Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Ngombe anakuhusu nini Mtani. 🤣🤣[emoji16][emoji23] yule ng'ombe wa mchongo aliishia wapi mtani
Hivi jamani hizi game zinakuwaga na tija kweli au ndo ile tusikae bila kucheza?
Hivi jamani hizi game zinakuwaga na tija kweli au ndo ile tusikae bila kucheza?
Hiyo inaitwa match fitness! Bila hivyo mtachezea magoli mpaka mseme basi! Misuli huwa inakaza siyo kawaida!Hivi jamani hizi game zinakuwaga na tija kweli au ndo ile tusikae bila kucheza?
Ooh!!Zina tija maana wakikaa sana bila match wanapoteza match fitness
Mmh! Yanga ndo ya kuchezea magoli Mkuu?Hiyo inaitwa match fitness! Bila hivyo mtachezea magoli mpaka mseme basi! Misuli huwa inakaza siyo kawaida!
Ila ndo tutafutage timu za kueleweka basi na sisi.Pia inawaongezea confidence wale ambao uwa hawapati nafasi kwenye match za ligi
😁😁😂😂😂😂ila mwaka huu mnajiamini jamani! Hadi raha, Nyaunyaundiyo zinazidi kukonda pamoja na kuwa zinatafuta robo fainali!!Mmh! Yanga ndo ya kuchezea magoli Mkuu?
Umeonaee! Kikosi chetu kiko vizuri japo kwa sasa majeruhi ndo wanatusumbua.😁😁😂😂😂😂ila mwaka huu mnajiamini jamani! Hadi raha, Nyaunyaundiyo zinazidi kukonda pamoja na kuwa zinatafuta robo fainali!!