RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Mtumishi unamaanisha nini kuwa ni zawadi wakati wengi wanaiba na kufanya manipulation?utajiri ni zawadi hautafutwi bali pesa, ukitafuta utajiri utauwa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumishi unamaanisha nini kuwa ni zawadi wakati wengi wanaiba na kufanya manipulation?utajiri ni zawadi hautafutwi bali pesa, ukitafuta utajiri utauwa watu
Real because you say so? Give me undisputed facts and I will agree with you.It is real my friend. There is no freedom without limit.
Mkuu wewe unasemea jamii za kizamani miaka ya 60s na 70 kuanzia miaka ya 90s2000 bila pesa huwezi kuheshimika hajalishi hiyo pesa uliipata jeAsante ndugu Mwandishi, ila mimi naona Kuna tofauti kati ya utajiri na Kuishi ndoto za maisha yako. Bse utajiri sio kila kitu ktk Maisha, unaweza kuwa na pesa ila kilio cha kutimiza kusudi la maisha yako likawa pale pale... Binafsi naamini everyone is meant to solve peoples problem, hao ndio hasa roho yako hupata kuridhika pale unaona umekuwa useful au wa msaada kwa mwanadamu.
Bahati mbaya wengi tunadhani pesa ndio itatupa kuridhika, no wonder leo tu naona watu wengi wenye pesa hawana Amani, wa natumia madawa ya kulevya... Ili wapate starehe baada ya kuwa na stress... Wengine wa natumia pesa kupata heshima... Ingawa heshima hiyo ni ya unafiki.. Maana heshima ya kweli huja pale watu wanapoona value yako ktk jamii kitu ambacho haki wezi tokea unless umekuwa wa msaada kwa wanadamu wenzio.
Unfortunately God reveals his truth to those who trust him through his word. You believe in him first then he practically manifests himself in your personal life. And this is what makes me trust him more and more. I'm the kind of person who trusts not in mere stories. God and his Kingdom is real [emoji120]Real because you say so? Give me undisputed facts and I will agree with you.
We all know your freedom ends where mine is starting. By that saying, I agree there is no freedom without limit.
Utajiri mtu hatafuti bali hupewa na mungu au nature kama zawadi,ukitafuta utariji ndo ivo utaishia kuwa tapeli,mchawi , muuwaji au mwizi.Mtumishi unamaanisha nini kuwa ni zawadi wakati wengi wanaiba na kufanya manipulation?
Kwahiyo hayo madeal yao machafu yapo hadharani hadi google?
Kwakuwa wewe umenipinga na unayajua hayo madeal,naomba nitanjie basi
wamerudi tena kuhalalisha dhuruma..... eeeh Mungu tuokoe
Tangia kuumbwa kwa dunia hii, wenye maarifa, akili (kufikiria 5x zaidi ya wengine), wenye subira, wenye kuthubutu hata kwenye hatari, wasiojionea huruma kwenye masirahi na nguvu ndiyo wenye uwezo wa kupata mali in abundant.Kuna muda nilikaa na wafanyakazi wenzangu tukaulizana hivi ni nani kati yetu anamiliki gari kali kama G-wagon na AudiRs7 kupitia ujira ule ule unaotokana na kazi yetu jibu likawa hakuna.
Tukaulizana tena ni nani kafanikiwa kujenga aprtments na hotel kubwa kama Serena na Ramada kwa kupita kuweka akiba na ujira ule ule wa kazi zetu jibu likafanana na lile la kwenye swali la kwanza.
Sasa hata wewe unaweza kujiuliza kwa kutumia Zile formula za Geometry na Calculus umefanikiwa kupata maisha ya ndoto zako??, Ati , kwa Zile principle za Archimedes au Mzee Newton , au ni nani amefanikiwa kupata maisha mazuri kwa kaelimu ketu haka haka ka kuunda sentensi kwa njia ya matawi jibu ni lilelile HAKUNA
Wazee wetu waliturithisha msingi wa kwanza ni elimu .,
Nasi tukaifuata hatuwezi walaumu wala kuilaumu elimu sanasana imetutoa katika kivuli kikubwa sana cha ujinga lakini Elimu yetu bado imeshindwa kutupa utajiri,ambao ndio silaha kubwa ya adui namba moja wa mwanadamu (Umaskini)
Tumeishi mara kadhaa na matajiri ambao huko zamani hadithi zao zinataja yakwamba, hawakuthubutu hata kufika darasa la 7.
