Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Yeye mwenyewe Yesu amesema kuwa yeye ni Mtume, yeye ni Mtumishi, yeye ni Nabii.

Je, nini mawazo ya wale wafuasi wake waliomuamini na wakamwona na wakaishi naye?

Injili zinatwambia:

Basi watu wale, walipoiona ishara aliyoifanya, walisema, Hakika huyu ni nabii yule ajaye ulimwenguni. ------Yohana 6.14

Nao walipotafuta kumkamata, waliwaogopa makutano, kwa maana wao walimwona kuwa nabii.
Mathayo 21.46

Hata alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakisema, Ni nani huyu? Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.------Mathayo 21.10-11

Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili. Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia. Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. Macho yao yakafumbwa wasimtambue. Akawaambia, ni Maneno gani haya mnayosemezana hivi mnapotembea? Wakasimama wamekunja nyuso zao. Akajibu mmoja wao, jina lake Kleopa, akamwambia, Je! wewe peke yako u mgeni katika Yerusalemu, hata huyajui yaliyotukia humo siku hizi? Akawauliza, Mambo gani? Wakamwambia, Mambo ya Yesu wa Nazareti, aliyekuwa mtu nabii, mwenye uwezo katika kutenda mbele za Mungu na watu wote.--------------Luka 24.13-19


Injili kwa umoja wao zinathibitisha kuwa watu wake Yesu waliokuwa naye na kumuamini na wakaona miujiza yake tangu kuzaliwa kwake mpaka mwisho wake walimjua kuwa ni Nabii wa haki, naye ni mtu, mwanaadamu.

"Hakika huyu ni nabii", anasema Yohana.

"waliwona kuwa nabii", anasema Mathayo.

"Huyu ni yule nabii, Yesu", anasema tena Mathayo.

"Yesu wa Nazareti, aliyekuwa mtu nabii", anasema Luka.

Jinsi ya hadhari zake asisingiziwe kuwa anazo au anadai sifa za uungu, Yesu alikataa hata kuitwa "Mwalimu mwema".

Sikiliza masimulizi ya Injili ya Marko:

Hata alipokuwa akitoka kwenda njiani, mtu mmoja akaja mbio, akampigia magoti, akmwuuliza, Mwalimu mwema, nifanye nini nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia, Kwa nini kuniita mwema? hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu.-------Marko 10.17-18

Tafsiri kubwa kabisa ya Biblia iitwayo The Interpreter's Bible inasema kuwa kauli hiyo ya Yesu, yaani: "Kwa nini kuniiita mwema? hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu", imewatatiza wataalamu wa thiolojia (ilimu ya Ungu) ya Kikristo wa baadaye.

Wameona taabu kuambatisha maneno haya yalio wazi na imani yao kuwa Yesu ni mungu, na hali hapo dhaahiri yake ni kuwa anakataa uungu. Kwa hivyo basi kujitoa kimasomaso ikaandikwa katika Injili ya Mathayo (ambayo iliandikwa baada ya Marko) kwa njia nyengine.

Ilivyoandikwa katika Mathayo ni hivi:

Na tazama, mtu mmoja akamwendea akamwambia, Mwalimu, nitende jambo gani jema, ili nipate uzima wa milele? Akamwambia, Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja.----Mathayo 19.16-17

Kila imani ilipozidi kugeuka maandiko mapya yaliandikwa na kunasibishiwa Yesu.

Kitabu hicho The Interpreter's Bible kinaikataa tafsiri ya kusema kuwa makusudio ya Yesu yalikuwa ni kusema: Kama unanita mwema, basi unakusudia kuwa mimi ni Mungu. Hayo siyo. Aliyokusudia Yesu kusema ni kuwa :Sifai kupewa sifa za Mungu.

Mtaalamu wa Biblia wa Kitaliana, Marcello Craveri, ameandika katika kitabu chake The Life of Jesus (Maisha ya Yesu):

"Yesu kwa mara moja alimpa somo zuri kabisa la unyenyekevu, ambalo juu ya mengineyo, ni ushahidi ulio wazi ya kwamba hakupata kabisa kujiona mwenyewe ni sawa na Mungu: Kwa nini kuniita mwema? Hakuna mwema ila mmoja, ndiye Mungu."

