Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Ingekuwa yesu Mungu wakristo wote msingekufa, kwani mnaogopa kufa

Aliye kwambia Mkristo anakufaga ñani?..kachukue udhu wewe...hasira za kutandikwa bakora za makalio ukiwa kitandani kama alivyo àgiza Allah ndo unaleta humu?¿
 
esteni in kigezo chako au sio..ndio sababu Muhammad alisema mbuguma akili zao ndogo....


wewe mwenye akili kubwa kanisa lako linakuambia

It is recorded in the Catholic Encyclopedia.

An appreciation of the clerical mindset arises when the Church itself admits that it does not know who wrote its Gospels and Epistles, confessing that all 27 New Testament writings began life anonymously:

"It thus appears that the present titles of the Gospels are not traceable to the evangelists themselves ... they [the New Testament collection] are supplied with titles which, however ancient, do not go back to the respective authors of those writings." (Catholic Encyclopedia, Farley ed., vol. vi, pp. 655-6)


The Church maintains that "the titles of our Gospels were not intended to indicate authorship", adding that "the headings ... were affixed to them" (Catholic Encyclopedia, Farley ed., vol. i, p. 117, vol. vi, pp. 655, 656). Therefore they are not Gospels written "according to Matthew, Mark, Luke or John", as publicly stated.

The full force of this confession reveals that there are no genuine apostolic Gospels, and that the Church's shadowy writings today embody the very ground and pillar of Christian foundations and faith.

The consequences are fatal to the pretence of Divine origin of the entire New Testament and expose Christian texts as having no special authority.

For centuries, fabricated Gospels bore Church certification of authenticity now confessed to be false, and this provides evidence that Christian writings are wholly fallacious.
 
View attachment 406746

"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo."

Yohana 8:40

Katika andiko hilo YESU kwa kinywa chake yeye mwenyewe amejiita kuwa ni "MTU". Kama kuna mtu ana ushahidi wowote katika biblia YESU akijiita MUNGU, basi nami hapo nitaamini kuwa YESU Mungu.

Hata hivyo, mnaweza kusema pia, kuwa YESU alikuwa Mungu na Pia alikuwa mtu. Hata hivyo tukitazama sifa mbalimbali za mungu kama zilivyo tajwa au ainishwa na biblia, utaona hata kiduchu YESU hana sifa hizo.

Mathalani.

"Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza.."

Hesabu 23:19

Tumeona katika Yohana 8:40 Yesu akijiita Mtu, na hapa katika hesabu tunaambiwa Mungu si mtu, sasa wewe unayemuita Yesu Mungu umepata wapi?

NANI KAFUNDISHA YESU NI MUNGU?

"tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; "

Tito 2:13

Hayo maneno katika kitabu cha Tito, kimsingi ni barua ya kimisionari aliyo andika Paulo kwa watu wa Tito, kama tuonavyo katika barua hiyo, pamoja na mambo mengine Paulo anawaambia watu wa Tito kuwa Yesu ni Mungu Mkuu, maneno haya ya Paulo yanakwenda kinyume kabisa na maneno ga Yesu mwenyewe aliyo yasema katika Yohana 8:40 lakini kinyume kabisa na mafundisho ya kinabii kutoka katika kitabu cha Hesabu 23:19.

YESU ANASEMAJE KUHUSU PAULO?

Awali ya yote Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu na hakuwahi kumuona Yesu Kristo. Yesu kabla hajapaa kwenda mbinguni aliwahi kusema maneno haya.

"Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa. Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi"

Yohana 16:1-3

Hapa Yesu anatabiri kuwa wanafunzi wake watakuja kuuliwa, anatabiri wakristo na wafuasi wa kanisa lake watakuja kuuliwa, na akasisitiza huyo atajaye wauwa wanafunzi wake hamjui yeye wala Baba(Mungu)

Nani huyo aliyeua wanafunzi wa Yesu? Jawabu ni Sauli ambaye ni Paulo.

"Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu, akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu."

Matendo 9:1-3

Kwa hivyo Mtu aliyetajwa na Yesu katika injili ya Yohana 16:1-3 kuwa atawaua wanafunzi wa Yesu si mwingine Paulo, na katika kitabu cha matendo tunaoneshwa ukatili wa Paulo kwa wanafunzi wa Yesu. Hata hivyo, Bwana Yesu anaendelea na utabiri wake juu ya Paulo katika aya hii.

"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo"

Yohana 8:44

Katika aya hiyo Bwana Yesu anasema huyo Paulo si kwamba ni muuaji tu, lakini pia mtu muongo sana. Na uongo mkubwa alio ufanya Paulo ni pale aliposema kakutana na Yesu na kisha akajifanya kipofu.

"Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda"

Matendo 9:3-7

Baaada ya Paulo kuwaua sana wanafunzi wa Yesu na kuwatesa sana ili waache mafunzo ya Yesu, lakini wanafunzi wa Yesu waligoma na walikataa katakata kuachana na mafunzo Yasu. Pia naomba mjue, mafunzo ya Yesu yalikuwa mwiba kwa serikali(Dola ya Rumi) na Paulo alikuwa anatumiwa na serikali katika kuhakikisha wanafunzi wa Yesu wanaachana na ukristo/uyaudi.

Pamoja na juhudi hizo za Paulo lakini alishindwa, hivyo njia aliyo amua kuitumia si nyingine bali ni kujiunga na wanafunzi wa kristo. Na ili aaminike ndipo hapo alipotengeneza stori ya kumuona Yesu na maagizo ya upofu, lakini kubwa zaidi alimnunua Anania ili msaidie kufanikisha lengo lake. Kwa kumtumia Anania na kwa kudanganya kwake kuwa kamuona Yesu, wanafunzi wa Yesu walimkubali.

Na hapo ndipo Paulo alipoanza kuyachakua mafunzo ya Yesu, na ndio maana ukristo wa sasa si ule alio ufundisha Yesu.

YESU NA MFARISAYO.

"Ewe FARISAYO KIPOFU, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nayo ipate kuwa safi. Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote."

Mathayo 26:23

Paulo msomi mkubwa alikuwa Farisayo, lakini Yesu alisema nini juu mafarisayo? Kama tulivyo ona, Yesu anawaona mafarisayo kama vipofu, lakini kubwa katika andiko hili Yesu anamtabiri pia Paulo na maigizo yake ya upofu.

"Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"

Matendo 23:6

Kwanza Paulo amekiri kwa kinywa chake kuwa yeye ni farisayo. Lakini hiyo haitoshi Paulo alijitia upofu aso kuwa nao.

"Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski. Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi."

Matendo 9:8-9

Katika aya hizi tunaona kuwa Paulo amekiri kuwa Farisayo lakini pia tunaona Paul yuko katika maigizo ya upofu. Yote haya mawili yanakamilisha unabii wa Yesu pale aliposema

"Ewe farisayo kipofu.."

Mathayo 26:23

Katika aya hizo inatajwa sifa kuu au tabia kubwa ya Mafarisayo, na ambayo imethibiti(ilitimia) kwa Paulo. Sifa hiyo si nyingine bali UNAFIKI.

Paulo alikuwa mnafiki, yaani alijifanya muumini wa mafundisho Yesu ili mradi apate kuwapotosha wanafunzi wa Yesu, na hili kwakweli kafanikiwa sababu hakuna hata kanisa moja ambalo linafuata mafunzo ya asili ya Yesu. Kila kanisa lina kituko chake.

MWISHO.

Kwa kifupi huku nikizingatia maelezo yangu yote ya huko juu, kuwa YESU SI MUNGU, lakini hakumaanishi kuwa hakuna wanao muita au wanao amini Yesu Mungu. La kuzingatia kama tukiambiwa kauli ipi ya kushika kati ya YESU mwenyewe na ya Paulo kwa vyovyote vile tunatakiwa kushika kauli ya Yesu.

Kauli zote za Paulo ambazo hazipingani na za Yesu, kauli hizo tutazifuata, lakini kauli yoyote ya Paulo inayo pingana na Yesu, kauli ya Paulo itapuuzwa na kuanguka, alafu watu wote wanatakiwa wafuate kauli ya Yesu.

Hakuna kauli ya Yesu anayo alijiita Mungu, lakini zipo nyingi akijiita Mtu au mwana wa adamu. Na siku zote alijitafautisha na Mungu. Yesu anakata mzizi wa fitina katika andiko hili.

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3

Nasema YESU SI MUNGU, na Paulo ana kesi ya kujibu kwa kudanganya ulimwengu, na kwa kuharibu mafundisho ya Yesu na kubwa zaidi kwa kuwatesa na kuwaua wanafunzi wa Yesu na wafuasi wake.

Katika kuendeleza urongo wa Paulo, watu wameambukizwa urongo, sasa wanatusambazia picha na sanamu za wacheza sinema na kisha wanataka tuziheshimu kama Yesu, kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

TUJADILI!

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
Call/whatspp 0622845394 Morogoro.

