Asante sana mtoa maada, nakumbuka matamasha mawili ya yondo sister ya mwisho, nilikua jijini kinshasa, baada ya kumaliza kula sombe na nyama iliyokaangwa kwa kitunguu, kama kesho nikaruka port matadi, na nilipata kumuona Yondo au malkia mitaa ya halle de la gombe miaka ya nyuma hapo nilikua na rafiki yangu bisima na mrembo chantel, yondo ni mtu mtaratibu sana na huongea lingala huku akichanganya na kifaransa, nakumbuka dance style ya kwasakwasa na ambayo ilitumika sana kucheza muziki wa rhumba, lakini pia muziki wa yondo ulitumika na machinga wengi na wauza urembo wengi kama namna ya kuvuta wateja, asante kwa kumbukumbu nzuri, watoto wadogo wanatetea wauza bandari haya mambo hawawezi kuyajua, bazo bazo, le queen, le madame