Muhtasari wa yote , ni kuwa tumepata uthibitisho wa kutosha kutokana na Biblia kuwa Yesu wa Nazareti ni mwanaadamu, Nabii wa Mungu, na Mtume wake.
Matayo 16:13-20. YESU anajibainisha Yeye ni nani kwa kinywa chake,,,sio lililosikiwa pembeni kwa kukadiria au kufananisha.Sivyo angemsahihisha Petro.
 
Tumia akili vizuri, acha ushabiki maandazi utaelewa.
Nilijua tu utatukana. Hiyo Matendo ya Mitume ni sura inayoelezea matendo ya hao mitume baada ya Yesu kuondoka hapa duniani. Kwa hiyo ni mitume ndio wanatenda na siyo Yesu. Hizo akili ulizosema nimezitumia vizuri na ndio maana sikutukani wala kukukashfu wewe. Yesu alitenda nini? Ndiyo hizo aya ulizowekewa hapo juu ingawa hujazielewa ingawa unaelewa matusi tu.
 
Matayo 16:13-17

13 Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?

14 Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.

15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?

16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
 
Mkuu Gavana labda nikuongeze kwenye huo mstari wa 14(wengine) kwamba na wewe unamuita mtume."""ila Yupo aliejibu kwa ufasaha zaidi(Petro)
 


My Accounts

BrowseBlogLibraryVideoRadioSpeakersForumsShopDonateAbout

Catholic Answers Magazine

magazine homebrowse by articlebrowse by issuesubscribe

Jesus Is God

By: Tim Staples

The divinity of Christ is an essential teaching of the Catholic faith. Indeed, any community of faith that would deny Christ’s deity ceases to be Christian at all. Yet, not a few quasi-Christian sects do just that—vehemently reject this central teaching. So how can Catholics present a cogent defense steeped in Scripture and faithful to magisterial teaching?

Greater Than and Equal To

In John 14:28, Jesus says, "The Father is greater than I." For many, this statement seems obvious: Jesus is not God. But is this really what our Lord was saying?

In Catholic theology, this text can be understood in two ways. First, being "greater" than another does not have to mean one is essentially different from the other, as when we say a man is essentially distinct from an animal. Greatness can refer to one person functioning in a greater way quantitatively, qualitatively, or even relationally in comparison to another without there being an essential distinction. For example, Matthew 11:11 tells us there has never "risen among [men] a greater than John the Baptist: yet he that is least in the kingdom of heaven is greater than he." John is not something other than human because he is said to be greater than certain other people. All human beings share the same nature; therefore, they are absolutely equal in dignity.

Similarly, the Father can be said to be greater than the Son pertaining to their relation within the inner life of God, but not with respect to their shared nature as being fully and equally God. The Father alone is the first principle of life in the Godhead; thus, the Catechism of the Catholic Churchcan say, in paragraph 246: "Everything that belongs to the Father, except being Father, the Son has also eternally from the Father, from whom he is eternally born . . ." (emphasis added). In this sense, the Father can be said to be greater than the Son relationally, while they are absolutely equal with regard to their essence as God.

Another—and perhaps simpler—way one can legitimately interpret this text is to point out that John 14:28 seems to be emphasizing the humanity of Christ. Thus, because Jesus is fully man, it would be appropriate to say the Father would be greater than the Son. The entire verse reads: "You heard me say to you, ‘I go away, and I will come to you.’ If you loved me, you would have rejoiced, because I go to the Father; for the Father is greater than I."

Jesus was emphasizing here and in previous verses his impending death, resurrection, and departure from the apostles. This would apply to his humanity most particularly. Thus, the same Jesus who can say, "I and the Father are one" in John 10:30—as God—can say, "The Father is greater than I" in John 14:28—as man.

Was Jesus Created?

Revelation 3:14 declares: "And to the angel of the church in Laodicea write: ‘The words of the Amen, the faithful and true witness, the beginning of God’s creation.’" Using these words, Jehovah’s Witnesses claim Jesus to be the first creation of Almighty God and therefore, not God. The only problem here is the actual text. The word translated "beginning" (Gk. arche) here actually means "source." In other words, it means "beginning" as in the first cause, not in the sense of being the "first effect." Arche is used as such elsewhere in the book of Revelation. In chapter 21, verse 6, Almighty God says: "I am the Alpha and the Omega, the beginning and the end . . ." Do we want to say God was created because arche is used to describe him? By no means! Understood properly, Revelation 3:14 reveals Jesus to be the source of God’s creation—God himself. This fits perfectly with John’s christological declaration in John 1:1-3: the Word created "all things . . . and without him was made nothing that was made." If the Word was created, he would have had to create himself, which is absurd.

