Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Punguzen bahasha za kaki , utakuja niambia hapa

Tuombe uzima tu, imarisha kikos , nenda vitan bila kona kona , faster tu unajikuta hapa tulipo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwenye kuimarisha kikosi ndio jambo sahihi ambalo hata na mie nakubali Mtani.

Japo sasa punguza kauli za kuudhi na wewee sababu inamana zile game zaidi ya tano mlizokuwa mnabebwa bebwa kwa kupewa penalties na wapinzani kupewa red card kwenye mechi za Ligi kuu mlikuwa mnatowa bahasha? 🙁🙁
 
Pote nimekuelewa ila hapo kwenye bahasha za khaki una uhakika Mtani?

Nanavyodhani mimi ni vile Kikosi chetu kimekuwa ni cha kubadilika kila msimu na hiyo ndio sababu huwa hatufanyi vizuri Kimataifa.
Ngoja nimkumbushe tu...
Digue diarra
Djuma shaban
Kibwana
Job
Mwamnyeto
Bangala
Sureboy
Feisal
Tibazonkiza
Mayele
Farid

Hapo ukitoa simba kuna timu gani hapa bongo itatusumbua kwa hilo kosi? Bado sub una Aucho,Ambundo,Nkane,Moloko aache tu utani bahasha ya kaki ni wao waliitumia enzi hizo hamna udhamini timu zipo hoi taabani coastal anakuja dar saa nane mechi saa kumi wanashinda 8 boko anafunga goli tano[emoji1787][emoji1787]... Sasa msimu huu mambo yamebadilika kwao wamejificha kwenye kivuli cha bahasha ya kaki serious???
Mfano ile mechi walifungwa moja bila na kagera je haikua uzembe wao? Au mechi wamekosa penati Pale uwanja wa karume musoma na biashara si umbumbumbu wao! Wasitulaumu sisi tunachukua ubingwa kihalali kabisaaaaa chini ya mtakatifu mayele...
 
Awapi bila janja janja za kupuliza dawa za kuwalegeza wapinzani nyie ni walaini sana ndo maana kipindi cha kwanza hua mnateseka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani kwenye hili watupe elimu ya kutosha sababu si ajabu ndo kinawasaidia hawa. 🤣🤣

Mana haiwezekani Kagera Sugar, Mbeya City wawalaze na viatu halafu kimataifa wang'are namna hii.
 
Pote nimekuelewa ila hapo kwenye bahasha za khaki una uhakika Mtani?

Nanavyodhani mimi ni vile Kikosi chetu kimekuwa ni cha kubadilika kila msimu na hiyo ndio sababu huwa hatufanyi vizuri Kimataifa.
Najua hutakubali ila hata humu humu kwenye huu uzi zipo picha za bahasha za khaki , anyway.. cha muhimu jengeni kikos, wachezaj wenu bora wasiondoke , keep them

Mjipange , hakuna ubaya wowote mkiiga mazuri ya Simba, ugenini tunaenda kuzuia au kufungwa goli chache... Ila wakija hapa tunalala nao mbele

Unaweza feli mara moja au mbili ila ukapatia mara kumi , system inafanya kaz sana hii

Tokea simba tuanze itumia miaka minne sasa unaenda watano , imewah feli mara moja tu vs Galaxy , hatujafungwa mchezo mwingine wowote hapa nyumban, ukiangalia ufanisi wa huu mfumo ni karibu 98% huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna cha bahasha.
Timu haikuwa na maandalizi. Ukizingatia ndo tulitoka kusajili. Tena wachezaji wengi wapya. Hakukuwa na muda wa kuzoena.
Pia kilikuwa kipindi cha covid. Wachezaji wengi walipotoka hawakuwa timamu. Ilibidi wafanyishwe mazoezi magumu,kabla misuli haijaachia wanakutana na mechi ngumu. Kosa la viongozi wetu ni kupeleka timu Morocco wakati hatukuwa na muda wa kutosha.