Kwa bahati mbaya sana hata hiyo siri ya wao kuwa matajiri hawakupi
Vingenevyo utaskia kauli za kishujaa kutoka kwa motivational speakers, eti ukianza hata na nyoya la kuku linatosha kuzalisha kuku wengi ambao mbeleni watakuletea mamilioni. damn.
Tukielezana ukweli wengi wetu elimu imetupatia hela ya mboga tu na kubadilisha nguo na kulipia ada na mahitaji kadhaa.
Ambayo wengi wetu tunasema Alhmdullillah.
Ila ukweli kabisa ule utajiri wa bakhresa na Kina Mzee Alhaji Dangote una siri kubwa sana mabwana
I tell people the truth every day hakuna braah braah za eti ukauza ukwaju na barafu au visheti barabarani ukaangukia kuwa na pesa kama ginimbi.
You cant be rich without shady or dirty deals
Popote pale ulipo na utakapokuwako .
Whether in Africa,Europe or Asia
You must break the law to be wealthy
Steal tax evasion, scam people, na uchafu mwingine mwingine mwingine mwingi.
Otherwise you will end up like lazaraus.
Oh well well..!Unfortunately God reveals his truth to those who trust him through his word. You believe in him first then he practically manifests himself in your personal life. And this is what makes me trust him more and more. I'm the kind of person who trusts not in mere stories. God and his Kingdom is real [emoji120]
Utajiri wa halali upo lkn hauwezi kupatikana kwa kizazi kimoja. Utajiri wa halali hutokana na kuwa na mtaji mkubwa utakaoutumia kuzalisha faida from time to time.Kuna muda nilikaa na wafanyakazi wenzangu tukaulizana hivi ni nani kati yetu anamiliki gari kali kama G-wagon na AudiRs7 kupitia ujira ule ule unaotokana na kazi yetu jibu likawa hakuna.
Tukaulizana tena ni nani kafanikiwa kujenga aprtments na hotel kubwa kama Serena na Ramada kwa kupita kuweka akiba na ujira ule ule wa kazi zetu jibu likafanana na lile la kwenye swali la kwanza.
Sasa hata wewe unaweza kujiuliza kwa kutumia Zile formula za Geometry na Calculus umefanikiwa kupata maisha ya ndoto zako??, Ati , kwa Zile principle za Archimedes au Mzee Newton , au ni nani amefanikiwa kupata maisha mazuri kwa kaelimu ketu haka haka ka kuunda sentensi kwa njia ya matawi jibu ni lilelile HAKUNA
Wazee wetu waliturithisha msingi wa kwanza ni elimu .,
Nasi tukaifuata hatuwezi walaumu wala kuilaumu elimu sanasana imetutoa katika kivuli kikubwa sana cha ujinga lakini Elimu yetu bado imeshindwa kutupa utajiri,ambao ndio silaha kubwa ya adui namba moja wa mwanadamu (Umaskini)
Tumeishi mara kadhaa na matajiri ambao huko zamani hadithi zao zinataja yakwamba, hawakuthubutu hata kufika darasa la 7.
Kwa bahati mbaya sana hata hiyo siri ya wao kuwa matajiri hawakupi
Vingenevyo utaskia kauli za kishujaa kutoka kwa motivational speakers, eti ukianza hata na nyoya la kuku linatosha kuzalisha kuku wengi ambao mbeleni watakuletea mamilioni. damn.
Tukielezana ukweli wengi wetu elimu imetupatia hela ya mboga tu na kubadilisha nguo na kulipia ada na mahitaji kadhaa.
Ambayo wengi wetu tunasema Alhmdullillah.
