Una madini sana mkuu.. endelea kutema👏🏾Tatizo tumesahulishwa na mifumo kuwa katika hii sinema inayoitwa maisha mchezaji ni ( Mimi na wewe na muangaliaji ni Mimi na wewe) tumekaririshwa zaidi kuangalia sinema na kusahau kuwa sisi ndiyo wachezaji wenyewe.
Tunajiona kama wahanga" victim" wa maisha badala ya mashujas wake. Ndiyo maana linapokuja kicheko cha ulimwengu (kifo) au kwa kusukuma "cosmic joke" tunaona tumepoteza.
Unajua ni nini, Kuna point mnazitoa zinanigusa so deep.Una madini sana mkuu.. endelea kutema👏🏾
Watu hawaoni na hawataki kuona mapambano yako ya ndani " inner struggle" wanataka matokeo yako. Kuonesha huruma na unyonge siyo njia sahihi hata kidogo. That is why kuna wakati hatupaswi kuioneshea Dunia unyonge, show it that you can.
Yes we learn from each other, you are my real reflection and I am your reflection, I can see myself through you.... Hata wewe unajiona kwangu ndiyo maana ya "Dunia ni kioo kikubwa kinachokuonesha wewe ulivyo"That’s why nipo hapa kupata funzo!
So true! Am so glad.. tuendelee kujifunza zaidi!Yes we learn from each other, you are my real reflection and I am your reflection, I can see myself through you.... Hata wewe unajiona kwangu ndiyo maana ya "Dunia ni kioo kikubwa kinachokuonesha wewe ulivyo"
Ok.. ngoja nitoe mfano huu wa kuhuzunisha, tafakari juu ya mtu mwenye jeraha linalovuja damu usoni anayejiangalia kwenye kioo kisha anaamua kuchukua kitambaa na kufuta damu inayoonekana kwenye kioo kwa kufuta kioo na kupaka dawa kwenye kioo. Haya ndiyo maisha yetuSo true! Am so glad.. tuendelee kujifunza zaidi!
This hurts way more..💔Ok.. ngoja nitoe mfano huu wa kuhuzunisha, tafakari juu ya mtu mwenye jeraha linalovuja damu usoni anayejiangalia kwenye kioo kisha anaamua kuchukua kitambaa na kufuta damu inayoonekana kwenye kioo kwa kufuta kioo na kupaka dawa kwenye kioo. Haya ndiyo maisha yetu
Ndiyo maana hata ule msemo wa "kufikiri nje ya boksi" nao unakosa maana kwa sababu uwepo wa boksi hata kama ukitoka nje ya boksi Kuna athari za boksi.This hurts way more..💔
Hayo maboksi yote sijaona michango yao katika maisha yangu, michango yao ni ambayo kila mtu anaipata bila hata kuomba wala kutegemea!Ndiyo maana hata ule msemo wa "kufikiri nje ya boksi" nao unakosa maana kwa sababu uwepo wa boksi hata kama ukitoka nje ya boksi Kuna athari za boksi.
Tunapaswa kufikiri kwa kuru bila ya uwepo wa boksi, tubaki wenyewe asilia. Haya maboksi (mifumo ya elimu, Jamii, Familia, Dini) ni maboksi yaliyotuumiza sana.
Yanatufanya tufanane wote, tuishi maisha yaleyale yasiyokuwa na ladha ya upekee. Haya ndiyo gereza la mtu wa ndani tangu kuzaliwa mpaka kufa.Hayo maboksi yote sijaona michango yao katika maisha yangu, michango yao ni ambayo kila mtu anaipata bila hata kuomba wala kutegemea!
Uzi huu umenigusa pia. Positive thinking siyo uchawi, lakini namna tunavyofikiri inaweza kubadili namna tunavyoona tatizo, kufanya maamuzi na kuchukua hatua. Ukiamini umefeli, unaweza kukata tamaa; ukiamini bado unaweza kuanza upya, unatafuta njia.Habari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?
Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.
Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.
Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,
Karibuni.
sijui kama natengeneza tatizo! Kwa kuondoa uchungu ikishindikama kusolve ni kujipa matumaini na uvumilivuUnaondoaje uchungu?
Haya ukimaliza kusoma nijibu haya maswali yangu mawili..Hawa mabinti zetu wanaadika vizuri. Nakuwa msomaji maana sina content tena🤪
Sina content mjukuu, mnaandika kila kitu, kinachobaki ni kusoma na kumeza kama vilivyo.Haya ukimaliza kusoma nijibu haya maswali yangu mawili..
-Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli?
-Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?