[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikucheke tu jiombee wewe na kizazi chako kwanzaNa sisikii udhaifu wenu tumeubeba kwenye boxer na wallet!!!
Mwanamke ni kiumbe kizaliwacha na shahawa za mwanaume ila siyo kumbe kamwe cha kukitegemea na kukiamini kwa asilimia zote.. Kipende kadri ya uwezo wako ila usikiamini kamwe kwa kuwa Ubongo wa hiki Kiumbe kinawaza vitu vingi ambavyo kati ya Vitu hivyo vyote asilimia kubwa ni Tamaa tuuuuuuuuuuuuuuuuuu hakuna hata kimoja ambacho siyo cha Tamaa..
Sasa Tamaa ikizidi uwezo matokeo yake ni Makubwa... Na hata hizo Ndoa au Mahusiano yanayoyumba ukifuatilia chanco kikubwa ni Tamaa ambayo Mwanamke anataka kutimiziwa na Mwanaume kila Muda..... Mwanamke ni kiumbe kinachoishi na Kuongozwa na Matamanio Muda wote
Maro ni oldmoshi ila huti mkewe atakua wa iringa au mbeyaR.I.P....!
===
Huyo injinia ni mu-old moshi ama mkibosho ama mmarangu ! ? Lengo la swali kuweka kumbukumbu sawa sawa.
Huyo ataishia kuona picha kma jamaa alikua tegemeo la familia watamtoa nunduI know them all...Apumzike kwa amani Yona, Mwanamke kasindikizwa na Polisi msibani
Mwanamke akiwa shetani hata Shetani wa Kweli anafumba Macho....Hapa wanaume wanavolaumu wanawake sasa utadhani wao ni malaika teh funny!!!
Ndiyo! Hakufa kwasbabu ya mapenzi ila alikufa kwa sababu ya usaliti! Mapenzi hayaui ila usaliti unaua!Hivi huyu jamaa si aliyekufa sababu za kimapenzi na mkewe aliyeko idara ya maji Mbeya.
So sadyNdiyo! Hakufa kwasbabu ya mapenzi ila alikufa kwa sababu ya usaliti! Mapenzi hayaui ila usaliti unaua!
Mkewe alikuwa mkavuuuuu msibani utadhani yupo kwenye smart area...pambaff zake kwa niaba ya wanawake wengine wenye tabia kama zake!So sady
Wale wafanyakazi wenzie wanaomtafuna vipi walifika msibani.Mkewe alikuwa mkavuuuuu msibani utadhani yupo kwenye smart area...pambaff zake kwa niaba ya wanawake wengine wenye tabia kama zake!
Daaah R.I.P member, yule dada kinachomdanganya ni lile Tako lake anaonekana smart na dread kumbe mshenzi tu na muhuni.
Malipo hapahapa Duniani
Chonde chonde Mkuu tua huo mzigo japo kidogokidogo walau kama hivi ulivyoutajaMnatutesa sana nyie wanawake. Inafika kipindi mpaka tunalia kwa ajili yenu. Mm mwenyew naandika lkn nina mzigo mzito sana kwenye moyo wangu. Usione wanawaume tupo barabaran lkn......... Mungu ndiye anajua
ninj kimepalekea kifo chake mkuu?Ukiona mwanamke ameanza kuchepuka ndugu yangu ujue huna miaka mitano mbele, Either atakuua au utakufa kutokana na msongo wa mawazo.. Ushauri ni bora ukaachana nae na kuendelea na ishu nyingine halafu kwa nini mjini wamama wenye nyumba ni wengi?
Ukiuona nitagKuna uzi nautafuta wa mtoa mada mmoja ambaye alikuja na ID mpya akilalamikia mapenzi. Nimekuwa nikihisi ni huyu marehemu!