Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Umeonaee! Kikosi chetu kiko vizuri japo kwa sasa majeruhi ndo wanatusumbua.

Hahahahaaaa. Hao nyau nyau mwisho wao unakaribia Mkuu. Teh teh. Hiyo robo si ajabu wakaisikia tu. 😎
Kwani utopolo imezuiwa kushiriki hayo mashindano mbona hatuioni? Hakika utopolo ni utopolo.
 
20220326_100533.jpg
 
Back
Top Bottom