Tangia kuumbwa kwa dunia hii, wenye maarifa, akili (kufikiria 5x zaidi ya wengine), wenye subira, wenye kuthubutu hata kwenye hatari, wasiojionea huruma kwenye masirahi na nguvu ndiyo wenye uwezo wa kupata mali in abundant.
Haiwezekani kuapata mali (wealth) ukiwa legelege, mzembe, unajionea huruma n.k wazungu, waarabu, wareno n.k walisafiri kutoka bara Ulaya na Asia kuja Afrika kwa usafiri wa shida sana, bila ramani na walikuwa hawajui wanaenda wapi, wengi pia walifia baharini kwa njaa au kupigwa na dharuba.
Walipofika Afrika ilikuwa ni kujichukulia mali na kupeleka kwao, ilikuwa ni kumtumikisha mwafrika mwanzo mwisho. Mwafrika akawa bidhaa sokoni, yote hiyo ni kwa sababu ya kutaka mali.
Kwa aya hapo juu pima maendeleo ya Afrika na Ulaya au Asia, ni dhahiri wao wapo mbele kimaendeleo na tunakili kwamba waliiba Afrika mali walizo nazo, right?
Na bahati mbaya hata sasa wanaiba tu kwa namna ya kisasa, but still tunaibiwa.
Gap iko hapa, mtu akipiga madeal akafanikiwa anaacha, kupunguza au anaacha kukaa front anatumia watu wengine kufanikisha deals zake. Ukimuuliza atadiscourage kwa nguvu zote kupiga deal haramu, atahamasisha ufanye kazi kwa bidii sana na usikate tamaa.
To rich is easy but to be wealth ni mchakato wa miaka mingi. Kila mtu amewahi pitia utajiri kwa namna fulani kwa kiwango chake na level yake, but mtu mwenye mali ni next level aisee...na ili uwe na mali lazima usirubike na wengine wasirubike na waumie (kama vile vile Afrika tunavyoumia, mali inaenda Uarabuni na Ulaya).
Amini nakwambia, matajiri hawa tunaowaona, wamecheza kufa kupona za kutosha kufika walipo, wamedhurumu na kudhurumiwa pia, wameiba na kuibiwa pia, ila kila mtu amehold story yake (hiyo ni darkside) hatupaswi kujua.
Akina sisi tunajionea huruma na kujiona tunaijua sana dhambi na kuigopa tubaki kujikimu tu. Kumbuka kwamba hata ufalume wa mbinguni hupatikana na kwa nguvu na wenye nguvu ndiyo wanaoupata, sembuse MALI.