Colossians 1:15-17 reveals Jesus as the "first-born of every creature. For in him were all things created . . . he is before all and by him all things consist." Many make the mistake of concluding Jesus was created because he is called "first-born of every creature." One obvious problem here is born and created have very different definitions. Even when considering natural childbirth, we know a child does not come into being when he is born, but nine months earlier. Neither would Christ have "come into being" when he was begotten of the Father. Indeed, when Jesus is called first-born in Colossians, he is referred to as such before creation and time even existed. He was begotten from all eternity. As such, he would have never "come into being." Thus, we say in the Creed, Jesus was "begotten, not made, one in being with the Father." A second, related problem arises when one considers the title first-born. Even in its Old Testament usage, this title was not restricted to a sense of time. The emphasis was on a place of pre-eminence given by a father to his son. Isaac, Jacob, and Ephraim received the blessing of the first-born though they were not first-born in time.

But perhaps most important of all is the fact that the text simply does not say Jesus was created. If St. Paul were teaching Christ to have been created, he would have then had to refer to Christ as creator of all other things in verse 16, but he did not. (Jehovah’s Witnesses did add the word "other" here in Colossians 1:16 in their New World Translation—to make the text fit their doctrine.) Paul calls Jesus Creator of all things. Jesus is God.

A Positive Outlook

Some biblical texts positively demonstrate Christ’s divinity. John 1:1-3, mentioned above, first comes to mind: "In the beginning was the Word, the Word was with God, and the Word was God . . . All things were made by him: and without him was made nothing that was made."

Jesus (the Word before his Incarnation) is revealed to be "God" and the Creator of all things that were created. Genesis 1:1 tells us, "In the beginning God created . . ." The conclusion is inescapable: Jesus is God!

Jehovah’s Witnesses respond by claiming the Greek text actually says ". . . the Word was a god." They maintain Jesus is here revealed to be a god, not the God because the definite article (Gk. Ho, the) is not used before god (Gk.theos), when referring to Jesus. This line of reasoning has three main problems:

The predicate nominative in Greek normally does not take the definite article. In this verse, then, the lack of the definite article is grammatically consistent. According to theTheological Dictionary of the New Testament, we see another example of this convention in John 8:54, where the predicate nominative is "Father"—again without the definite article preceding (3:105).The JW’s are inconsistent. They translate the word theos as "Jehovah," or the God numerous times in their New World Translation of the Biblewhen it does not have the article preceding it (see NWT: Matt. 5:9, 6:24; Luke 1:35, 2:40; John 1:6,12,13,18; Rom. 1:7,17,18; and Titus 1:1, just to name a few).Jesus is referred to as theos with the definite article multiple times elsewhere in Scripture. For example: "But of the Son he says, ‘Thy throne, O God (ho theos, the definite article plus theos), is for ever and ever, the righteous scepter is the scepter of thy kingdom’" (Heb. 1:8). Jesus is not a god here. He is the God: "Awaiting our blessed hope, the appearing of the glory of our great God and Savior Jesus Christ " (Titus 2:13, emphasis added—definite article appears in apposition to "great God"). Not only do we see the definite article before theos, but we see the article plus the adjective great. Jesus is not only the God, he is the great God and our Savior. The Bible is very clear that only Yahweh is both the great God and our Savior. (See Isaiah 41:4, 43:3,11, 44:6,8, 45:21; Hos. 13:4; and Luke 1:47.) Consider too: Thomas answered, and said to [Jesus]: "My Lord and My God" (John 20:28). The Greek text reads "the Lord of me and the God of me." The definite article before Lord and God leaves no doubt that Thomas—directly addressing our Lord—calls Jesus both the Lord and the God.

What Only God Can Do

"And the Lord God (Gk. ho kurios ho theos, the Lord the God) of the spirits of the prophets sent his angel to show his servants the things which must be done shortly" (Rev. 22:6). Who is the Lord God who sent "his angel" in this verse? Some attempt to say this text is referring to the Father rather than Jesus. However, Revelation 22:16, just 10 verses later, reveals to us who "the Lord God" is who has "sent his angel:" " I Jesus have sent my angel, to testify to you these things in the churches." Jesus is clearly "the Lord God of the spirits of the prophets!"

In Luke 12:8-9, angels are called "angels of God"; in Matthew 13:41, angels are called "[Jesus’] angels." Jesus and God are synonymous. Jesus does what only God can do. He forgives sins by his own authority (see Is. 43:25; Mark 2:5-9). He judges the world in Matthew 25:31-46. This is God’s prerogative according to Genesis 18:25 and Joel 3:12.

