Yesu anaweza kuizuia El Niño. Ukweli huu hapa!

Kwamba El nino inakuja kwa watenda zambi sio? Unadhani El nino ikifika inachagua familia za watakatifu tu au wadhambi tu.

Kama ambavyo jua uwaka kwa watu wote bila kujali usafi au uchafu wako ndivyo itakavyokuwa El nino.Ghazabu ya Mungu ni juu ya ardhi sio familia ya mtu.Kama unadai huko msafi basi unaweza kuwa salama lakini ardhi ikiwa chafu wewe usafi unatoa wapi?

Ukitoa mfano wa Ibrahim inabidi ukumbuke Ibrahim kwa Mungu alionekana vipi,rafiki sio ndio?kuna mtu hapa chini ya jua wakati huu wakuweza kujilinganisha na Ibrahim katika imani na matendo?Hayupo hilo ndio jibu sahihi
 
Soma hapa ujue kuwa sisi pia Yesu anatuita rafiki
“Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo. Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki…” (Yohana 15:14–15)
 
Ok sawa,ikawe kheri kama kweli nyie ni marafiki wa Yesu lakini kama ni ghazabu ya Mungu basi jua ardhi inabidi kusafishwa kabla hata ya kuwaza maombi.

Maana utakuwa ni mpango wake na hakuna wa kuzuia.Inaweza isiwe El nino mkapigwa na ukame kwahiyo katika maombi yenu jua mnaombea nini na kwanini.Maombi ya mtu msafi yanaweza kubadili kila kitu lakini nasikitika kusema wote mmekalia ardhi chafu hivyo fanyeni usafi mpate baraka za Mungu tofauti na hapo acha mapenzi yake yatimie
 
Umetukumbusha jambo muhimu sana. Lakini je kama Mungu ndo ameruhusu El ninyo itupige, itasaidia kitu tukiomba?
 
Umetukumbusha jambo muhimu sana. Lakini je kama Mungu ndo ameruhusu El ninyo itupige, itasaidia kitu tukiomba?
Tafakari maombi ya Ibrahim kabla Mungu hajaiangamiza Sodoma (Mwanzo 18:20-33)
 
Yesu ambaye ni "Mungu wa Israel" hawezi kuzuia El-Nino" japo ana nguvu hizi mana yeye ndio kaumba nchi na bahari na vyote viijazavyo.

Sababu kuu YEsu hawezi kuzuia ni "Yesy mwenyewe ndio ameleta ili "kuweka mipaka ya dunia vizzuri na matumizi bora ya ardhi.

Waliojenga mabondeni na kupewa hati kuzuia vyura, nyoka na kenge kuishi sasa wataondolewa na El Nino, .
Wale wa Mikocheni na Msasani walioziba mitaro na kuweka Yrds, Mungu kwa kuyumia maji atazibua mitaro, .
Wale waliozuia mipaka ya asili watajikuta wanaachia.

ASATE YESu.
 
Ni kweli, El Niño inaweza kuondoa baadhi ya makosa ya wanadamu kama hayo uliyoyataja; lakini kwa nini tuangalie upande huo pekee? El Niño kali inaweza kusababisha mafuriko makubwa, vifo na majeraha, uharibifu wa nyumba, barabara na madaraja, kuharibu mazao na mifugo, kuathiri upatikanaji wa chakula na maji, kueneza magonjwa yanayohusiana na maji na kuwalazimisha maelfu ya watu kuhama makazi yao. Je, utafurahi kuona madhara hayo yote yanatokea?
“Ee Mungu iamuru El Niño isije, katika Jina la Yesu, amen.”
 
Ukija tutamjua nani analala kwenye nyumba na nani amejiegesha
 
Hizi imani ni shida sana sana sana...
Kazi bado IPO sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…