Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani.

Yondani bado anacheza mpira kama ajira yake, kitendo cha kumhusisha na hongo kitamfanya asiaminike hata pale inapotokea akafanya kosa kwa bahati mbaya. Pia kitawapa mashaka waajiri wake hata kutomuongezea mkataba.

Katika ile mechi, Yondani aliingia mwishoni wakati timu imeshafungwa, kwanini sasa wamhusishe na hongo? Kwa TV kama Azam sikutegemea kama wanaweza kukosa weledi na kurusha kipindi bila kufanya uhariri, hivyo ni muda sahihi wa Yondanj kuchukua hatua za kisheria dhidi yao.
Lilikuwa duka lile
 
Yale ni maoni ya mshabiki tu, awez kupiga ela yoyte hpo
 
Si mlisema wenyewe utani wa jadi au..ule ule ambao manyra anamchafua mo kwa kisingizio cha utani wa jadi alafu aiiitwa cheupe kidawa anataka kushitaki haki za binadamu..yondani atulie acheze boli tu hapati hata mia
 
Back
Top Bottom