Jesus refers to himself with the divine name—I am —in several places. This "I am" formula is a reference back to the Divine Name revealed to Moses in Ex. 3:14. Not only does Jesus refer to himself as "I am" four times in John’s Gospel (see John 8:24; 58; 13:19 and 18:5-6), but when he does so in John 8:58, the Jews to whom he was speaking understood his meaning because they immediately wanted to stone him for blasphemy!

Jesus places his word on the same level as the word of God—the Old Testament. "You have heard it said . . . but I say to you . . ." (see Matt. 5:21-28). This is in sharp contrast to the prophets of old who always made clear the word they were speaking was not their own: "The word of the Lord came unto me, saying . . . " (cf. Jer. 1:11; Ezek. 1:3, etc.). Only God possesses this kind of authority.

Jesus is referred to as "equal" with God by both John and Paul. In John 5:18, the author comments on why the Jews wanted to kill Jesus: "Because he called God his Father, making himself equal with God." Paul refers to Jesus when he was "in the form (Gk. morphe; in Greek usage this word means the set of characteristics that makes a thing what it is) of God" thinking "his equality with God" not something to be g.asped onto, but emptying himself and becoming man (cf. Phil. 2:6-10). Paul assumes his readers already knew Jesus to be equal with God, the Father.

Jesus is referred to in the New Testament with the title Lord as it is uniquely applied to Yahweh in the Old Testament. Jesus calls himself "the Lord of the Sabbath" in Mark 2:28. The Sabbath is referred to as the "Sabbath of Yahweh" in the Old Testament (cf. Ex. 20:10; see also Is. 8:13, referred to in 1 Peter 3:15; and Joel 2:31-32, quoted both in Acts 2:20-21 and in Rom. 10:13).

The First and Last Point

The final proof of Jesus’ divinity we will consider can be found in the last two chapters of the book of Revelation. According to Revelation 21:6-7, Almighty God reveals himself to us in plain terms: "And he said to me, ‘It is done! I am the Alpha and the Omega, the beginning and the end. To the thirsty I will give from the fountain of the water of life without payment. He who conquers shall have this heritage, and I will be his God and he shall be my son.’"

But then, in Revelation 22:6, 13, 16, we find Jesus revealing himself to be "the Alpha and the Omega . . . the beginning and the end":

And he said to me, "These words are trustworthy and true. And the Lord, the God of the spirits of the prophets, has sent his angel to show his servants what must soon take place . . . I am the Alpha and the Omega, the first and the last, the beginning and the end . . . I Jesus have sent my angel to you with this testimony for the churches. I am the root and the offspring of David, the bright morning star."

Jesus is God.



Tim Staples is Director of Apologetics and Evangelization here at Catholic Answers, but he was not always Catholic. Tim was raised a Southern Baptist. Although he fell away from the faith of his childhood, Tim came back to faith in Christ during his late teen years through the witness of...

more...



This article appeared inVolume 19 Number 9.



Select LanguageAfrikaansAlbanianAmharicArabicArmenianAzerbaijaniBasqueBelarusianBengaliBosnianBulgarianCatalanCebuanoChichewaChinese (Simplified)Chinese (Traditional)CorsicanCroatianCzechDanishDutchEsperantoEstonianFilipinoFinnishFrenchFrisianGalicianGeorgianGermanGreekGujaratiHaitian CreoleHausaHawaiianHebrewHindiHmongHungarianIcelandicIgboIndonesianIrishItalianJapaneseJavaneseKannadaKazakhKhmerKoreanKurdish (Kurmanji)KyrgyzLaoLatinLatvianLithuanianLuxembourgishMacedonianMalagasyMalayMalayalamMalteseMaoriMarathiMongolianMyanmar (Burmese)NepaliNorwegianPashtoPersianPolishPortuguesePunjabiRomanianRussianSamoanScots GaelicSerbianSesothoShonaSindhiSinhalaSlovakSlovenianSomaliSpanishSundaneseSwahiliSwedishTajikTamilTeluguThaiTurkishUkrainianUrduUzbekVietnameseWelshXhosaYiddishYorubaZulu

Powered by Translate

Copyright [emoji767] 1996-2016 Catholic Answers
 
Mkuu Gavana labda nikuongeze kwenye huo mstari wa 14(wengine) kwamba na wewe unamuita mtume."""ila Yupo aliejibu kwa ufasaha zaidi(Petro)


Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu",
lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili, jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Makhasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.

