You cant be a rich, without shady or dirty deals

I agree
 
🤝🤝
 
Mbona 3M kidogo sana kuanza kufatiliwa!
 
Hizo ndio kauli za kimasikini Sasa shehe
 
Kwenye kila utajiri nyuma yake Kuna uchafu ambao umefunikwa na kaniki nyeusi usionekane.
 
Shoddy vs shady?
 
Behind every great fortune there is a crime-Mario Puzo from the book "The Godfather"
 
Ukiwa na mtaji wa kutosha na uzoefu ukijuimuisha na roho ya kijasiriamali inawezekana kufanikwa bila shady deals. Or at least that'swhat the western media want us to believe.
 
Wealth comes after serious and excessive exploitation and leveraging of other people or other people's resources.
Ni vile ukaambiwa ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia peponi.
True!
 
Sio kweli,ili niamini unachosema naomba listi ya matajiri na biashara na madeal yao machafu yaliyowasaidia kuwa hapo walipo?
Mfano tu, unaambiwa Manji alipewa tenda ya kusupply sare za jeshi nchi nzima kwa miaka kadhaa hapa Tanzania bila kufuata njia sahihi za tenda. Unadhani hiyo siyo deal chafu?
 
Ukiwa na mtaji wa kutosha na uzoefu ukijuimuisha na roho ya kijasiriamali inawezekana kufanikwa bila shady deals. Or at least that'swhat the western media want us to believe.
Shady doesn't necessarily mean uwe mhalifu asilimia mia moja.
 
Kwenye bara hili la giza. Nakubaliana na wewe.

Kwenye dunia ya kwanza. Talent inamfanya mtu kuwa tajiri wa kutupa. Angalia

Musicians
Footballers
Wacheza golf, tennis, basketball
 
Sijawai kutamani kuwa na hela hapa nilipo pananitosha
 
Kuloby viongozi wakupe tenda nao ni uhalifu. Hapo ni kujiongeza?
Ukifuata mifumo 100% hutoboi. This is why hata ukiona akina Asas, dewji na bakhresa hawajafuata mifumo 100% kufika walipo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…