Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ongeza tafadhari.Ila niwe mkweli kuna muda natamani na sisi tufanye vizuri Kimataifa kama wanavyofanya Makolo sijui huwa tunafeli wapi? [emoji848]
Sijakuelewa hata Mkuu.Hebu ongeza tafadhari.
Mipango na malengo ila mi natamani kwanza tuchukue kombe la NBC ndipo tuwaze kimataifa...Ila niwe mkweli kuna muda natamani na sisi tufanye vizuri Kimataifa kama wanavyofanya Makolo sijui huwa tunafeli wapi? [emoji848]
Ni sahihi Mkuu. Nadhani uongozi kwa msimu ujao bado wana kazi kubwa pia sababu niliona sehemu wachezaji kibao mikataba yao mwisho ni msimu huu.Mipango na malengo ila mi natamani kwanza tuchukue kombe la NBC ndipo tuwaze kimataifa...
Naamini msimu ujao tutafanya poa ujue simba alipata bahati ya kuanzia round ya pili kwenye Club bingwa so alivotolewa akaangukia confederation kwa kibonde red arrows ndo akatua makundi...
Ila pia sisi wachezaji wetu hawakupewa nafasi ya kucheza kutokana na kucheleweshewa ITC so tusubiri next season coz tayari tutakua ni mabingwa inshaallah!
Yap tusirudie lile kosa la kusajiri tena kikosi kipya hii itatupoteza sana sema kama tukifanikiwa kuchukua kombe la ligi wachezaji wataendelea kubaki na wengine wakali zaidi watavutia kuja kujiunga nasi..Ni sahihi Mkuu. Nadhani uongozi kwa msimu ujao bado wana kazi kubwa pia sababu niliona sehemu wachezaji kibao mikataba yao mwisho ni msimu huu.
Hivyo kwa mbali naona tayari tuna wakati mgumu Kimataifa.
Ligi mnachukuaNi sahihi Mkuu. Nadhani uongozi kwa msimu ujao bado wana kazi kubwa pia sababu niliona sehemu wachezaji kibao mikataba yao mwisho ni msimu huu.
Hivyo kwa mbali naona tayari tuna wakati mgumu Kimataifa.
Simba hakupata bahati, alipangwa kuanzia round ya pili kwa kuwa ana kiwango kikubwa sana katika ranking za CAF, ndani ya ishirini bora huwa hakosi. Timu zilizoanza raundi ya awali ni zile zenye viwango duni kabisa katika ranking ya CAF na dunia, kama Yanga. Kwa hiyo usidhani ni bahati halafu na mwakani ukapangwa tena raundi ya awali ukaanza kusema CAF wanaipendelea Simba. Yanga ipo nafasi ya elfu tatu na kitu huko... ujue simba alipata bahati ya kuanzia round ya pili kwenye Club bingwa
Sijaona kwanini umenipinga kwani hiyo hoja ulioitoa ni ya uongo kabisa.. Kumbe hata hujui ilikuaje mkaanzia round ya pili mi sijasema mlipendelewaSimba hakupata bahati, alipangwa kuanzia round ya pili kwa kuwa ana kiwango kikubwa sana katika ranking za CAF, ndani ya ishirini bora huwa hakosi. Timu zilizoanza raundi ya awali ni zile zenye viwango duni kabisa katika ranking ya CAF na dunia, kama Yanga. Kwa hiyo usidhani ni bahati halafu na mwakani ukapangwa tena raundi ya awali ukaanza kusema CAF wanaipendelea Simba. Yanga ipo nafasi ya elfu tatu na kitu huko
Punguzen bahasha za kaki , utakuja niambia hapaIla niwe mkweli kuna muda natamani na sisi tufanye vizuri Kimataifa kama wanavyofanya Makolo sijui huwa tunafeli wapi? [emoji848]
Awapi bila janja janja za kupuliza dawa za kuwalegeza wapinzani nyie ni walaini sana ndo maana kipindi cha kwanza hua mnateseka sanaPunguzen bahasha za kaki , utakuja niambia hapa
Tuombe uzima tu, imarisha kikos , nenda vitan bila kona kona , faster tu unajikuta hapa tulipo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hizo dawa s na nyie mnunue?? Au mmekatazwa ?Awapi bila janja janja za kupuliza dawa za kuwalegeza wapinzani nyie ni walaini sana ndo maana kipindi cha kwanza hua mnateseka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya nini? Ya nini sie? Tutumie dawa ya nini? Bora tutolewe tuHizo dawa s na nyie mnunue?? Au mmekatazwa ?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Jenga timu acha ujinga, kikos huna unajifichwa kwenye upuuzYa nini? Ya nini sie? Tutumie dawa ya nini? Bora tutolewe tu
Pote nimekuelewa ila hapo kwenye bahasha za khaki una uhakika Mtani?Ligi mnachukua
Kimataifa ni rahisi sana kujua mlipo , ukipata mda hebu angalia mechi mlizocheza msimu huu ambazo sio za ligi kuu ,. Mtagundua hata next season huko kimataifa bado mtatolewa mapema tu
Kwakua tayar ligi iko mikonon mwenu , waambie viongoz wapunguze bahasha za kaki , mpate upinzan halisi mjue mapungufu yako wapi .. hamuwez fungwa mechi 3 zote ili mpoteze ubingwa, hiyo haiwezekani
Mkiendelea kuishi kwenye illusion ya performance ya ligi mtajikuta mnaangukia pale pale mlipo angukia vs River
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hakuna cha bahasha.Ligi mnachukua
Kimataifa ni rahisi sana kujua mlipo , ukipata mda hebu angalia mechi mlizocheza msimu huu ambazo sio za ligi kuu ,. Mtagundua hata next season huko kimataifa bado mtatolewa mapema tu
Kwakua tayar ligi iko mikonon mwenu , waambie viongoz wapunguze bahasha za kaki , mpate upinzan halisi mjue mapungufu yako wapi .. hamuwez fungwa mechi 3 zote ili mpoteze ubingwa, hiyo haiwezekani
Mkiendelea kuishi kwenye illusion ya performance ya ligi mtajikuta mnaangukia pale pale mlipo angukia vs River
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app