Wananchi tunaongoza kwa 3 bila. Halafu Bosi nakutafuta kama shilingi ya Mkoloni.Ngapi hukoo, kila rakheri Yanga
Tatizo hamuanzishi uzi mapemaMods wana upendeleo hatuoni LIVE apo na updates za matokeo kama makolo wakicheza
Subirini kule Kirumba nyie πΈ πΈ, mtajua hamjui.Mpaka muda huu JUJU FC watakuwa wamejaa hofu kweli kweli! Wanajua na wenyewe wako kwenye foleni ya kuchomwa π za kutuliza maumivu.
Tarehe 28 hata siyo mbali eti π₯΅
Nipo mkuu mbona sijakuona, safi sana Yanga piga week haoπWananchi tunaongoza kwa 3 bila. Halafu Bosi nakutafuta kama shilingi ya Mkoloni.
Mbona hamjiamini?Mbeya kwanza wameamua liwalo na liwe saa hii wanasogea golini kwetu sio kama first half.
Kweli Mheshimiwa?Nipo mkuu mbona sijakuona, safi sana Yanga piga week haoπ
Kumbe nawe mwananchiπ€£π€£π€£π€£π€£Nipo mkuu mbona sijakuona, safi sana Yanga piga week haoπ
Muonee huruma huyuKumbe nawe mwananchiπ€£π€£π€£π€£π€£
Sasa sii ubingwa tusherehekee kwa kugegeduana
Hahahaaa. Mtani umenipania leo. π€£π€£π€£Mbona hamjiamini?
Tena mgegedo heavy zaidi ya ule wa mama JππKumbe nawe mwananchiπ€£π€£π€£π€£π€£
Sasa sii ubingwa tusherehekee kwa kugegeduana
πHahahaaa. Mtani umenipania leo. π€£π€£π€£
Hatujiamini wapi wakati ndo ukweli.
Mama j tutampiku tena by far dear usijaliTena mgegedo heavy zaidi ya ule wa mama Jππ
Ah wapi huyu mwenyewe anapenda kugegegduana....sii umeona anasema yetu iwe zaidi ya mama jMuonee huruma huyu
Kazi njemaAh wapi huyu mwenyewe anapenda kugegegduana....sii umeona anasema yetu iwe zaidi ya mama j
π€£π€£Uto wamejipatia kamseleleko
Mwaka huu mtaambulia tu lile kombe la bonanza la Mapinduzi. Makombe ya ukweli yote tunachukua wananchi.Uto wamejipatia kamseleleko