NI KWELI YESU SIO MUNGU KAMA VILE MOHAMMAD IBN ABDULLAT ASIVYO MTUME. AMBAE NI MUHUNI, MALAYA, MBAKAJI NA MUUWAJI MKUBWA. MOHAMMED ANA KESI YA KUJIBU YA MAUAJI YA KINYAMA
 
Kwahili unaweza kusoma sana lakini hukuelimika;;;;; Niwachache xna wanaelewa hilo![emoji23][emoji23];; Ila ilishaandikwa WANA MACHO hawaoni;;[emoji23] So nikazi ngumu xna kuwaelewesha wakaelewa!![emoji23]. (Yesu si mungu na Mungu si yesu)
 
Aliye kwambia Mkriuto anakufaga ñani?..kachukue udhu wewe...hasira za kutandikwa bakora za makalio ukiwa kitandani kama alivyo àgiza Allah ndo unaleta humu?¿

Kumbe wewe ni Mkriuto

MIZANI YA IMANI YA WAKRISTO

Bwana Yesu Kristo alieleza mizani na alama za imani kama ifuatavyo:

1. Mkiwa na imani ya punje ya haridali, mtauambia mlima huu, ondoka hapa nenda kule, nao utaondoka; wala halitakuwapo neno lisilowezekana kwenu. (Mathayo17:20; 21:21; Marko 11:22-23, 9:23, Luka 17:6, 12, 13).

2. Bwana akasema: “Kama mngekua na imani kiasi cha chembe ya haridali mngeuambia mkuyu huu, ng'oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.” (Luka 17:7).

3. Yesu akajibu, akawaambia, Amin, nawaambia mkiwa na imani , msipokuwa na shaka, mtafanya si hilo la mtini tu, lakini hata mkiuambia mlima huu, ngo'ka ukatupwe baharini, litatendeka. na yoyote mtakayoyaomba katika sala mkiamini, mtapokea. (Mathayo 21:21-22)

4. Amin, Amin, nawaambieni, yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwani mimi naenda kwa Baba. (Yohana 14:12-13).

5. Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lolote nanyi
mtatendewa. (Yohana 15:7).

6. Tena nawaambia, wawili wenu mtakapopatana duniani katika jambo lolote watakalo liomba,
watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. (Mathayo 7:3-12).

7. Ombeni nanyi mtapewa.... (Mathayo 7:3-12). Katika mizani hii ya imani ya Wakristo, tumejua
kwamba Mkristo atatambulika kwa alama zilizotajwa hapo juu. Tena hizi ni alama za imani ndogo sana ya chembe ya haridali. Lakini kama Mkristo atakuwa na imani kubwa ataweza kuonesha miujiza mikubwa zaidi.

Vilevile Mkristo mwenye imani ni yule ambaye ataweza kuonesha miujiza na hasa sawa na ya Bwana Yesu bali mikubwa zaidi kuliko yake.

Tutafute miujiza ya Bwana Yesu katika Biblia, tumeona baadhi yao kama ifuatavyo:

1. Kuponya wagonjwa (Mathayo 8:16, 9:22, na 15:21).

2. Kuponya walemavu (Mathayo 8:1-3).

3. Kuponya mabubu. (Mathayo 9:3-7; 12-22).

4. Kuponya mwenye kupooza upande mmoja (kiarusi) (Mathayo 8:5-13. 9:1-7, 12:22).

5. Kumponya mwenye kifafa. (Mathayo 17:14-19).

6. Kuponya mkono wenye ukoma. (Mathayo 12:15).

7. Kuponya mgongo uliopinda (Kibyongo) (Luka 13:10).

8. Kuwafufua wafu. (Mathayo 9:24).

9. Kugeuza maji kuwa pombe. (Yohana 2:1-9).

10. Chakula kidogo kitoshe watu elfu tano. (Mathayo 14:13-21).

11. Kutembea juu ya maji. (Mathayo 14:22-23).

12. Kuzuia tufani . ( Mathayo 8:23-33).

Hapa nimetoa baadhi ya mifano tu ya miujiza ya Bwana Yesu.

Kama Wakristo hawawezi kuonesha miujiza ya aina hii au alama ya imani yao sawa na Biblia, basi
mambo mawili yanathibitika.

A. Bwana Yesu pia hakuonesha mujiza wowote bali ni hadithi za kutungwa tu zisizo na ukweli ndani yake.

B. Siku hizi Mkristo yeyote hana imani sawa na chembe ya haridali, bali wote wameshapotea tayari na hawana alama au dalili yoyote ya imani.

Hali hizi zote mbili ni mbaya sana na za kutisha.


Tunawapa Wakristo (challenge) kwamba kama wanayo imani sawa na chembe ya haridali, watuoneshe miujiza iliyotajwa hapo juu.

Mkristo mmoja au wawili au wajumuike wote, tunataka kuona miujiza tu ya imani yao, hata Pope ajitokeze.
 
