Yesu Kristo aliuawa kwa sababu za kisiasa zaidi kuliko za kidini

Mkuu wewe mwalimu Wa biblia nini?
 
Kilicho muua Yesu ni dhambi zetu sisi wanadamu, hapo zamani mfumo wa kusamehe dhami ilikuwa wa kuchinja mnyama aliyenona ili upate msamaha wa dhambi, ila tatizo ni kwamba damu ya mnyama inazifunika tu, ili Mungu asizione.
Kwa hiyo kwa damu ya Yesu dhambi zetu zinasafishwa kama zilikuwa nyekundu kama damu zitakuwa nyeupe kama barafu (dheruji).

Na kuhusu Israel kuwa na wa kristo wachache sababu ni moja tu, ili u nabii utimie, kwamba "Nabii hakubariki nyumbani kwao"
 
Ok!ninavyojua mimi,Yesu aliuawa c kwasababu ya kisiasa wala kidini bali KUTIMIZA KUSUDI LA MUNGU ambalo ni kumwokoa mwanadam na dhambi kwa hyo yote hayo yaliyotendka ni njia ya kutimiza ANIKO TAKATIFU.
 
Maandiko watu wanayosema ndio ushahidi wa kuwa Yesu alisulibishwa kama ilivyopangwa hayapo kwenye Torah. Wenye agano la kale wenyewe (Wayahudi) wanapishana na christianity. Waliokuja kupindisha facts ni wale waliotala kufanya ukristu uenee na kuuchanganya na upagani. Wenye agano la kale hawaamini masihi atasulubishwa na kufufuka. Hakuna mstari huo kwenye original Torah.

Pia in addition to that, according to Torah, the Messiah will:

Ezekiel 37:26-28: Build the Third Temple
Isaiah 43:5-6: Gather all Jews back to the Land of Israel
Isaiah 2:4: Usher in an era of world peace, and end all hatred, oppression, suffering and disease. "Nation shall not lift up sword against nation, neither shall man learn war anymore."
Zechariah 14:9: Spread universal knowledge of the G-d of Israel - uniting the entire human race as one: "G-d will be King over all the world—on that day, G-d will be One and His Name will be One"
Jesus fulfilled none of these messianic prophecies. Additionally:

Jesus was not a prophet. Prophecy could only exist in Israel when the land is inhabited by a majority of world Jewry. During the time of Ezra (~300 BCE) the majority of Jews refused to move from Babylon to Israel, thus prophecy ended upon the death of the last prophets (Haggai, Zechariah and Malachi). Jesus appeared on the scene approximately 350 years after prophecy had ended.
Jesus was not descended from King David. Per Genesis 49:10 and Isaiah 11:1, the Messiah must be descended on his father's side from King David. However, according to the Christian claim that Jesus was the product of a virgin birth, he had no father -- and thus could not have possibly fulfilled the messianic requirement of being descended on his father's side from King David! The Christian idea of a virgin birth is derived from a verse in Isaiah describing an "alma" as giving birth. The word "alma" has always meant a young woman, but Christian theologians came centuries later and translated it as "virgin." This accords Jesus' birth with the first century pagan idea of mortals being impregnated by G-ds.
Tradition teaches that the Messiah will lead the Jewish people to full Torah observance. Deut. 13:1-4 states that all mitzvahs remain binding forever, and anyone coming to change the Torah is immediately identified as a false prophet. Throughout the New Testament, Jesus contradicts the Torah and states its commandments are no longer applicable. (John 1:45 and 9:16, Acts 3:22 and 7:37)
 

Uchambuzi bora kabisa na pia mawazo pevu kwa aliyeanzisha thread na like yangu nimekupa, ila kwa masharti ama kwa kusema suala la dini na historia ya Yesu kristo ukianza kuichambua unatakiwa kujijua mimi nipo katika kada gani.

Unaweza ukawa mwanasheria ukachambua na mawazo yako unaweza ukawa na mtizamo wa kisheria tu, kama wewe ulivyo mrengo huo. Mshika dini au muelewa mafundisho yake akawa na mtazamo wake na mwingine na mwingine.

Hivyo hivyo mwingine na mwingine cha msingi Mungu atupe uelewa na tafakari yake tupate kulielewa neno lake kulishika na kutembea katikati yake

Penda sana Ukristo
 
Safi sana ndugu... inaonekana ni kweli Yesu aliuliwa kwasababu za kisiasa zaidi,kuliko kidini kama tulivyolishwa tango pori... kwasababu hata mie hua najiulizaga iweje israel iwe na wakristo wachache zaidii kuliko Mbeya?

