Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Hayo maneno anasema nani? Na ni nani aliona akichukuliwa katika utukufu? Huyo roho aliyemthibitisha ameumbwa na nani....je ameumbwa na huyohuyo Yesu ambaye ndiye Mungu au? Kwa hiyo Mungu anathibitishwa na kiumbe alichokiumba?
Kaka niamini haya mambo huyajui na huyawez acha kujaza Uzi kwa comment za ajabu,na upuuz mnaokaririshana huko Msikitin,SIKU ZOTE KUMBUKA QURAN HAINA HADHI YA KUICHALLANGE WALA KUITHIBITISHA BIBLIA,ALICHOKIFANYA MTUME NI KUJARIBU KUFANANISHA HABARI ZA BIBLIA,LAKIN BADO AKASHINDWA!!.
 
Tunamwabudu Mungu ambaye ni roho hivyo Tunamwabudu ktk roho hakuna anayeabudu sanamu, kumbe ninyi mwaiabudu ardhi?
Eti mungu mungu anasulubiwa? Mungu ni hilo sanamu limekaa kwenye msalaba? Mungu miaka elfu 2 hajarudi tu? Acha kufikiria kwa makalio wewe

Sent from my C6603 using JamiiForums mobile app
 
Hiyohiyo biblia na wsla si Quran. Hebu soma 4:1 Mathayo. Yesu anachukuluwa na roho nyikani ili akajaribiwe na ibilisi.....hebu nipe rationale ya andiko hilo.......yaani nipe uhusiano wa Yesu na Ibilisi na Roho!!!
 
Naimani hata context ya hii aya HUJUI,FUTA MANENO HAYA"*ALIFANYWA* LAANA KWA AJIRI *YETU*"ubakize ulichokikusudia maana haya yanapobaki hapo YANAHARIBU KABISA MAANA ULIYOIKUSUDIA kuw YESU AMELAANIWA!!..
 
Wewe ulishawahi kuingia kwenye zizi la nguruwe unaowafuga ukalala nao ili wakuelewe kwamba unapenda usafi?
 
Sasa mungu alipokuwa mtu..kazi za kiuungu alikuwa anazifanya nan ??

Mtihan kweli yan [emoji23] [emoji23]
 
Anaechekesha zaidi ni allah na muham mad waliosema masihi ana sifa duniani mpaka ahera...unatumia kiungo gani ktk kutafakari??? komwe?! Hivi mlaaniwa anaweza kuwa na sifa duniani na ahera? laanatulahi...
Sifa gani aliyokuwa nayo? Zaidi ya uzushi mnaodanganywa! Ndio maana nikakuuliza mungu anasulubiwa? Mungu anakufa? Usiwe maku wewe kusoma hujui picha pia huoni? Utakataa vp kwamba hufikiri kwa kutumia makalio?
 
Quran imeichallenge biblia sana, hata wanasayansi wanathibitisha hivyo, biblia editing za binaadamu na elimu Ya binaadamu ina ukomo (Epistemology)
 
ni rahisi kuchanganyikiwa ukimsoma yesu wa musaafu na bibilia kana kwamba ni vitu sawa. hapa ndio chnzo cha mkanganyiko.
Kama Issa bin Maryam wa kwenye Quran si huyo Yesu basi na Musa na Ibrahim nao sio!!!! Tukubaliane hilo.......
 
Kama hujui hilo achana na Yesu Kristu, zungimzia ISA aliyezaliwa chini ya shina la mtende.
Hivi unajua kwanini qakristo huwa mnashika matawi ya mtende wakati wa ile sherehe? Au unabisha tu ili kuzuia goodwill ya uislam?
 
Asingeweza kufananisha Qur'an na Biblia...maana drama zilizojaa kwenye biblia ni hatar kwa kweli...

Kitabu hata akieleweki ni kitabu au diary..kimejaa barua tyu za wakorintho, wagalatia, waefeso na wengine kibao..

Kitabu kimejaa maneno ya mtu ambaye hajawahi kumuona wala kumfata anayemzungumzia..Paulo katawala bible na tena tunaambiwa alikuwa anaua wafuasi wa Yetu

Kitabu kina maelezo yanayopingana yenyewe kwa yenyewe...mara huku yetu mungu..kule yesu mtu..kwengine mwana wa mungu..haujamaliza kushangaa unaambiwa mungu mmoja katika watatu (trinity)..

Kitabu kinatafsiri hata hazieleweki...kinajipinga chenyewe

Kitabu kimoja kimejaa waandishi kama gazeti la shigongo...

Kitabu hiko kimoja asili yake haijulikani..kila mtu kaandika kivyake...Barnaba ana yake...Paulo ana yake na wengine kibao..

Kitabu kina mitihan mizito...nimechoka tyu kuandika ila kuna mengi ya kujiuliza..

Muhammad hawezi kuiga kitabu hiki...
 
Hivi unajua kwanini qakristo huwa mnashika matawi ya mtende wakati wa ile sherehe? Au unabisha tu ili kuzuia goodwill ya uislam?
Kushika matawi kutoka
katika andiko hili. Mathayo 21:8 umati mkubwa wa watu wakatandaza nguo zao Barabarani na watu wengine wakakata matawi ya miti wakatandaza barabarani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…