Majina haya, basi, ya "mungu", "mwana wa mungu" na "Bwana" kwa kuwa yalikuwa yameenea na maarufu katika nchi za bahari ya Kati (Mediterranean) katika zama za Yesu haiwezi kukosa kuathiri mawazo ya watu ambao bado haijawavaa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja kama ilivyokuwa ikifunza dini ya Kiyahudi.

Majina kama hayo yalikuwa yakitumiliwa ovyo na kila mtu takriban.

Na hizo hadithi za watu kama hao, ikiwa ni watu wa hadithini tu si wa kweli kweli, au watu walioishi kweli kweli duniani, zimefanana mno na hizo ambazo khalafu yake zikaaminiwa na Wakristo kuwa zimemkhusu Yesu Kristo peke yake.


Tukirejea kuyanukulu yaliyomo katika Biblia tunamwona Yesu mahkamani alikataa kukiri mashtaka aliyoshtakiwa kuwa yeye alidai kuwa ni Mwana wa Mungu, kama wendawazimu na mapagani walivyokuwa wakimuenezea: Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini? Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu. Yesu lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.------Mathayo 26.62-64

Injili tatu za Mathayo, Marko na Luka (ambazo zimefanana) hazimtaji kabisa Yesu kuwa ni Mwana "Pekee" wa Mungu. Ni Injili ya Yohana tu ndiyo iliyokazania kumpa ungu Yesu na kumwita Mwana Pekee wa Mungu. Injili ya Yohana inasema:

Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.-------Yohana 1.14

Lugha ya Yohana ni ya namna ya peke yake.

Injili tatu za mwanzo, Mathayo, Marko na Luka zinamweleza Yesu ni binaadamu.

Lakini hata kulitumia neno "Mwana wa Mungu" kuna maana gani hasa?

Tukiipitia Biblia na kufungua sahifa zake tutaona kuwa jina hilo limetumiliwa kwa watu wengi licha Yesu.

Katika Agano la Kale ambalo lote limeandikwa hata kabla ya Yesu hajazaliwa tunakuta mifano kama hii:

Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.---Mwanzo 6.1-2

Misingi yake ilikazwa juu ya kitu gani? Au ni nani aliyeliweka jiwe lake la pembeni, Hapo nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, Na wana wote wa Mungu walipopiga kelele kwa furaha?-----Ayubu 38.6-7

Tena itakuwa ya kwamba hesabu ya wana wa Israeli itafanana na mchanga wa bahari, usioweza kupimwa wala kuhesabiwa; tena itakuwa, badala ya kuambiwa, Ninyi si watu wangu, wataambiwa, Ninyi ndio wana wa Mungu aliye hai.-----Hosea 1.10

Ni dhaahiri tunaona ilikuwa ni jambo la kawaida hata kwa waandishi wa Kiyahudi wanaoamini Mwenyezi Mungu mmoja kutumia maneno kama "wana wa Mungu" kwa kukusudia "vipenzi vya Mungu", au "waja wa Mungu", yaani watu wema.

Mwanachuoni wa Biblia wa Kitaliana, Marcello Craveri, aliyeandika kitabu chake, Maisha ya Yesu (The Life of Jesus), anaamini kuwa neno hilo "Mwana wa Mungu" limegeuka maana kwa kupitiwa na miaka ya makosa ya kufasiri. Ameandika:

"Kwa hakika, Agano la Kale limetumia neno ebed Yahweh, ambalo maana yake ni 'mtumishi wa Mungu', 'mtumwa wa Mungu', 'khaadimu wa Mungu'. Matini ya Kigiriki ya Septuagint imeipa tafsiri ambayo yaweza kuwa na maana mbili, (Pais Theou), hali ya kuwa pais, kama neno puer laweza kuwa maana ya 'mvulana mdogo' au 'mtumwa'. Baada yake ilikuwa ni wepesi kuliondoa neno pais lenye maana ya 'mvulana' likatiwa neno (hyos)ambalo maana yake ni 'Mwana'."

Lugha ya Kiyahudi ya Kiebrani na lugha ya Kiarabu zina asli moja. Mfano wa hayo ni kama mathalan kutumia neno la Kiarabu Abd kama katika "Abdu-Llahi" kwa maana ya "Mtumwa wa Mwenyezi Mungu",na likaja baadae kugeuzwa na kubuniwa neno
"Ghulam" ambalo lina maana ya "Mtumishi" na vile vile "Kijana". Na khatimaye likatumiwa neno "Ibn" ambalo maana yake ni "Mwana" tu.

