Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Lete ushahidi
MWANZO 1:26--MUNGU akasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu,kwa sura yetu,wakatawale samaki wa baharini;na ndege wa angani,na wanyama na nchi yote pia,na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

27. MUNGU akaumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wa MUNGU alimwuumba MWANAMUME,na mwanamke aliwaumba
 
kosa la kwanza kwenye uandishi wako ni pale unapomtaja TITO kama eneo fulani/kundi/jamii/jumuia,,,
TITO ni mtu mmoja.. waraka au barua au andiko la mtume PAULO kwenda kwa TITO mwanae wa kiroho aliyekuwa katika kisiwa cha KRETE..
-hii ni moja ya dalili kwamba huijui na wala huielewi BIBLIA..
 
MWANZO 1:26--MUNGU akasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu,kwa sura yetu,wakatawale samaki wa baharini;na ndege wa angani,na wanyama na nchi yote pia,na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

27. MUNGU akaumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wa MUNGU alimwuumba MWANAMUME,na mwanamke aliwaumba
Ushahidi huo kwenye biblia au msahafu, weka wazi
 
Hujielewi wewe ngoja nikupotezee.yani hapo hata hujui hicho ni kitabu gani.hatuwezi elewana,wasalimie nyumbani kwenu
Mimi najua Qur-an, na kama ukisema Qur-an sura Ya mwanzo ina aya saba tu
 
Yaani biblia imemfunua mungu ,kazi ipo .

Mungu kashindwa kujifunua.

Jibu yale maswali niliyokuuliza

Biblia kwani hujui no Kauli ya Mungu?¿ swali kashindwa muham mad imamu wako itakuwa wewe maamuma wahed!...
 
Lete aya moja tu yesu anasema mimi ni mungu
Ukisoma kwa uelewa injili na ukaelewa maana ya injili huwezi Kuuliza swali kama hili la kitoto. Soma injili ya Yohana sura ya1:1-9 na haya14naye neno akawa mwanadamu akakaa kwetu, nasi tumeuona utukufu wake...
 
nyie marainaa mnachekesha kweli [emoji15] mnaabudu kiumbe anae Apia kwa [emoji117] aliyeumba dhakar na Ku&%$# (waa mahaqa dhakar al unnsa) afu mnamuita Mungu na kumsujudia hadi usoni kovu kama kifuu [emoji13]
Siwashangai mnaabudu sanamu pia biblia inasema amelaaniwa anae sulubiwa msalabani kwani hamna akili eti mnamsubiri atarudi mnachekesha sana
 
Yaani biblia imemfunua mungu ,kazi ipo .

Mungu kashindwa kujifunua.

Jibu yale maswali niliyokuuliza
Uelewa wako mdogo ndio maana unasema hivyo na Unakuwa mjuaji. Wapi Mungu kasema Mohamed ni mtume wake.?
 
nyie marainaa mnachekesha kweli [emoji15] mnaabudu kiumbe anae Apia kwa [emoji117] aliyeumba dhakar na Ku&%$# (waa mahaqa dhakar al unnsa) afu mnamuita Mungu na kumsujudia hadi usoni kovu kama kifuu [emoji13]
Kweli mnafikiria kwa makalio
 
Yesu hawezi kuwa Mungu, ila ni mjumbe kutoka kwa Mungu ili kuwaongoza watu wapite katika njia ilioonyooka (haki).
Mungu hawezi kusulubiwa na wale aliowaumba
Mungu wako ambaye uwezo wake una ukomo hawezi hayo Mungu tunayemwamini kila kitu kinawezekana sio lazima ukitaka kuswali umtafute kasikazini wa kwetu yupo kila mahali.
 
Sio dunia nzima wanaoelekea kaskazini, China wanaoelekea mashariki, ulaya wanaoelekea kusini, kama huujui uislamu usi uzungumze utakuja kujutia
 
Uelewa wako mdogo ndio maana unasema hivyo na Unakuwa mjuaji. Wapi Mungu kasema Mohamed ni mtume wake.?
Quran 48:29

Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa
 
mungu atakuwa kuzimu wanakoinamia.
 
Mungu wako ambaye uwezo wake una ukomo hawezi hayo Mungu tunayemwamini kila kitu kinawezekana sio lazima ukitaka kuswali umtafute kasikazini wa kwetu yupo kila mahali.
Hapa vipi linatekelezwa hili andiko Upande wenu?

Kumbukumbu 12:5

Lakini mahali atakapochagua Bwana, Mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe wende huko.
 
Quran 48:29

Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa
Ni maneno ya anaye apa kwa aliyeumba mbingu na ardhi?
 
Yesu ni Jiwe walilokataa waashiwaathirika, soma Mathayo 21:42-44naye aangukaye juu Jiwe hilo atavunjika, nayeyotena yeyote ambaye litamwangukia, litamsaga tiki tiki.
 
Ni maneno ya anaye apa kwa aliyeumba mbingu na ardhi?
Anayeapa na aliyelaanika ni yupi aliyebora? Ibilis alilaaniwa na Mungu na Yesu pia kalaaniwa (kafanywa kuwa laana)ibilis=yesu

Kumbukumbu 21:22-23

Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti;

23 mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi wako.

Wagalatia 3:13

Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
 
Siwashangai mnaabudu sanamu pia biblia inasema amelaaniwa anae sulubiwa msalabani kwani hamna akili eti mnamsubiri atarudi mnachekesha sana

Anaechekesha zaidi ni allah na muham mad waliosema masihi ana sifa duniani mpaka ahera...unatumia kiungo gani ktk kutafakari??? komwe?! Hivi mlaaniwa anaweza kuwa na sifa duniani na ahera? laanatulahi...
 
Unetegwa mtego ukaingia kichwakichwa. Ndo uelewe kwamba Quran haijawahi kumkashifu Yesu hata aya moja. Huyo mkuu hapo juu ame quote Biblia.....ndiyo inayosema kifo cha kutungikwa mtini ni laana!!!! Sasa nashangaa unatumia Quran kuonesha kuwa Yesu hakulaaniwa!!!!! Unachekesha sana aisee. Badala ya kulaumu biblia kwanini imemlaani Yesu badala yake unahangaika na Allah na Muhammad!!! Duuuuu pole.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom