Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mm najua bdo mechi 10 nitangaze ubingwa na hapo simba ashinde zake zote.... sasa tumekubalika na Mungu
 
Bado tuna siku sita kuelekea game yetu na kmc,Tujuzane hali za majeruhi jamani,
Maana hawa kina boxer,zawadi,kaseke na yasin..mmh sio
Umeona Mkuu sababu kama game ya juzi na Geita ni vile tu tulipata bao mapema lakini kiwango tulichokionyesha kilikuwa cha chini mno. Yaani unajikuta gane nzima unaicheck kwa presha.

Ngoja tuone kama uongozi utatuhabarisha siku chache hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…