TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

wewe ni rahisi kuuwa!! Unaambiwa samehe Saba mara sabini au achana nae
Naua ili iweje?
Mwenza ni rafiki tuu!
Kwani ukisamehe kovu linaisha?
Kumbukumbu iko palepale!!

Miaka 10 sasa tunaishi tuu !
Nitamuua lini tena ?
 
Hii mitandao na kujenga hoja haiwezi kumwacha mtu salama. Utakaa kwenye mitandao masaa yote na utaingiza kipato saa ngapi. Mke inaonekana ndiye alikuwa bread winner na kama kawaida lazima akupandie. Ni vyema vijana hasa wa CDM na CCM wanaokaa humu ati TL ati Lowassa wakajikita katika kusaka shillingi la sivyo wengi watamfuata. Hapa JF watakaofanikiwa ni akina Nifah, The bold na ONTARIO wanaofaidi kwa kutumia mitandao
Acha wivu wa kike ndg.kama huwezi tengeneza kipato kwa kutumia mtandao waache wanaoweza eafanye kazi. Kwani umesikia wamekaba mtu?

Watu aina yako ukiwemo wewe ni adui wa maendeleo.
 
Ni uduanzi wa kiwango kilichopitiliza kuutoa uhai wako kwa sababu ya mpumbavu mmoja aliyediriki kukumbatia uzinzi...

Uhai ni zawadi ambayo Mungu huitoa na kuichukua mwenyewe, sasa unatoa uhai wako huku nyuma ukimwacha mkeo akiendelea kutumbua maisha...

Unasababisha majonzi na pengine vifo vya pressure kwa wanandugu na hata wazazi...

Huu ndio ujumbe aliouacha marehemeu nyuma ya kifo chake

Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.

Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi.

Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendelee!
 
Aisee Eng Lossy
wa Idara ya Maji Mbeya
waendelee!

Laana hii yote uliyoichukua ya kazi gani? Umekosa mke wewe.
 
Sijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... Kahukumu kwa haki wale wote wanaotibua ndoa na mahusiano ya wengine
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

Naamini shetani alimnong'oneza kuwa akijiua ndio suluhisho na amefanikiwa
 
HAHAHAAH, Jamii Forum burudani toshaa aseee

Aliyejiua ANATUKANWA, Mwanamke ANATUKANWA unashindwa ukae upande upi
 
Back
Top Bottom