TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Na sisikii udhaifu wenu tumeubeba kwenye boxer na wallet!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikucheke tu jiombee wewe na kizazi chako kwanza

Kasome biblia na maanguko ya wateule wa Mungu Halafu ndo uje tubishane acha kushupaza shingo hiyo
 
Mwanamke ni kiumbe kizaliwacha na shahawa za mwanaume ila siyo kumbe kamwe cha kukitegemea na kukiamini kwa asilimia zote.. Kipende kadri ya uwezo wako ila usikiamini kamwe kwa kuwa Ubongo wa hiki Kiumbe kinawaza vitu vingi ambavyo kati ya Vitu hivyo vyote asilimia kubwa ni Tamaa tuuuuuuuuuuuuuuuuuu hakuna hata kimoja ambacho siyo cha Tamaa..
Sasa Tamaa ikizidi uwezo matokeo yake ni Makubwa... Na hata hizo Ndoa au Mahusiano yanayoyumba ukifuatilia chanco kikubwa ni Tamaa ambayo Mwanamke anataka kutimiziwa na Mwanaume kila Muda..... Mwanamke ni kiumbe kinachoishi na Kuongozwa na Matamanio Muda wote

Mwanamke kazaliwa na shahawa za mwanaume?????!!!!!!
Hebu kamwage hizo shahawa zako kwenye kiota afu usubiri mwanamke azaliwe
 
Kuna uzi nautafuta wa mtoa mada mmoja ambaye alikuja na ID mpya akilalamikia mapenzi. Nimekuwa nikihisi ni huyu marehemu!
 
Nilienda kumzika...nina hasira kiasi cha kupasuka! Pambafff Eng Mwambu Paul Mloelya Pambaff mzinifu mwenzio Lossy ...mtaonana wa kawaida sasa maana mapenzi ya wizi yalikuwa matamu, mtaendelea kuchepuka tena na tena hadi mtoboke hivyo vifanyio ...pambaff zenu!
 
Hivi huyu jamaa si aliyekufa sababu za kimapenzi na mkewe aliyeko idara ya maji Mbeya.
 
Mnatutesa sana nyie wanawake. Inafika kipindi mpaka tunalia kwa ajili yenu. Mm mwenyew naandika lkn nina mzigo mzito sana kwenye moyo wangu. Usione wanawaume tupo barabaran lkn......... Mungu ndiye anajua
Chonde chonde Mkuu tua huo mzigo japo kidogokidogo walau kama hivi ulivyoutaja
 
Ukiona mwanamke ameanza kuchepuka ndugu yangu ujue huna miaka mitano mbele, Either atakuua au utakufa kutokana na msongo wa mawazo.. Ushauri ni bora ukaachana nae na kuendelea na ishu nyingine halafu kwa nini mjini wamama wenye nyumba ni wengi?
ninj kimepalekea kifo chake mkuu?
 
Back
Top Bottom