Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yusuph Athumani Ni Dogo Ana Kipaji Cha Hali Ya Juu Sema Baada Ya Zile Nafasi Alipata Majeruhi Ikamfanya Iwe Ngumu Tena Kupata Nafasi.

Naamini Akipewa Nafasi Tutapata Straika Hatari Sana Katika Hii Nchi Kwa Faida Ya Timu Yetu Ya Taifa Pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukilinganisha na wachezaji waliopo Yusuf ni mwepesi sana we jiulize atamuweka nani benchi.. Ngushi? Makambo? Au mayele?
 
Ukilinganisha na wachezaji waliopo Yusuf ni mwepesi sana we jiulize atamuweka nani benchi.. Ngushi? Makambo? Au mayele?
Sidhani kama twapaswa kuendelea na Makambo. Makambo mpaka sasa alichofanya ni kawaida, kama ulivyosema kuwa Yusuph Majeraha yalimzingua, ila ni bora angepewapewa nafasi huyu.

Nakubaliana na wewe kuwa Yusuph ni mzuri mno.
 
Sa sijui nani alitowa wazo la kumsajili huyu dogo? πŸ€”
 
Sa sijui nani alitowa wazo la kumsajili huyu dogo? πŸ€”
Kipaji chake, kwa kifupi ni kwamba yanga imefanya usajili kimkakati kwa kuangalia mahitaji ya sasa na ya baadae.
Kuna wachezaji wamesajiliwa mwanzoni mwa msimu na wameingia moja kwa moja kwenye kikosi kinachoanza
Pia kuna wachezaji ambao wamesajiliwa ili watumike hapo mbeleni kidogo kwakuwa umri wao utaruhusu kuwepo uwanjani kwa muda huo mfano huyo yusuph, nkane, Ibrahim bacca, na wenzao wanaotumika hata sasa kama kibwana shomari, Dickson job na mshery
 
Kweli usemavyo Mkuu.

Sema sasa ukikaa kuwaza hiyo nafasi yake iliyopo kwa hiyo baadae ikija kufika atakuwa kiwango cha kukidhi kupata nafasi. πŸ˜€πŸ˜€

Mie naona anapoteza muda tu sababu ikitokea tumechukua ubingwa mawazo yatakuwa kwenye Champions league ambapo inabidi tusajili wachezaji wakubwa zaidi hapo unadhani tutamuhitaji tena.
 
Ni kweli pia umeona mbali
 
Tatizo sasa Makocha wetu wanawapaga nafasi hawa wachezaji wa ndani? πŸ€”

Wengi wako kimatokeo zaidi kama mchezaji ni wakutizamiwa ndio inabidi kusugua benchi.
 
Hatimaye ile Semina ya siku tatu imeanza leo kwa wale wazee wa Red Card na Penalties. 🀣🀣
 
Bryson mgonjwa kma sikosei
Kikosi cha leo natamani kiwe hivi...

Golini;Msheri

Mabeki
Paul godfrei,Nondo,Bacca,Brysson

Viungo
Bangala,Aucho,sureboy

Washambuliaji
Ambundo,mayele,chiko ushindi.

Wewe una maoni gani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…