Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Wewe ukiwa kama kolo lialia unaona wapi na wapi?Utopolo na mechi ya Asec Mimosa wapi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ukiwa kama kolo lialia unaona wapi na wapi?Utopolo na mechi ya Asec Mimosa wapi na wapi?
Yusuph Athumani Ni Dogo Ana Kipaji Cha Hali Ya Juu Sema Baada Ya Zile Nafasi Alipata Majeruhi Ikamfanya Iwe Ngumu Tena Kupata Nafasi.Huyu dogo huwa ananisitisha [emoji848] hivi asivyopewa nafasi si ndio anazidi kuua soka lake sababu zile game mbili tatu alizopewa nafasi mwanzo alionekana ana kitu.
Wampage nafasi ndo hazina zenyewe hizi kwa Soka la Tanzania.
View attachment 2119755
Utopolo na BiasharaWewe ukiwa kama kolo lialia unaona wapi na wapi?
Chiko ushindi ni mzuri zaidi kuliko Moloko.Hivi Mkuu ulishaanza kumuelewa Chiko Ushindi mie bado etu kidogo kwanza kuona anafaa kwenye first eleven kwani hajachangamka japo anajitahidi kutengeneza nafasi.
Ukilinganisha na wachezaji waliopo Yusuf ni mwepesi sana we jiulize atamuweka nani benchi.. Ngushi? Makambo? Au mayele?Yusuph Athumani Ni Dogo Ana Kipaji Cha Hali Ya Juu Sema Baada Ya Zile Nafasi Alipata Majeruhi Ikamfanya Iwe Ngumu Tena Kupata Nafasi.
Naamini Akipewa Nafasi Tutapata Straika Hatari Sana Katika Hii Nchi Kwa Faida Ya Timu Yetu Ya Taifa Pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama twapaswa kuendelea na Makambo. Makambo mpaka sasa alichofanya ni kawaida, kama ulivyosema kuwa Yusuph Majeraha yalimzingua, ila ni bora angepewapewa nafasi huyu.Ukilinganisha na wachezaji waliopo Yusuf ni mwepesi sana we jiulize atamuweka nani benchi.. Ngushi? Makambo? Au mayele?
Sa sijui nani alitowa wazo la kumsajili huyu dogo? 🤔Kwa team kubwa kama yeng africans hatuna time ya kutumia mchezaji ambaye anatafuta namba au anacheza ilhali bado anakulia kiwanjani that's why tukatumia short term plan kusajili wachezaji kama kina mayele, moloko, djuma, aucho, bangala nk kwa maramoja wachezaji ambao wanakupa matokeo bila kutumia muda mwingi kuwafundisha wacheze vipi uwanjani
Kipaji chake, kwa kifupi ni kwamba yanga imefanya usajili kimkakati kwa kuangalia mahitaji ya sasa na ya baadae.Sa sijui nani alitowa wazo la kumsajili huyu dogo? 🤔
Kweli usemavyo Mkuu.Kutokana na pressure ya team kwa sasa katika kuukimbiza ubingwa na ukiangalia ugumu wa namba basi anatakiwa achague moja either kusubiri surprise ya mwalimu au aangalie future yake mahali pengine kama ulivyosema ila kwa mimi naamini bado nafasi yake ipo japo si sasa
Khaa! Nyie Mikia mkija za wananchi inakuwaga wapi na wapi?Utopolo na mechi ya Asec Mimosa wapi na wapi?
🤣🤣🤣 Hatari Mkuu.
Ni kweli pia umeona mbaliKweli usemavyo Mkuu.
Sema sasa ukikaa kuwaza hiyo nafasi yake iliyopo kwa hiyo baadae ikija kufika atakuwa kiwango cha kukidhi kupata nafasi. 😀😀
Mie naona anapoteza muda tu sababu ikitokea tumechukua ubingwa mawazo yatakuwa kwenye Champions league ambapo inabidi tusajili wachezaji wakubwa zaidi hapo unadhani tutamuhitaji tena.
Tatizo sasa Makocha wetu wanawapaga nafasi hawa wachezaji wa ndani? 🤔Yusuph Athumani Ni Dogo Ana Kipaji Cha Hali Ya Juu Sema Baada Ya Zile Nafasi Alipata Majeruhi Ikamfanya Iwe Ngumu Tena Kupata Nafasi.
Naamini Akipewa Nafasi Tutapata Straika Hatari Sana Katika Hii Nchi Kwa Faida Ya Timu Yetu Ya Taifa Pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi cha leo natamani kiwe hivi...
Golini;Msheri
Mabeki
Paul godfrei,Nondo,Bacca,Brysson
Viungo
Bangala,Aucho,sureboy
Washambuliaji
Ambundo,mayele,chiko ushindi.
Wewe una maoni gani..?
Kichwa kikubwa kama tofali la nchi 6