Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Inategemea umeenda kufanya nini.

Kusali ama kisikiliza anachoongea, ilhali unajua yeye ni mholanzi wewe ni msukuma.utang'ang'ania umuelewe!!!!!!
Anayeongoza sala (misa) si ndio huyo mholanzi na wewe hujui kiholanzi.
 
Habari njema ni hii kristo alitoa uhai wake kwa ajili yako Mimi na wewe tuupate uzima wa milele this is a gift from God asiyeamini tayari amekwishahukumiwa... Mfalme wa wafalme yesu kristo atarudi kuhukumu ulimwengu. KILA GOTI LITAPIGWA...
 
Nionyeshe Ibrahim ni muislam kupitia kwenye biblia
 
Kwa mwanadamu hill haliwezekani!; jee Mungu maajabu hayo Mungu Hawezi kuyafanya?
 
Ha haa Paulo alikuwa ana hubir neno la mungu ,sasa kwanin asiwafuate wapagani ambao hawamjui mungu? Hao walitakiwa kuwa kondoo Wa bwana.ya ukristo haufuati utawala Wa Sheria kama torati ila imani ya yesu kristo mkombozi hata wewe inaweza ukakombolewa ukauona ufalme Wa mbingu
 
Habari njema ni hii kristo alitoa uhai wake kwa ajili yako Mimi na wewe tuupate uzima wa milele this is a gift from God asiyeamini tayari amekwishahukumiwa... Mfalme wa wafalme yesu kristo atarudi kuhukumu ulimwengu. KILA GOTI LITAPIGWA...
sasa anarudi kuhukumu nini wakati dhambi alizibeba yeye?,
au ilikua magumashi?
 
8:8 yeremia .......sisi tuna akili na taurati ya bwana ipo pamoja nasi tazama kalamu ya mwandishi imeifanya taurati kuwa uongo. my take biblia siyo reliable source, ndio maana inajichanganya sehemu nyingi paulo anawapoteza
Quran 4:82 If (quran) it had been from [any] other than Allah , they would have found within it much contradiction. Quran inawapa challenge watu kuonyesha contradictions.. Mbona hapa Allah kafail.. Kwenye quran Allah anasema hamna mtu anaeweza kugush maneno yake iweje waandishi wawe na uwezo wa kubadili maneno yake? Pia Allah anasema alimtuma yesu na kitabu injili kiko wap? Ameshindwa kukiprotect? Mbona Mimi naweza kuprotect vitabu vyangu iweje Allah ashindwe.. According to Allah injili ni kitabu kama Quran na sio Agano jipya la kwenye biblia ambalo limeandikwa na wanadamu(wafuasi wa yesu). Hiko kitabu (injil) kipo wap?Iweje Mimi niweze kuprotect vitabu vyangu na Allah ashindwe kuprotect vitabu vyake.. Hii inanifanya niwe na wasiwasi je Quran imetoka kweli kwa mungu.?
 
Kuna tofauti kubwa kwenye dini,
Uislam dini ya kimwili
Ukristo dini ya kiroho
Uislam lipiza ,ukristo samehe
Uislam, majini ni wenzetu
Ukristo ,majini ni shetani
Uislam ,imani nyingine kaa nao mbali mpaka watasilim.
Ukristo, upendo kwa watu wote.
Uislam ,akikupiga Kofi mrudishie.
Ukristo,ukipigwa Kofi mgeuzie shavu la pili.
Uislam, mtume anasaliwa hadi Leo ina maana yupo kuzimu.
Ukristo, tunamsifu Na kumtukuza hadi Leo.
 
Nyongeza,
Uislam kamua marehemu
Ukristo hapana kukamua
Uislam vaa mabomu uende pepon
Ukristo amin jina la Yesu
Uislam Allah anaapa kwa kila kilichozaa
Ukristo Yehova anaapa kwa jina lake(maana hakun mkuu kuliko Yey)
Uislam Makkah & Madina miji mitakatifu
Ukristo Jerusalem
Mwingine aongezee
 
8:8 yeremia .......sisi tuna akili na taurati ya bwana ipo pamoja nasi tazama kalamu ya mwandishi imeifanya taurati kuwa uongo. my take biblia siyo reliable source, ndio maana inajichanganya sehemu nyingi paulo anawapoteza
HERI BIBLIA KULIKO QURAN!!..SOMA,
 
Sio kuuongea hata kuongea nae Mkuu,hata kumjua kuwa ni Jibril yeye hakumujua,alipotoka huko mapangon(Jabar- hillah),akaja akamsimulia habr za mamb yaliyotokea huko mkew BI HADIJA,Bi Hadija akamfunika gubigubi maana alikuw anatetemeka,Bi Hadija akampeleka kwa mjomba wake mganga wa kienyeji l(Najiim),Jina lake ni Walagah Bin Nafal,kufika huko huyo jamaa anamwambia Muhammad,huyo aliyekutokea ni Jibril basi JIBASHIRIE umekuwa mtume,kuthibitisha hilo,soma aya hii,Quran 4:79SWALI DOGO NI KINA NANI HAO WALIOMTUMA MUHAMMAD KUW MTUME "IKAWA MUNGU NI SHAHIDI?"
 
we we mwenye upeo mreefu kama kulubuku ungwkuwa mkamuliwa ngama mtarajiwa, kila siku ungepulizwa &%$ o na shetani msikitini, ungeamini kuna kungonoka mbele ya allah, ungeamini ukimuingilia maiti, mtoto, kuntha kuingiliwa/kuingiliwa tundu yeyote Dubuli IMA kubuli uoge Kara tatu >hata unavyo toka povu humu naona dhamira yako imekufa tu...na sishangai mende kusifia hadi kupigania uzuri wa kuishi chooni na kulabua midodeo...
 
Wewe baki na imani yako usiingilie imani ya wengine kama unataka uelewe uliza vzr ili ueleweshwe cyovkuongea tu,nyie mkiguswa imani yenu huwa mnalipuka kama petrol angaliaaaa.......
 
Mwisho ,kusali mpaka uelekee kwy Kaaba.ukristo sali popote maombi yanajibiwa
nasikia kule mbinguni kuna mji mtakatifu wa jerusaleem,eti siku ya mwisho utatelemka na bwana yesu ndo atakuwa mfalme?
 
nasikia kule mbinguni kuna mji mtakatifu wa jerusaleem,eti siku ya mwisho utatelemka na bwana yesu ndo atakuwa mfalme?
Nasikia puani zinakaa dhambi so ukitaka kusal sharti uziondoe kwanz[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…