Kama kuna Injili iliyotabiri ujio wa Mtume Muhammad, sio injili ya Kristo, itakuwa ni injili nyingine tofauti kabisa na Injili iliyoletwa na Yesu Kristo. Halafu hii mambo ya kusema sijui nani kashushiwa kitabu gani ujue jambo hilo haliko katika Ukristo. Vitabu vyote vilivyomo katika Biblia VILIANDIKWA na wanadamu kwa uongozi na maelekezo ya Mungu mwenyewe. Kwa hiyo hoja kuwa kuna injili iliyomtaja Muhammad kama ilishishwa ni sawa lakini sio ile iliyoandikwa na mitume wa Yesu. Na kama ilishushwa kutoka kwa Mungu ujue fika kuwa huyo Mungu aliyeishusha hiyo injili na vitabu vingine SIO Maungu anayeabudiwa na Wakristo. Mungu wa Wakristo hakushusha kitabu chochote. Ndio maana torati inayosemekana imeshushwa ina utofauti mkubwa na torati iliyoandikwa na inayopatikana katika Biblia. Kwa mfano kitabu kilichoshushwa kinasema kuwa mtoto wa Ibrahim ambaye baba yake alitaka kumtoa sadaka ni Ishmail wakati torati iliyandikwa na watumishi wa Mungu kwa maelekezo ya Mungu inasema huyo mwana ni Isaka. Mungu aliyeshusha vitabu sio Mungu anayeabudiwa makanisani. Kila mtu abaki na Mungu wake na amani itakuwepo. Na kila mtu atakuwa sahihi kufuatana na Mungu anayemwamini.
Mungu ni mmoja, na haki lazima itajulikana, eti yesu alikuwa na watume, tupe dalili katika hio biblia kama yesu alikuwa na watume, nyinyi mmechanganyikiwa kiukweli
 
NI KWELI YESU SIO MUNGU KAMA VILE MOHAMMAD IBN ABDULLAT ASIVYO MTUME. AMBAE NI MUHUNI, MALAYA, MBAKAJI NA MUUWAJI MKUBWA. MOHAMMED ANA KESI YA KUJIBU YA MAUAJI YA KINYAMA


UKWELI UMEUONA UMEPATA KICHAA, POLE SANA ,

TUNAKUSAIDIA UPATE KUWACHA KUMWABUDU KIUMBE KAMA WEWE ALIYEZALIWA NA MWANAMKE NA KUCHEZA NA WATOTO WENZAKE CHEKECHEA , PAULO AKAMFANYA NI MUNGU KUWARIDHISHA WAPAGANI WALIOKUWA WAKIABUDU MUNGU MTU ZEUS
 
Aliye kwambia Mkriuto anakufaga ñani?..kachukue udhu wewe...hasira za kutandikwa bakora za makalio ukiwa kitandani kama alivyo àgiza Allah ndo unaleta humu?¿
Kwanini msife, mna kitu gani ambacho kinasababisha msife tupe evidence Ya kiroho na kisayansi
 
NI KWELI YESU SIO MUNGU KAMA VILE MOHAMMAD IBN ABDULLAT ASIVYO MTUME. AMBAE NI MUHUNI, MALAYA, MBAKAJI NA MUUWAJI MKUBWA. MOHAMMED ANA KESI YA KUJIBU YA MAUAJI YA KINYAMA
Huyo mtu anatokea nchi gani aliekuwa muhuni, malaya, mbakaji,
 
Mungu ni mmoja, na haki lazima itajulikana, eti yesu alikuwa na watume, tupe dalili katika hio biblia kama yesu alikuwa na watume, nyinyi mmechanganyikiwa kiukweli
Mungu sio mmoja na usilazimishe hilo. Ikiwa Mungu ni mmoja basi kubali kuwa kati ya dini mbalibali kuna dini moja tu inayomwabudu Mungu na nyingine zote zinaabudu kitu ambacho sio Mungu. Kwa mfano Wahindu wanaamini kula nyama ya ng'ombe na dhambi wakati waislam na wakristo wanaona sio dhambi. Je Mungu wao atakuwa sawa? Na kama kuna Mungu mmoja basi ujue hapa kuna wanaoabudu Mungu na ambao bila kujua wanaabudu kitu wanachoita Mungu kitu ambacho kiukweli sio Mungu
 
