Yetkin Gen Mehmen, Meneja wa Yapi Merkezi, kampuni inayojenga SGR ahukumiwa Kisutu

Umekariri wenye hela ni wavaa suti....
njoo kilingeni kwetu tunavaa kobasi na kaptura..
lkn watu wana hela za kununulia dreemliner...
 
 
Sheria ya pesa hamruhusu kutembea na mzigo wote huo bila kuwataarifu polisi apewe ulinzi hata wewe ukikamatwa na pesa zaidi ya 100K utashtakiwa
 
Kuwa kwake Manager kunaweza sababisha wenye nia ovu kumtumia kutakatisha fedha.
Swali kwanini alishindwa kuzitolea maelezo/ufafanuzi ili Jamhuri ijilidhishe na kiasi hicho cha fedha kutoka nje?
 
Hawaoni Ata aibu
 
Wabongo akili hazipo kabisa.Yaani aliyekamatwa nazo kashindwa kuzielezea,lakini mbumbu huku mnakazana kutoa maelezo kanakwamba mna manufaa nazo.Sheria ni msumeno wacha ifanye kazi yake.KILA LA KHERI MTURUKI HUKO SEGE DANCE. Kalete janja janja na huko.
 
Hata waliomkamata wanajua kazi yake.Point ni kwamba fedha hizo pamoja na wazifa alionao kashindwa kuzielezea.Nyumbu tulia mtu apewe haki yake
 
Nimegundua watanzania wengi vilaza sana,maoni niliyoyaona insta,nayakuta pia hapa "home of great thinkers"

Ujinga mtupu.Mahakama haiwezi kumuonea mtu,kila mtu anapaswa kufuata sheria



Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi mkuu ninesoma comments hapa mpaka nacheka. hivi watu kweli hawajui kama kuna minimum cash ambayo unatakiwa usafiri nayo zaidi ya hapo unatakiwa utoe maelezo. na hii sheria ipo dunia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waliopanda pipa tz ni 1% mkuu. kwa hiyo usilaumu sana comments za watu humu hawajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni zaidi ya Uporaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…