You cant be a rich, without shady or dirty deals

Sadly hata huko peponi hatuna uhakika kama hawajajaa matajiri, the game is rigged usishangae na peponi wakawepo hao hao matajiri, baada ya exploitation they repent and give a little back to the community in the name of charity !
Most likely heaven is not real.
Could be the greatest hoax of all time.
 
Hii niliisikia sehemu....wahindi waliporwa Mali zao sanaa,na kuna wahindi waliwapa waswahili pèsa wakafiche mashambani ama popote wanapojua apo ndo wazee wenye akili walicheza game
 
Uko wrong
Utajiri wa wazungu kuiba rasilimali za Africa umedumu miaka na miaka.
 
Asante ndugu Mwandishi, ila mimi naona Kuna tofauti kati ya utajiri na Kuishi ndoto za maisha yako. Bse utajiri sio kila kitu ktk Maisha, unaweza kuwa na pesa ila kilio cha kutimiza kusudi la maisha yako likawa pale pale... Binafsi naamini everyone is meant to solve peoples problem, hao ndio hasa roho yako hupata kuridhika pale unaona umekuwa useful au wa msaada kwa mwanadamu.

Bahati mbaya wengi tunadhani pesa ndio itatupa kuridhika, no wonder leo tu naona watu wengi wenye pesa hawana Amani, wa natumia madawa ya kulevya... Ili wapate starehe baada ya kuwa na stress... Wengine wa natumia pesa kupata heshima... Ingawa heshima hiyo ni ya unafiki.. Maana heshima ya kweli huja pale watu wanapoona value yako ktk jamii kitu ambacho haki wezi tokea unless umekuwa wa msaada kwa wanadamu wenzio.
 
Kwahiyo hayo madeal yao machafu yapo hadharani hadi google?

Kwakuwa wewe umenipinga na unayajua hayo madeal,naomba nitanjie basi
Mkuu kwa asilimia Kubwa Matajiri wengi wamepata utajiri kwa njia haramu hizo biashara halali unazoziona wako nazo ni geresha tu Yako mengi nyuma ya pazia ambayo Huwa ni Siri kubwa
Mtu kuwa tajiri mkubwa katika jamii zetu za kiafrica ambazo sio rahisi kwasababu wengi hutoka kwenye familia maskini na za kawaida
 
utajiri ni zawadi hautafutwi bali pesa, ukitafuta utajiri utauwa watu
 
Utajiri sio kwa kila Mtu Kuna watu wanapata mil 500 lakini anarudi palepale katika poverty zone.

Ukitaka kujua wealth is not for everyone mtafute masikini ambaye unaona anaishi katika poverty zone mpatie hela then tazama anaenda kufanya nini.?


Anayesema utajiri au wealth upo katika Akili yupo sahihi even when you get dirt Money ila Kama hauna Huwezo kuitunza hiyo hela uliyopata from dirt money utapoteza kila kitu finally.

Kuna mtu anaweza kuwa Hana hata Mia but once you see him or her unamuona kuwa atapata Mafanikio Makubwa huko Mbele .
 
Mkuu kama utaishi kwa mentality hiyo katika zama hizi utafeli,Utajiri ni matokeo kati ya akili nzuri ya kutafuta pesa na uthubutu yaani kuwa na moyo mkuu na uhodari katika kutafuta pesa
akili nzuri,uthubutu,moyo mkuu na uhodari! Do you think duniani mtu hodari mthubutu na mwenye moyo mkuu ni musk tu,?? Ivi unajua maana ya fedha?
 
Ndo naomba unitajie hayo mambo ya nyuma ya pazia yaliyowapa utajiri.

Naomba listi ya matajiri 10 na madeal yao ya nyuma ya mapazia na ushahidi kuwa ndio yamewapa utajiri.
 
Well said.Huu ndio utajiri haswa. Kuwa chanzo cha furaha ya kweli Kwa wanadamu wenzako. Hakuna starehe hapa duniani kama hii mengine ni ubatili mtupu na kujilisha upepo[emoji123]
 

Ukweli mtupu.
 
Sadly hata huko peponi hatuna uhakika kama hawajajaa matajiri, the game is rigged usishangae na peponi wakawepo hao hao matajiri, baada ya exploitation they repent and give a little back to the community in the name of charity !
Hapa kuna ukweli na Mungu anavosamehe dhambi, huwa anafuta yote ya nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…