Hahaha Mkuu you made my day matangori kutoka msitu wa mabwepande nini
 
Kwa uelewa wako na huyu Herode tunamsikia na kumsoma yeye alikuwa nani katika utawala wa kirumi, na jeeh alihusika vipi katika hukumu ya Yesu Kristo King Octavian

Ni kweli Herod Antipas ametajwa katika hukumu ya kifo cha yesu, amezungumzwa na kitabu cha Luka, huyu alikua mfalme wa Galilaya biblia inatuambia siku yesu alipopelekwa kwa Pilato, Herod alikuwepo katika jimbo la Yudea, Galilaya ilikua sehem ambayo Warumi waliacha mikononi mwa mfalme Herod aitawale.

Herod alihusika vipi katika hukumu ya Yesu?
Baada ya Pilato kumkuta yesu hana hatia, ilimbidi ajivue na kuwaambia Wayahudi waliompeleka, kwamba mpelekeni kwa Herod maana mtu huyu ni mzaliwa wa Galilaya sehemu ambayo ni himaya yake, Yesu alipofikishwa kwa Herod baada ya kumhoji kwa kumdhihaki pia alimkuta hana hatia, akaamuru Yesu arudishwe tena kwa Pilato.

Kwa uelewa wako na huyu Herode tunamsikia na kumsoma yeye alikuwa nani katika utawala wa kirumi, na jeeh alihusika vipi katika hukumu ya Yesu Kristo King Octavian
 
Kwenye hii post ni kwamba ume lack kitu kimoja tu.. Kufa kwa yesu ilikuwa ni inevitable kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu hilo ndilo lilikuwa kusudi la Mungu. Hapa umeongelea zaidi kusudi la binadamu ila sisi wakristo tunaamini katika kusudi la Mungu kwa hiyo ndo utafauti uliopo. Kwa hiyo kusudi la binadamu kwetu ni irrelevant hata lingekuwa ni nini yaani halina maana yeyote katika ufalme wa Mungu. Mungu alimtoa mwana wake wa pekee ili ulimwengu usipotee. Na Kufa kwa ajili ya dhambi zetu ilikuwa ni kutimiza kusudio la Mungu. Kwa hiyo kwa wayahudi inawezekana wao walikuwa na sababu zao ila machoni mwa Mungu sababu kuu ni kufia dhambi zetu..Kwa hiyo huu uchambuzi una relevance kwenye historia lakini hauna umuhimu kwenye upande wa imani
 
Mhhhh iman hizi
 
Kweli ujinga ni mzigo! Yaani ulichokiona katika makala nzima ni Editting ya maneno tu! Ama kweli kwetu kuna methali moja inayosema, "Ninakuonyesha mwezi unavyong'aa, wewe unachoona ni kidole changu tu"!
So ujinga bali individual differences
 
Nzuri likini reference inatakiwa kwa kuwa akina Tomaso no wengi
 
Mtoa mada umefanya uchambuzi mzuri sana! Ninchokikosa ni hitimisho ( conclusion) kwa kuwa wakristo huamini kuwa Yesu alisulubiwa kwa ajili ya dhambi ya mwanadamu na kama ishara ya ukombozi je unawaambia nini? Yawezekana pia umetoa uhuru kwa kila mmoja kufanya hitimisho lake. Natafakari bado uzi wako.
 

Hapo kwenye red mkuu siwezi ongea sana bali naheshimu mawazo yako.
 
Ndiyo mkuu, nimeacha nafasi tujadili kwa pamoja kila mmoja aelezee mawazo yake juu ya hili, na pia yeyote anaweza kutoa hitimisho.
 
Bro, wenzio wanatumia busara kumkosoa mtu..hayo ni mawazo yake, acha dharau na tumia lugha nzuri tu kujadili mada yake.
 
ahaa..bro acha masikhara bwana, Wakristo wawadai waitali kwa kuuliwa mtu wao??.. kwa nini sasa wakati kifo cha Yesu ni furaha kwa Wakristo? Au nakosea? Si kifo chake ndiyo WOKOVU na kuwekwa huru na dhambi?
 
QUOTE="Jindal Singh, post: 17535431, member: 324449"]Mkuu umekosea hapo uliposema kwa sababu ya siasa na wala sio dini.

Dini maana yake ni njia ya maisha (way of life) humo kuna kila kitu kuna elimu, afya,siasa,uchumi, sheria n.k

Siasa maana yake ni kusimamia watu hapa tunasema utawala. Siasa neno la kiarabu lililotokana na neno siyasiya.
Hivyo unapotofautisha siasa na dini utakuwa unalisha watu matango pori.[/QUOTE]bro, kumbuka dini=way of life ni katika mtazamo wa kiislamu, wakristo hawa define dini hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…