Rip parents
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 219
- 192
Naua ili iweje?wewe ni rahisi kuuwa!! Unaambiwa samehe Saba mara sabini au achana nae
Acha wivu wa kike ndg.kama huwezi tengeneza kipato kwa kutumia mtandao waache wanaoweza eafanye kazi. Kwani umesikia wamekaba mtu?Hii mitandao na kujenga hoja haiwezi kumwacha mtu salama. Utakaa kwenye mitandao masaa yote na utaingiza kipato saa ngapi. Mke inaonekana ndiye alikuwa bread winner na kama kawaida lazima akupandie. Ni vyema vijana hasa wa CDM na CCM wanaokaa humu ati TL ati Lowassa wakajikita katika kusaka shillingi la sivyo wengi watamfuata. Hapa JF watakaofanikiwa ni akina Nifah, The bold na ONTARIO wanaofaidi kwa kutumia mitandao
Huu ndio ujumbe aliouacha marehemeu nyuma ya kifo chake
Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.
Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi.
Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendelee!
Sijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... Kahukumu kwa haki wale wote wanaotibua ndoa na mahusiano ya wengine
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
So sad! What a waste..!Naamini shetani alimnong'oneza kuwa akijiua ndio suluhisho na amefanikiwa
Aisee Eng Lossy
wa Idara ya Maji Mbeya
waendelee!
Laana hii yote uliyoichukua ya kazi gani? Umekosa mke wewe.
So sad! What a waste..!
Ila mwizi haguswiHAHAHAAH, Jamii Forum burudani toshaa aseee
Aliyejiua ANATUKANWA, Mwanamke ANATUKANWA unashindwa ukae upande upi
Ila mwizi haguswi
No offense.. Hajahusika na kifo... But karma is bitch... Itamrudiaahahah hata mahakama haiamui hiyo kesi ataguswaje?
No offense.. Hajahusika na kifo... But karma is bitch... Itamrudia
Hapana leo sipo kilingeni nipo on duty mochwari nawapa wana companyMkuu mida ndio hii nashangaa bado upo humu, hamnaga fine ukichelewa???
Hapana leo sipo kilingeni nipo on duty mochwari nawapa wana company
Ingia hapa vituko vya mochwari , kuna Maiti hufa mara mbiliDuuh? mwili mfu unahitahi kampani ipi? maani ni box tu lile