Ila ukweli kabisa ule utajiri wa bakhresa na Kina Mzee Alhaji Dangote una siri kubwa sana mabwana
I tell people the truth every day hakuna braah braah za eti ukauza ukwaju na barafu au visheti barabarani ukaangukia kuwa na pesa kama ginimbi.
You cant be rich without shady or dirty deals
Popote pale ulipo na utakapokuwako .
Whether in Africa,Europe or Asia
You must break the law to be wealthy
Steal tax evasion, scam people, na uchafu mwingine mwingine mwingine mwingi.
Otherwise you will end up like lazaraus.
They are mere stories if and only if they never become practically evident. So long as whatever said becomes practically evident why should I keep on hardening my neck then?. What other proof do I need?[emoji3]Oh well well..!
Where did you get the facts about heaven apart from Bible stories.
How do they not qualify as mere stories?
How do you prove someone didn't invent them? At least some of them.
My belief, and I repeat my belief, God exists.
But I don't have any solid proof about my belief. It's based on faith, my intuition, my desire to have something or someone with superpower upon that power I can hope relief or peace of my mind whenever things goes wrong.
Where I can lean on and have support during my troubles. May be because of fear of death which is derived from fear of unknown. As we know, no body knows what happens when you die.
The smarty people who invented religions and heavens or paradise they knew well about this fear of unknown that's why they promised heaven to their believers.
I can say they knew well how to exploit this emotional weakness of human beings. They saw an opportunity and seized it.
My belief about God's existence is also based on how I see nature, wonderful things around us. How things are seems to be coordinated automatically.
Well smoothly run complex systems.
The weather seasons, ecosystems, reproduction systems, e.t.c.
Uki trace baadhi ya majarida ya sasa kuhusu jamii fulani fulani za kale ambazo zilikuwa na utajiri basi kuna uhaini ulifanyika ili kutengeneza barabara ya utajiri kwenye koo zaoPrimitive accumulation of capital its necessary evil kama unataka kua tajiri, hiyo ndo njia peke nchi za wenzetu ziliweza kutupita haraka.........pesa ya mshahara au ya kuuza madafu haiwezi kukupa utajiri, labda uingie kwenye siasa uibe pesa za umma kwa kujifanta mzalendo, kama wana siasa zetu.
Ni sahihi kabisa mkuuNakaribia kuanza kuamini hilo mkuu.
Sonona ya hali ya juuUsitafute pesa na akili ya shule, utaingia depression 🐒
Andiko lilikuwa na maana kubwa sanaWealth comes after serious and excessive exploitation and leveraging of other people or other people's resources.
Ni vile ukaambiwa ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia peponi.
Sio dhuruma inaitwa dhulma au dhulumawamerudi tena kuhalalisha dhuruma..... eeeh Mungu tuokoe
I agreeUko wrong
Utajiri wa wazungu kuiba rasilimali za Africa umedumu miaka na miaka.
👍👍Ukweli mtupu.
SawasawaAsante ndugu Mwandishi, ila mimi naona Kuna tofauti kati ya utajiri na Kuishi ndoto za maisha yako. Bse utajiri sio kila kitu ktk Maisha, unaweza kuwa na pesa ila kilio cha kutimiza kusudi la maisha yako likawa pale pale... Binafsi naamini everyone is meant to solve peoples problem, hao ndio hasa roho yako hupata kuridhika pale unaona umekuwa useful au wa msaada kwa mwanadamu.
Bahati mbaya wengi tunadhani pesa ndio itatupa kuridhika, no wonder leo tu naona watu wengi wenye pesa hawana Amani, wa natumia madawa ya kulevya... Ili wapate starehe baada ya kuwa na stress... Wengine wa natumia pesa kupata heshima... Ingawa heshima hiyo ni ya unafiki.. Maana heshima ya kweli huja pale watu wanapoona value yako ktk jamii kitu ambacho haki wezi tokea unless umekuwa wa msaada kwa wanadamu wenzio.
Yeah that's trueNilikuwa mbishi sana, ila naanza kuamini, no dirty hands, no prosperity!
Hata hao kina Bill Gates, wana mikono michafu balaa, sema wao wanavaa gloves kwenye kazi chafu, if you know what I mean!!