Hii ndio shida inayompata mtu ye yote anapotaka kujua hakika ya mafunzo ya Kikristo.

Hapana kitabu cho chote duniani chenye asili ya matamshi yake Yesu wala wanafunzi wake.

Wao wakisema Kiaramia, lugha ya mazungumzo zama zile huko Palastini, kama ilivyo lugha ya Kiswahili kwetu.

Na lugha yao ya dini ni Kiebrania, kama ilivyo lugha ya Kiarabu kwa Waislamu po pote pale walipo, au Kilatini kwa Wakatoliki.

Injili zote ziliopo hapana hata moja iliyoandikwa na kubaki katika lugha ya Kiebrania ya asli, ambayo tungeweza kuirejea tupate ukweli wa kauli za Yesu.

Ziliopo zote ni tafsiri za Kigiriki.

Injili za Kiebrania ziliamrishwa zote zichomwe moto.

Hiyo ni amri ya Wazee wa Kanisa, na ye yote aliyeonakana nayo hukumu yake ilikuwa kifo.

Inakubaliwa pia kuwa Injili zote zimeandikwa miaka mingi baada ya Yesu kwisha ondoka duniani, na zimeandikwa na watu ambao hawakumwona bali ni kwa kufuata masimulizi waliyoyasikia. Na ziliopo ni tafsiri, na tafsiri za tafsiri.

Yesu hakusema maneno yake kwa Kiswahili, wala Kiingereza, wala Kilatini wala Kigiriki. Kama si kwa Kiebrania basi akifunza kwa lugha iliyofanana nayo, nayo ni Kiaramia.

Hata bila ya ubabaishi wa tafsiri ni jambo la hakika kuwa katika maandishi ya vitabu vya Biblia hili neno "mungu" likitumiwa ovyo. Tunasoma katika Agano la Kale Mwenyezi Mungu anamwambia Musa vipi yatavyokuwa makhusiano yake na nduguye Haruni:

Naye (Haruni) atakuwa msemaji wako kwa watu, hata yeye atakuwa mfano wa kinywa kwako, nawe (Musa) utakuwa mfano wa Mungu kwake.---Kutoka 4.16

Angalia tena isemavyo Zaburi:

Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia.---Zaburi 82.6

Utumiaji ovyo ovyo maneno hayo matakatifu kama "Mungu" au ya kufuru kama "mwana wa Mungu" yaliyotumiwa na waandishi wa Biblia yaonyesha wazi vipi imani na agano la Ibrahimu na Manabii wengine walilofungamana kwalo na Mwenyezi Mungu lilivyopotoshwa.

Mayahudi ambao kumshirikisha Mwenyezi Mungu na cho chote ni mwiko walishawishiwa na watawala wao na makafiri waliokuwa wakikaa nao kutumia lugha na maneno ya kikafiri bila ya wenyewe kutambua. Sisi tunaona vipi hii leo tulivyoharibiwa hata Kiswahili chetu na watawala ambao mila na dini zao ni mbali na yetu.

Tunaona vipi maneno kama "Halali na Haramu" yalivyopotoshwa hata imekuwa yanatumiwa kuwa ni kilichoruhusiwa au kukatazwa na serikali au chama kinachotawala, wala sio kama ilivyo asli kuwa alichohalalisha na kuharimisha Mwenyezi Mungu. Tunasikia inasemwa kuna pombe ya "halali", yaani inayoruhusiwa na serikali.

Tunasikia kuna majumba au mashamba yaliyopokonywa (kughusubiwa) na serikali yanaambiwa ati "yametaifishwa" kihalali. Na ilhali hapana unyan'ganyi, au wizi wa halali. Yote ni haramu.

Hata hili neno "sharia" limepotoshwa pia. Sharia ni sharia ya Kiislamu tu. Ya Serikali ni "Kanuni" si sharia. Sharia ni ya Mwenyezi Mungu. Makosa anayoyafanya mcheza mpira (faul) sasa yanaitwa: Dhambi.


