TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Ndoa kitu cha ajabu unapewa cheti wala mtihani hujaufanya .
May allah pour his mercy on him.
 
Wadau wengine plz msifanye hiki kitu...wanawake ni wengi sana wa kuoa. Sawa inauma ila usijiue sababu ya mtu fulani fulani
 

Baba mzazi wa Yona yupo vizuri sana kipesa pia hisipokua , alioa mke mwingine Yona na. Ndugu zake wa mama mmoja na mama Yao ambae ni mke wa ndoa wakatelekezwa baba akawa anajali zaidi watoto wa bi mdogo. watoto wote wa bi mdogo wamesoma University England na huko Tanzania walisoma feza international baba yake Yona ndio yule mmiliki wa Fares Kisingo international school (Fk international ) mbezi beach
 
Rest in pieces,kujiua ni kuidhulumu nafsi,mke akufanye ujiue?stupidity of the highest order.Utakuta huyu dogo mzazi wake alifariki hakujiua,'manamake' yalivyojaa?Huu ni ulimbukeni wa kyuma.Povu Ruksa.
 
Tumetahadharishwa kwenye vitabu vya Dini kuhusu Wanawake tuishi nao kwa akili sana..

R.I.P. Yona...
 
Jamaa inasemekana mwanamke alimtolea mahali ila alikuwa anachukuliwa na madingi, ni kama aliolewa ila kama alifunga ndoa labda walipoamia Mbeya. Huku ukumbi ulilipwa gaza sinza na shughuli haikufanyika.
Duuuh!!
 
Inasikitisha Sana,wanawake ni watu wabaya sana.Huyu kamada na yeye si angeachana naye tuu akafanya mengine? Any way RIP lakini haikuwa lazima uchukue mkondo huo na maisha yangeendelea bila huyo mkeo.
 
Kujiua siyo sahihi dawa ni na wewe kutafuta mpenzi wako mwingine. Ni mawazo potofu ni ugonjwa.
 
Du! Wandugu tujiatahidi Sana kufikiri na kushirikisha Wadau kwenye mambo km Haya kabla ya kachukua hatua.
Suluhisho km mna familia kidume unahama tu na kuanza maisha mapya, lkn si kujiua. Dah!! Rip brooo. Tutaukosa Mchango wako ktk harakati zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…