Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Bila mimi mama yako asingekuzaa wewe. Mimi ndo baba yako mzazi anayekulea ni wa kupakaziwa.Sasa mtu kama wewe una maana yoyote ile humu duniani?
Bila mimi mama yako asingekuzaa wewe. Mimi ndo baba yako mzazi anayekulea ni wa kupakaziwa.Sasa mtu kama wewe una maana yoyote ile humu duniani?
Unajiita James Comey jina la Kikristo lakini maadili ya Kikristo huyajui. Kudharau sio tabia ya MkristoNilianza kukudharau jinsi unavyoanalyse bible scriptures. Leo umethibitisha kuwa niko sawa. Neno mbwa kwa wayahudi ni tusi. Mbweha ni jamii ya mbwa. Hivyo mbweha ni mbwa.
Kwakukisaidia tafuta neno mbwa lilipotumika ktk biblianhalijawahi kumaanisha kitu kizuri.
#Mshahara wa mbwa.
#Huko nje kuna mbwa.
Tafuta maana ya mbwa ktk biblia.
Are you surviving an agenda? If yes keep on ila ni kama kwa ajili ya Mungu huyu wa Biblia. Umepotoka pa kubwa.
Aliyesema Yesu ni mwanadamu ni nani? Yesu ni Mungu. Pamoja na Uungu wake hakuwatukana wenye mamlakaJibu ni fupi tu yesu sio mwanadamu .
No reform no election ⚒️ 💯
October tutakuwepo 😎
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchiNimeishaeleza njia sahihi ya kutoa maoni kwa Wakuu iwapo mnahitaji reforms. Hayo maneno kwamba "mtakinukisha" ndio yanayowaharibia
![]()
Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima
Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...www.jamiiforums.com
Kwakuwa yeye ni MUNGU ndio maana akuwatukana wenye mamlaka ila sisi binadamu hatuna U MUNGUAliyesema Yesu ni mwanadamu ni nani? Yesu ni Mungu. Pamoja na Uungu wake hakuwatukana wenye mamlaka
![]()
Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa
1. Ushahidi wa Kibiblia Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo." Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu: Yohana 10:30 – "Mimi...www.jamiiforums.com
Mnapoendelea na madai hayo msisahau pia kuomba Mungu awafanyie heart reform. Maana Yesu yuaja upesiNo Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi
#NoReformsNoElection
Sawa sisi binadamu tunakosea sana matusi yameanza Kwa viongozi wetu serikalini muda mrefu tangu enzi za mkapa, mpaka Leo viongozi serikalini Wanaporomosha matusi ndio maana wananchi wanajibu matusi hayo.Zaburi 82:6
“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’
Jamiiforums haisomwi na watu wa nchi yako tu. Ndio maana inaitwa sasa JamiiAfrica. Huu uzi unawahusu watu wote duniani. Hujasikia wewe matusi yanayotamkwa kwenye social media nyingine? Kwanini X yenu imefungwa?Sasa tuambie ili tulinganishe, manake Kwa habari ya Yesu mpaka umenukuu.....!
Je...! Kwa maisha ya Sasa unamzungumzia nani....!?
Aliongea maneno Gani....!?
Na kati ya aliyoongea, Matusi Kwa Serikali ni maneno yapi!?
Apandacho mtu ndicho avunacho. Kama kuna Kiongozi alikutukana, ni wazi wewe ndo ulianza. Au ulim-approach kwa njia isiyo ya heshimaSawa sisi binadamu tunakosea sana matusi yameanza Kwa viongozi wetu serikalini muda mrefu tangu enzi za mkapa, mpaka Leo viongozi serikalini Wanaporomosha matusi ndio maana wananchi wanajibu matusi hayo.
No reforms no election 💯 ⚒️
October tutakuwepo 😎
Safi kabisa umekuja nilipokuwa napataka mkapa alivyo tutusi watanzania ni mazwazwa er mapong'ole tulimkosea Nini naomba jibu.....!!!!Apandacho mtu ndicho avunacho. Kama kuna Kiongozi alikutukana, ni wazi wewe ndo ulianza. Au ulim-approach kwa njia isiyo ya heshima
![]()
Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima
Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...www.jamiiforums.com
Nilishasema humu kwamba kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako, toa kwanza boriti kwenye jicho lako. Hawa wanaodai kwamba watawala ni wauaji, na wao ni walevi, ni waongo kazini na katika biashara, hawalipi kodi, ni wazinzi, wamejaa tamaa za mwili, wanajichua, wanapiga wake zao, hawaheshimu wazazi. Zote hizo ni dhambi. Ndio maana nikasemaOkay unaongeleaje kuhusu utekaji unahisi tusifie tu tuwasifie wasiambiwe ukweli?Hakuna aliyetukanwa wanaambiwa ukweli!#NO REFORM NO ELECTION #
Umesema kwamba wanajichua sawa nimekubali kwasababu wewe ndiye unaye wachuwa hongera sana Kwa kazi nzuri ila umefanya vibaya kuja kuwatangaza ungewafichia Siri siwanakulipaga.Nilishasema humu kwamba kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako, toa kwanza boriti kwenye jicho lako. Hawa wanaodai kwamba watawala ni wauaji, na wao ni walevi, ni waongo kazini na katika biashara, hawalipi kodi, ni wazinzi, wamejaa tamaa za mwili, wanajichua, wanapiga wake zao, hawaheshimu wazazi. Zote hizo ni dhambi. Ndio maana nikasema
![]()
Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake...www.jamiiforums.com
Kwenye swala la kuua my friend hakuna cha aliyetenda dhambi hii au ile iyo HAPANA Ndugu yako angekuwa kachukulikwa kisha kaja kuokotwa amekufa ndio ungeelewa vizuri.Wale wanaharakati wa Kenya waliokuja huku na kuingiziwa chupa za makalio plus kudhalilishwa we unaona sawa.Badilikeni Yesu hakutukana mtawala ila Yesu hakusifia maovu alifanya kile kilichomleta dunia kuhubiri Injili that's itNilishasema humu kwamba kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako, toa kwanza boriti kwenye jicho lako. Hawa wanaodai kwamba watawala ni wauaji, na wao ni walevi, ni waongo kazini na katika biashara, hawalipi kodi, ni wazinzi, wamejaa tamaa za mwili, wanajichua, wanapiga wake zao, hawaheshimu wazazi. Zote hizo ni dhambi. Ndio maana nikasema
![]()
Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake...www.jamiiforums.com
Inategemea unadharau nini. Mimi nimedharau jinsi unavyoanalyse bible.Unajiita James Comey jina la Kikristo lakini maadili ya Kikristo huyajui. Kudharau sio tabia ya Mkristo
Mit 14:21
Amdharauye mwenzake afanya dhambi;
Mimi nimezungumzia mbweha sio mbwa. Kama nimeandika mbwa ni spelling errors
Jamiiforums haisomwi na watu wa nchi yako tu. Ndio maana inaitwa sasa JamiiAfrica. Huu uzi unawahusu watu wote duniani. Hujasikia wewe matusi yanayotamkwa kwenye social media nyingine? Kwanini X yenu imefungwa?