Ni namna hivyo basi waandishi wa Biblia wa Kiyahudi ambao walikuwa wakimuamini Mwenyezi Mungu mmoja waliikoroga lugha yao kwa kuwa maneno ya kikafiri ya watawala wao wa kipagani wa Kirumi na jirani zao mapagani wa Kigiriki, wa Kimisri na wengineo waliokuwa katika pande zile za mashariki ya Bahari ya Kati (Mediterranean Sea) yaliwaathiri hata wao wakawa wanayatumia kama jambo la dasturi.

Niliyokwisha kuyanukulu ni maneno ya kutokana na sehemu ya Biblia iitwayo Agano la Kale, yaani ile sehemu iliyoandikwa kueleza mambo ya Manabii waliokuwa kabla ya Yesu. Hebu tuangalie sasa yaliyosemwa na Agano Jipya lilioandikwa baada ya Yesu.

Luka anatusimulia katika Injili yake alivyohubiri Yesu:

Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru na waovu.---Luka 6.35

Hapo twaona Yesu anawaambia wafwasi wake kuwa katika malipo ya watendao mema na kuwapenda maadui zao ni kuwa watakuwa "wana wa Aliye juu" yaani Mwenyezi Mungu. Katika Injili ya Mathayo Yesu anasema:

Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu-----Mathayo 5.9

Hata Paulo naye amesema katika barua yake aliyowapelekea Warumi:

Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.-----Warumi 8.14

Yohana na Paulo ndio wakubwa wa kumfanya Yesu ni Mungu, au mwana wa Mungu, lakini hata wao wametoa ushahidi wa kutosha kuwa huo "uwanamungu" wa Yesu ndio ule ule kama walio nao wote walio wema.
 
Nilijua tu utatukana. Hiyo Matendo ya Mitume ni sura inayoelezea matendo ya hao mitume baada ya Yesu kuondoka hapa duniani. Kwa hiyo ni mitume ndio wanatenda na siyo Yesu. Hizo akili ulizosema nimezitumia vizuri na ndio maana sikutukani wala kukukashfu wewe. Yesu alitenda nini? Ndiyo hizo aya ulizowekewa hapo juu ingawa hujazielewa ingawa unaelewa matusi tu.
Sasa wapi nimekutukana zaidi ya kukuasa???
 
YOHANA 8:42

42 Yesu akawaambia, "Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda mimi, maana mimi nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.

Katumwa na nani...????
 
YOHANA 8:42

42 Yesu akawaambia, "Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda mimi, maana mimi nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.

Katumwa na nani...????
Huo huo mstari mbona umemaliza kila kitu!!!!, tatizo hauko huru kifikra kijana.
 
Yesu si Mungu bali Yesu amezaliwa kwa NENO litokalo kwa Mungu mwenyewe.
hoja ni kwamba sio kila kilichoumbwa kwa NENO basi kinakuwa Mungu.

Vipo vitu vingi vilivyoumbwa kwa NENO na hata vile vilivyoumbwa natural law of creation,vyote vimetokana na neno lililoandikwa hapo kabla.

Katika imani ya kikristo wanaamini kwa hilo neno ndio Yesu na hapohapo hilo Neno ndie Mungu.kwahio kwa mzunguko huo wao wanaona YEsu ni Mungu.

yaani kama cross multiplication.

Mungu huyohuyo awe Mungu, Mungu huyohuyo awe neno, na tena Mungu huyohuyo awe Yesu.

Lakini utaendelea kujiuliza Roho mtakatifu nae anaingiaje hapo?,,kwasababu mimba ya Mariam imepatikana kwa uwezo wa Roho mtakatifu kwa mujibu wa Biblia,,,swali ni kwamba uwezo huo ni upi tena,,Roho mtakatifu anaplay vipi hapa???
 
Uongo mkubwa huo. Hiyo baqara 223 imekataza kuwaingilia wanawake nyuma iweje hiyohiyo iruhusu kuwaRef;lia nyuma? Huo ni ujinga na upu.mbafu wa makaratasi yakuokota waliyotunga walokole. Pole sana!!!!
Hivi we we ni muumini gani unaempinga Allah? Ngoja nianzie hapa labda utaujua uisilamu...Allah katoa hukumu gani kwa wanaume wawili wanao kulana?! Ref; suratul Marian.15! tuanzie hapo afu useme wameandika wagala...
 
Yesu si Mungu bali Yesu amezaliwa kwa NENO litokalo kwa Mungu mwenyewe.
hoja ni kwamba sio kila kilichoumbwa kwa NENO basi kinakuwa Mungu.

Vipo vitu vingi vilivyoumbwa kwa NENO na hata vile vilivyoumbwa natural law of creation,vyote vimetokana na neno lililoandikwa hapo kabla.

