Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu dogo huwa ananisitisha [emoji848] hivi asivyopewa nafasi si ndio anazidi kuua soka lake sababu zile game mbili tatu alizopewa nafasi mwanzo alionekana ana kitu.

Wampage nafasi ndo hazina zenyewe hizi kwa Soka la Tanzania.
View attachment 2119755
Yusuph Athumani Ni Dogo Ana Kipaji Cha Hali Ya Juu Sema Baada Ya Zile Nafasi Alipata Majeruhi Ikamfanya Iwe Ngumu Tena Kupata Nafasi.

Naamini Akipewa Nafasi Tutapata Straika Hatari Sana Katika Hii Nchi Kwa Faida Ya Timu Yetu Ya Taifa Pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukilinganisha na wachezaji waliopo Yusuf ni mwepesi sana we jiulize atamuweka nani benchi.. Ngushi? Makambo? Au mayele?
 
Ukilinganisha na wachezaji waliopo Yusuf ni mwepesi sana we jiulize atamuweka nani benchi.. Ngushi? Makambo? Au mayele?
Sidhani kama twapaswa kuendelea na Makambo. Makambo mpaka sasa alichofanya ni kawaida, kama ulivyosema kuwa Yusuph Majeraha yalimzingua, ila ni bora angepewapewa nafasi huyu.

Nakubaliana na wewe kuwa Yusuph ni mzuri mno.
 
Kwa team kubwa kama yeng africans hatuna time ya kutumia mchezaji ambaye anatafuta namba au anacheza ilhali bado anakulia kiwanjani that's why tukatumia short term plan kusajili wachezaji kama kina mayele, moloko, djuma, aucho, bangala nk kwa maramoja wachezaji ambao wanakupa matokeo bila kutumia muda mwingi kuwafundisha wacheze vipi uwanjani
Sa sijui nani alitowa wazo la kumsajili huyu dogo? 🤔
 
Sa sijui nani alitowa wazo la kumsajili huyu dogo? 🤔
Kipaji chake, kwa kifupi ni kwamba yanga imefanya usajili kimkakati kwa kuangalia mahitaji ya sasa na ya baadae.
Kuna wachezaji wamesajiliwa mwanzoni mwa msimu na wameingia moja kwa moja kwenye kikosi kinachoanza
Pia kuna wachezaji ambao wamesajiliwa ili watumike hapo mbeleni kidogo kwakuwa umri wao utaruhusu kuwepo uwanjani kwa muda huo mfano huyo yusuph, nkane, Ibrahim bacca, na wenzao wanaotumika hata sasa kama kibwana shomari, Dickson job na mshery
 
Kutokana na pressure ya team kwa sasa katika kuukimbiza ubingwa na ukiangalia ugumu wa namba basi anatakiwa achague moja either kusubiri surprise ya mwalimu au aangalie future yake mahali pengine kama ulivyosema ila kwa mimi naamini bado nafasi yake ipo japo si sasa
Kweli usemavyo Mkuu.

Sema sasa ukikaa kuwaza hiyo nafasi yake iliyopo kwa hiyo baadae ikija kufika atakuwa kiwango cha kukidhi kupata nafasi. 😀😀

Mie naona anapoteza muda tu sababu ikitokea tumechukua ubingwa mawazo yatakuwa kwenye Champions league ambapo inabidi tusajili wachezaji wakubwa zaidi hapo unadhani tutamuhitaji tena.
 
Ni kweli pia umeona mbali
 
Yusuph Athumani Ni Dogo Ana Kipaji Cha Hali Ya Juu Sema Baada Ya Zile Nafasi Alipata Majeruhi Ikamfanya Iwe Ngumu Tena Kupata Nafasi.

Naamini Akipewa Nafasi Tutapata Straika Hatari Sana Katika Hii Nchi Kwa Faida Ya Timu Yetu Ya Taifa Pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sasa Makocha wetu wanawapaga nafasi hawa wachezaji wa ndani? 🤔

Wengi wako kimatokeo zaidi kama mchezaji ni wakutizamiwa ndio inabidi kusugua benchi.
 
Hatimaye ile Semina ya siku tatu imeanza leo kwa wale wazee wa Red Card na Penalties. 🤣🤣
20220215_123115.jpg
 
Bryson mgonjwa kma sikosei
Kikosi cha leo natamani kiwe hivi...

Golini;Msheri

Mabeki
Paul godfrei,Nondo,Bacca,Brysson

Viungo
Bangala,Aucho,sureboy

Washambuliaji
Ambundo,mayele,chiko ushindi.

Wewe una maoni gani..?
 
Back
Top Bottom