Mungu sio mmoja na usilazimishe hilo. Ikiwa Mungu ni mmoja basi kubali kuwa kati ya dini mbalibali kuna dini moja tu inayomwabudu Mungu na nyingine zote zinaabudu kitu ambacho sio Mungu. Kwa mfano Wahindu wanaamini kula nyama ya ng'ombe na dhambi wakati waislam na wakristo wanaona sio dhambi. Je Mungu wao atakuwa sawa? Na kama kuna Mungu mmoja basi ujue hapa kuna wanaoabudu Mungu na ambao bila kujua wanaabudu kitu wanachoita Mungu kitu ambacho kiukweli sio Mungu
Mungu ni mmoja na dini Ya haki ni moja, hao wengine ni waliochanganyikiwa
 
Mungu ni mmoja na dini Ya haki ni moja, hao wengine ni waliochanganyikiwa
Umekubaliana nami kuwa wanaomwamini Mungu mwenye sifa ya kuabudiwa ni dini moja tu. Dini nyingine zinaabudu vitu ambavyo havistajili kuitwa Mungu. Bahati mbaya kila dini inaamini kuwa wao ndio wanaomwabudu huyu Mungu wa kweli. Tukikubaliana hivyo basi tuheshimiane kila mtu au dini amwabudu Mingu wake.
 
wee pikaga urojo tu huko uwani haya mambo huyawezi!; yaani hujui tofauti ya Allah na Allah...hhhhhhh..


WEWE PIGA SPAGHETI HII NAKUWEKEA

WANAFUNZI WA YESU

Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya;

Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti. (Marko 10:2-4).

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44).

Basi tuone mti uliopandwa na Bwana Yesu Kristo, matunda yake ni ya ladha gani? Madaraja yaliyofundishwa na Bwana Yesu tuone wanafunzi wake walikuwa wa aina gani?

Yesu alipoleta imani, basi tuone kiwango cha imani ya waaminio wake.

Sina kawaida ya kuwafundisha watu kwa maneno yangu bali nawafundisha kulingana na maandiko yao matakatifu. Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu.

1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo15:16).

2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).

3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).

4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu. (Mathayo 26:15).

5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).

6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).

7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).

8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia. (Mathayo 26:50).

9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).

Hapa juu umesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Lakini sisi Waislamu hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na mafundisho yake.

Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi wa Bwana Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya ulimi wa Bwana Yesu mwenyewe.

Qur'an: “Enyi mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia wanafunzi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” (Qur'an 61:15).
 
Umekubaliana nami kuwa wanaomwamini Mungu mwenye sifa ya kuabudiwa ni dini moja tu. Dini nyingine zinaabudu vitu ambavyo havistajili kuitwa Mungu. Bahati mbaya kila dini inaamini kuwa wao ndio wanaomwabudu huyu Mungu wa kweli. Tukikubaliana hivyo basi tuheshimiane kila mtu au dini amwabudu Mingu wake.
Ndio, wa haki ni mmoja tu, tena na mungu wa Viumbe vyote ikiwemo, miti, wanyama, nyota, jua, mwenzi, sayari n. K
 
Kwanini msife, mna kitu gani ambacho kinasababisha msife tupe evidence Ya kiroho na kisayansi
Kumbe hata maana ya kufa hujui...Yesu kafa? kama Aliye kigezo change hakufa Mimi kwa mini nice?¿ wewe ambaye kigezo chako no mtoto wa abdKa
Mungu ni mmoja na dini Ya haki ni moja, hao wengine ni waliochanganyikiwa

Tatizo allah na Muhammad wawewavuruga hadi hamjui la dhara wala maskhara...Mungu Mwenyezi Anasema usiiabudu miungu mingine ilaha yeye..alah muhammad na majini + maisilamu wanapinga Kauli ya Mungu wanasema hakuna cha Mungu mwingine Ila allaah na mudi ni mtumewe...
 
Kumbe hata maana ya kufa hujui...Yesu kafa? kama Aliye kigezo change hakufa Mimi kwa mini nice?¿ wewe ambaye kigezo chako no mtoto wa abdKa


Tatizo allah na Muhammad wawewavuruga hadi hamjui la dhara wala maskhara...Mungu Mwenyezi Anasema usiiabudu miungu mingine ilaha yeye..Allah muhammad na majini + maisilamu wanapinga Kauli ya Mungu wanasema hakuna cha Mungu mwingine Ila allaah na mudi no mtumewe...
Kwa sabab yeye ni mungu wa Viumbe vyote, ndo maana hata dp yako umeliweka jina la mungu wa haki
 
Mungu ni mmoja na dini Ya haki ni moja, hao wengine ni waliochanganyikiwa

deen deen deen ndio ndio mboga gani?¿ nyie watu wa deen ni matatizo sana! aliye kudanganya deen itakufikisha peponi zwazwa gani huyo...hhhhhhh...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom