TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

As
Mm sitaki kutafakari i wnt u to tell...njoo uniambie vzr
Asante. Tunaomboleza kuondolewa na shujaa Yona Maro maana na Mimi nilialikwa huko Wanabidii Forum na boss wangu. Nilipoona utitiri wa posts kwa email yangu nikajiondoa fasta. Hali zetu tupambane nazo tu.
 
Mungu amlaze pema peponi.asilaumiwe,kifo ni kitu cha ajabu sana,kuna jamaa yangu alikuwa anachukia sana tabia za kusikia kwamba mtu amejinyonga sijui kanywa sumu but surprisingly november mwaka jana katikati ilikuwa jumapili usiku jamaa naye akajitia kitanzi.haya mambo ni kumuomba Mungu tu atuepushie kwani ndiye anayejua siri za maisha yetu.
 
Kila jambo lina uzito wake ndugu kulingana na mhusika. Mm hupenda niishi na familiia kwa amani na upendo.
Tuachie hapa. Inatosha
 
R. I. P

Ila huu ni uzembe unajitoaje roho kwa mpumbavu mmoja, ulikiwa na maisha kabla yake, na maisha yapo pia baada yake.. Kafanya tukiobla kipuuzi saaana.
 
Inasikitisha sana huyo mke hataishi kwa raha poleni mno wafiwa pumzika kwa amani yona

Ndio kwanza atakuwa huru afanye yake.

Biblia imewaelekeza wanaume waishi kwa akili na wake zao. Sasa mwanaume anayekabidhi akili zake kwa mkewe hamna namna ya kumsaidia. Maana anaenda kinyume na biblia.
 
Mungu ampumzishe kwa amani.Kifo chake kimenistua sana.Kweli wanadamu tunaishi na mengi moyoni mwetu
 
Sijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... Kahukumu kwa haki wale wote wanaotibua ndoa na mahusiano ya wengine
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Duuuuh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…