Katika imani ya kikristo wanaamini kwa hilo neno ndio Yesu na hapohapo hilo Neno ndie Mungu.kwahio kwa mzunguko huo wao wanaona YEsu ni Mungu.

yaani kama cross multiplication.

Mungu huyohuyo awe Mungu, Mungu huyohuyo awe neno, na tena Mungu huyohuyo awe Yesu.

Lakini utaendelea kujiuliza Roho mtakatifu nae anaingiaje hapo?,,kwasababu mimba ya Mariam imepatikana kwa uwezo wa Roho mtakatifu kwa mujibu wa Biblia,,,swali ni kwamba uwezo huo ni upi tena,,Roho mtakatifu anaplay vipi hapa???

Halafu hujui kwamba unalinganisha uwezo na maajabu ya Mungu sawa na babuyo
soma Jn1:14
 
Tutampigia goti kama nani sasa? Kama Mungu au kama mwanaye Mungu?

Ninapo chat na we we namuona muham mad ndani yako as if namchapa Injili isiyo ghofiwa...hhhhhhhh...
 
Nuru ya kristo ikuangazie, maana mambo ya injili ya kristo hausomi mistari na kuelews, Bali hadi neema ya kristo ifunue sehemu ya utashi uliofungwa! Mabishano hayana tija!
 
Yesu si Mungu bali Yesu amezaliwa kwa NENO litokalo kwa Mungu mwenyewe.
hoja ni kwamba sio kila kilichoumbwa kwa NENO basi kinakuwa Mungu.

Vipo vitu vingi vilivyoumbwa kwa NENO na hata vile vilivyoumbwa natural law of creation,vyote vimetokana na neno lililoandikwa hapo kabla.

Katika imani ya kikristo wanaamini kwa hilo neno ndio Yesu na hapohapo hilo Neno ndie Mungu.kwahio kwa mzunguko huo wao wanaona YEsu ni Mungu.

yaani kama cross multiplication.

Mungu huyohuyo awe Mungu, Mungu huyohuyo awe neno, na tena Mungu huyohuyo awe Yesu.

Lakini utaendelea kujiuliza Roho mtakatifu nae anaingiaje hapo?,,kwasababu mimba ya Mariam imepatikana kwa uwezo wa Roho mtakatifu kwa mujibu wa Biblia,,,swali ni kwamba uwezo huo ni upi tena,,Roho mtakatifu anaplay vipi hapa???
Umetiririka, lakini hakuna hoja ya maana mpya uliyoleta.yote tumeishayaeleza vizuri kabisa humu.

Halafu ujue msingi wa imani ya kikristo ni maandiko matakatifu ya biblia, sasa unapojenga hoja itumie biblia, si kupinga kwa kutumia kitabu kingine.tutakuwa hatuna tunachofanya zaidi ya kupoteza muda.
 
hii mada nayo ngumu kuijadili, ila nayo kuamini umungu wa yesu inahitaji ujasiri!
 
Adrul manthur na wakubwa? barry ni vitabu vya kanisa katoliki ?

During the Last Supper the Gospel of John describes how the “beloved” disciple laid himself on Jesus’ inner tunic — his undergarment – John 13:25 and 21:20

“In the Book of John a word is used eight times that means ‘is in love with’ with the implication of sexual intimacy.

Five times it is used with reference to Jesus’ relationship with John.

Once it is used to define Jesus’ relationship with Lazarus.

And it is also used to describe his relationship with Mary and with her sister Martha.


In John 19:26-28, Jesus is described as seeing an unidentified man: “the disciple standing by, whom he loved.

Again this particular disciple is identified as “the” disciple who Jesus loved. Again, not the common love he had for all of his disciples but a VERY special love

Robert Goss, assistant professor of comparative religion at Webster University, stated that Jesus and the beloved disciple: “… eat together, side by side. What’s being portrayed here is a pederastic relationship between an older man and a younger man. A Greek reader would understand.” Anyone that has studied Greek History would also understand.
Hiyo juzuu amma hujahifadhi itakuwa hivyo vitabu vya Madras a ya wakubwa?! hahaaa
 
Halafu hujui kwamba unalinganisha uwezo na maajabu ya Mungu sawa na babuyo
soma Jn1:14

Utazungusha maneno utafanya hesabu zote lakini MUNGU,NENO na YESU. hapo ndipo mlipopoteza muelekeo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom