Yondo Kusala Denise (Yondo Sister), JamiiForums tunakupa heshima zako na tunauthamini mchango wako, hatuna tuzo, ila tuna uzi wako

Yondo Kusala Denise (Yondo Sister), JamiiForums tunakupa heshima zako na tunauthamini mchango wako, hatuna tuzo, ila tuna uzi wako

Asante sana mtoa maada, nakumbuka matamasha mawili ya yondo sister ya mwisho, nilikua jijini kinshasa, baada ya kumaliza kula sombe na nyama iliyokaangwa kwa kitunguu, kama kesho nikaruka port matadi, na nilipata kumuona Yondo au malkia mitaa ya halle de la gombe miaka ya nyuma hapo nilikua na rafiki yangu bisima na mrembo chantel, yondo ni mtu mtaratibu sana na huongea lingala huku akichanganya na kifaransa, nakumbuka dance style ya kwasakwasa na ambayo ilitumika sana kucheza muziki wa rhumba, lakini pia muziki wa yondo ulitumika na machinga wengi na wauza urembo wengi kama namna ya kuvuta wateja, asante kwa kumbukumbu nzuri, watoto wadogo wanatetea wauza bandari haya mambo hawawezi kuyajua, bazo bazo, le queen, le madame
 
Mimi nilikuwa darasa la pili ila nakumbuka hii cover ya albamu ilipendwa sana na wachoraji wakawa wanaichora. Miaka ya 90 wakongo walitubariki na muziki mzuri. 94 hadi 96 kulikuwa na ushindani mkubwa sana kimuziki huko DRC. Wakati Yondo anafanya yake akaibuka Koffi na Andrada huku Wenge wakija na pentagone.
 
Back
Top Bottom