TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Wadau wengine plz msifanye hiki kitu...wanawake ni wengi sana wa kuoa. Sawa inauma ila usijiue sababu ya mtu fulani fulani
 
Nimesikitika sana, hawa wanandoa nawajua hata kabla hawana watoto. Tatizo mwanamke yupo njema na jamaa alikuwa choka ila alikuwa kijana mpole na mtulivu. Baba wa mwanamke alikataa wasifunge ndoa coz jamaa kiuchumi sio bomba na ni kweli huyu muuni sana na chapombe kama Baba yake na kwao ni nyuma ya shule ya mapambano sinza

Baba mzazi wa Yona yupo vizuri sana kipesa pia hisipokua , alioa mke mwingine Yona na. Ndugu zake wa mama mmoja na mama Yao ambae ni mke wa ndoa wakatelekezwa baba akawa anajali zaidi watoto wa bi mdogo. watoto wote wa bi mdogo wamesoma University England na huko Tanzania walisoma feza international baba yake Yona ndio yule mmiliki wa Fares Kisingo international school (Fk international ) mbezi beach
 
Rest in pieces,kujiua ni kuidhulumu nafsi,mke akufanye ujiue?stupidity of the highest order.Utakuta huyu dogo mzazi wake alifariki hakujiua,'manamake' yalivyojaa?Huu ni ulimbukeni wa kyuma.Povu Ruksa.
 
Tumetahadharishwa kwenye vitabu vya Dini kuhusu Wanawake tuishi nao kwa akili sana..

R.I.P. Yona...
 
Jamaa inasemekana mwanamke alimtolea mahali ila alikuwa anachukuliwa na madingi, ni kama aliolewa ila kama alifunga ndoa labda walipoamia Mbeya. Huku ukumbi ulilipwa gaza sinza na shughuli haikufanyika.
Duuuh!!
 
Kuna taarifa kuwa Yona Fares Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018 baada ya kunywa sumu.

View attachment 674668

Uamuzi wa kunywa sumu ulitokana na ugomvi baina yake na mke wake nyumbani kwao Mbeya.

Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.

Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu

Chanzo ni ukurasa wa Facebook wa dada yake na Yona: Janet Fares Maro

Huu ndio ujumbe aliouacha marehemeu nyuma ya kifo chake

Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.

Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi.

Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendelee!
Inasikitisha Sana,wanawake ni watu wabaya sana.Huyu kamada na yeye si angeachana naye tuu akafanya mengine? Any way RIP lakini haikuwa lazima uchukue mkondo huo na maisha yangeendelea bila huyo mkeo.
 
Kujiua siyo sahihi dawa ni na wewe kutafuta mpenzi wako mwingine. Ni mawazo potofu ni ugonjwa.
 
Du! Wandugu tujiatahidi Sana kufikiri na kushirikisha Wadau kwenye mambo km Haya kabla ya kachukua hatua.
Suluhisho km mna familia kidume unahama tu na kuanza maisha mapya, lkn si kujiua. Dah!! Rip brooo. Tutaukosa Mchango wako ktk harakati zetu
 
Back
Top Bottom