Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Yupo so alligned na yeyeSahihi, I have a frend too, kila atakachopanga laziikma kitokee.. watu wamebarikiwa..
NIKWELI MKUU UKIWA NA MITETEMO YA JUU KILA KITU UTAVUTIA NA HUTAOGOPA CHOCHOTE.Umegusia hoja muhimu sana ndugu "high vibration".
Katika ulimwengu wa mahali na muda (space-time) angalau tunachoweza kukiboresha ni mawanda yetu ya nguvu " our energy level'
Muda wenyewe unapita hata sasa
ngoja nikumegee kidogo siri yangu.Sahihi, I have a frend too, kila atakachopanga laziikma kitokee.. watu wamebarikiwa..
Asante sana umenifundisha jambo jipya!ngoja nikumegee kidogo siri yangu.
Kuna njia nyingi mim hutumia.
Tangu nakua nmekua huku namaster matendo ya watu.
Kuna mbinu niliitumia tangu zaman nikiwa mdogo nikitaka jambo langu liwe na nalitaman liwe.
"Niliwa aminisha marafki zangu kuwa kile kitu nachotaman nikipate ninacho nimenunua"
Nilifanya vile makusud kabsa ili wanisaidie imani kujenga ile picha ya ninachokitaka, bila wao kujua nia yangu.
na kweli sikawii nakipata.
na njia ya pili ni kukiishi rohon unachokitaka
Ila kweny maisha yang mpaka sasa nikimwambia mtu nataka fanya jambo fulan huwa halifanikiw ila nachofanyaga ni kufanya kimyakmya watajua baadae.
Nampenda sana mwanamke anayelialia. Huyu wangu ni kama nunda, ukiwa weak anakudunda tu bila wasi.Mimi sio motivation speaker lakini nafikiri ni moja kati ya the strongest people i know
Nimepitia pitia mengi lakini kujua ni ngumu hadi niseme
1. Sijawahi kubadili mawazo na maisha yangu yakabadilika, lakini nimewahi kubadili mawazo yangu nikapata unafuu wa nafsi
2. Nikiwa na mawazo ya pressure ya kazi/mahusiano huwa natoa uchungu kwa kulia( mimi ni mliaji haswaaa) kwa mahusiano na kama pressure ya kazi njia pekee ni kufanya kazi kuziba hivyo vipengele vinavyoleta pressure
3. Positive thinking ni nzuri lakini haifanyi kazi kwa kila case
wabheja kolomba.Asante sana umenifundisha jambo jipya!
Wabheja sana!
Nawadanganya tu wana JF Ili wakuogope, wasiwe wanakitania tania 😅Uwii mimi nakudunda na ninali vizuri tu😂
Tuwakatae mazima, right?Huata mi sitaki kabisaa wanizoee😎
Positivity inafanya kazi kubwa sana maana ndio inayotupa tumaini. Mtu hasiye na tumaini hawezikufanya jambo lolote. Ukifanya maana yake unaamini kuna kitu unawezapata.Habari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?
Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.
Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.
Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,
Karibuni.
You never act without a motivation to act ✍️I've been on this path for a while now na kuna siku nilipata wazo hili nikasema Nita weka post ila nilisahau
Maisha hayabadiliki kwa positive affirmation, eti kuongea na kuanza kufikiri kama umefanikiwa
Nothing beats action, ndo maana mtu anaye kwenda kucheza uwanjani anapata experience nzuri kuliko yule anayekesha ku study moves za mchezaji fulani.
Ubaya ni kwamba watu tunakwenda mashuleni na tu nadanganya kuwa expert inabidi some ufaulu mtihani kwa kukariri instead of doing. Baadae wanakuja wachina walio zoea kufanya wanatuzidi.
Hakuna anayependa kufanya kazi because it is uncomfortable ila ndo the only way out.
Hii post imenikumbusha natakiwa ni rudi kwenye hermit mode, nifute distractions upya ili nianze kumanifest my dream life.
Akili sana mtu wangu umeandika vyema kabisaHabari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?
Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.
Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.
Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,
Karibuni.
This is the real Gunner replying...You never act without a motivation to act ✍️
It's a postive outlook that gives you a power to act. Wanaposema kuhusu nguvu ya mawazo chanya hawana maana ya kwamba uamini alafu ukae umesubili miujiza.
Nguvu ya imani chanya juu ya kile unachokifanya.
So ukiwaza you are not beautfull huwi beutfull kabisa 😆😆 ila ukweli ni kwamba kila kitu tulivyonavyo ni hali ya akili ilivyokubali, kuna my nigga alikuaga anasemaga nikimaliza A level lazima nizame South Afirca na kweli banah akazamia South Africa mbaya zaidi akaijingiza kwenye mitikasi ya madawa ndipo walipomuulia kwa kuchomwa kisu dah sad kweliHabari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?
Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.
Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.
Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,
Karibuni.
Duhh pole sana aisee!So ukiwaza you are not beautfull huwi beutfull kabisa 😆😆 ila ukweli ni kwamba kila kitu tulivyonavyo ni hali ya akili ilivyokubali, kuja my nigga alikuaga anasema nilimaliza A level lazima nizame South Afirca na kweli banah akazamia South Africa mbaya zaidi akaijingiza kwenye mitikasi ya madawa ndipo walipomuulia kwa kuchomwa kisu dah sad kweli
Pole sana mkuu ,hapo kwenye kulia huwa nitiba kabisa usiache kulia unajua mtu anaelia anajiponya kuliko anaekaa na uchunguMimi sio motivation speaker lakini nafikiri ni moja kati ya the strongest people i know
Nimepitia pitia mengi lakini kujua ni ngumu hadi niseme
1. Sijawahi kubadili mawazo na maisha yangu yakabadilika, lakini nimewahi kubadili mawazo yangu nikapata unafuu wa nafsi
2. Nikiwa na mawazo ya pressure ya kazi/mahusiano huwa natoa uchungu kwa kulia( mimi ni mliaji haswaaa) kwa mahusiano na kama pressure ya kazi njia pekee ni kufanya kazi kuziba hivyo vipengele vinavyoleta pressure
3. Positive thinking ni nzuri lakini haifanyi kazi kwa kila case
Acha kabisa ilituumiza wengiDuhh pole sana aisee!