Mostly matokeo huwa chanyaPositive thinking inasaidia, Binafsi inaniletea energy ya kusimama tena au kufanya maamuzi.
Japo matokeo sio mara zote matokea yanaendana na matarajio. Lakini inasaidia kwa kiasi chake.
Huwa mnatoaga vitu sana nyuzi zenu sio haba halafu kuna wenzangu na mimi wale platinum membersππππ wanazingua sanaViva waandishi wa kike vivaa! π₯
Pole sana mkuu ,hapo kwenye kulia huwa nitiba kabisa usiache kulia unajua mtu anaelia anajiponya kuliko anaekaa na uchungu
Nampenda sana mwanamke anayelialia. Huyu wangu ni kama nunda, ukiwa weak anakudunda tu bila wasi.
LasabaD sijasmbulia kitu.!! Ndo mnamaanisha nini???
Hata sijui, ila bibie akilia huwa nazidi kumpenda tu!Kwanini unapenda anayelia lia? π
Focus tu, utulivu ndio nguzo , kila unachokiona kilikuja kwa utulivu na kujipa mda bila kufosiInafanyaje kazi sijawahi kuwaza opposite na jambo lenyewe?
Hahaha hapana , nilianza kuchangia bila kusoma mada π sasa nimeelewaUmenielewa?
TuliaUmeelewa nini?