ben sa nane hakika watalipwa.
 
Andiko hili la mwisho la Mdude_Nyagali lina ashiria kuwa tayari alishaanza kuelekea kibra.

Kwa kufuru za kumfananisha Yesu Kristo na Tundu ni wazi ule UROPOKAJI wake dhidi ya viongozi wa Serikali alianza kuuhamisha kwenye imani ya dini.

Hamna namna ange survive
 
No reforms, No election

Ni kweli na kama kawaida ushindi uwa lazima.
No reform no election 💯 ⚒️
October tutakuwepo 😎
 
Back
Top Bottom