Simba pamoja na kupata muda wa kutosha wa mazoezi kwakuanzia raundi ya pili,bado mlitolewa.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mkumbushe pia wachezaji wetu kadhaa hawakucheza coz sajili zao za kimataifa zilizuiliwa...
 
Kwenye kuimarisha kikosi ndio jambo sahihi ambalo hata na mie nakubali Mtani.

Japo sasa punguza kauli za kuudhi na wewee sababu inamana zile game zaidi ya tano mlizokuwa mnabebwa bebwa kwa kupewa penalties na wapinzani kupewa red card kwenye mechi za Ligi kuu mlikuwa mnatowa bahasha? [emoji853][emoji853]
Hili swala la penalties ni makosa ya waamuz , hakuna timu ambayo haijanufaika nayo au kuumizwa nayo

Ila swala la mserereko wa mechi hilo sio waamuzi , n bahasha za khaki

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sijaona kwanini umenipinga kwani hiyo hoja ulioitoa ni ya uongo kabisa.. Kumbe hata hujui ilikuaje mkaanzia round ya pili mi sijasema mlipendelewa
1649054026968.png
 
Hakuna cha bahasha.
Timu haikuwa na maandalizi. Ukizingatia ndo tulitoka kusajili. Tena wachezaji wengi wapya. Hakukuwa na muda wa kuzoena.
Pia kilikuwa kipindi cha covid. Wachezaji wengi walipotoka hawakuwa timamu. Ilibidi wafanyishwe mazoezi magumu,kabla misuli haijaachia wanakutana na mechi ngumu. Kosa la viongozi wetu ni kupeleka timu Morocco wakati hatukuwa na muda wa kutosha.

Simba pamoja na kupata muda wa kutosha wa mazoezi kwakuanzia raundi ya pili,bado mlitolewa.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hatujatolewa , round ya pili hakuna kutolewa , tunagawana vyumba vya kuingia, wanao tolewa ni preliminary stage huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Najua hutakubali ila hata humu humu kwenye huu uzi zipo picha za bahasha za khaki , anyway.. cha muhimu jengeni kikos, wachezaj wenu bora wasiondoke , keep them

Mjipange , hakuna ubaya wowote mkiiga mazuri ya Simba, ugenini tunaenda kuzuia au kufungwa goli chache... Ila wakija hapa tunalala nao mbele

Unaweza feli mara moja au mbili ila ukapatia mara kumi , system inafanya kaz sana hii

Tokea simba tuanze itumia miaka minne sasa unaenda watano , imewah feli mara moja tu vs Galaxy , hatujafungwa mchezo mwingine wowote hapa nyumban, ukiangalia ufanisi wa huu mfumo ni karibu 98% huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Bila kuanzia round ya pili msimu huu mngekua wa hapahapa kama sisi tu.. Pia kumbuka sisi sio kua ni wazembe kiasi hicho hata nyie mlitolewa round ya kwanza tu na ud songo tena msimu uliopita mlikua mmetoka kucheza robo fainali.. So bahati pia inamata..
Sema mnachotuzi ni kua mkishafika kwenye makundi mnajua sana kuutumia uwanja wa nyumbani hapo sina shaka halijalishi mnatumia mbinu gani kushinda
 
Hakuna cha bahasha.
Timu haikuwa na maandalizi. Ukizingatia ndo tulitoka kusajili. Tena wachezaji wengi wapya. Hakukuwa na muda wa kuzoena.
Pia kilikuwa kipindi cha covid. Wachezaji wengi walipotoka hawakuwa timamu. Ilibidi wafanyishwe mazoezi magumu,kabla misuli haijaachia wanakutana na mechi ngumu. Kosa la viongozi wetu ni kupeleka timu Morocco wakati hatukuwa na muda wa kutosha.

Simba pamoja na kupata muda wa kutosha wa mazoezi kwakuanzia raundi ya pili,bado mlitolewa.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe Mkuu.

Nadhani ifikie hatua Uongozi wetu nao ufanye vitu kitaalamu na sio kwa kukurupuka sababu kiukweli hili la kwenda Morocco nalo ndo lilituharibia pia.
 
Bila kuanzia round ya pili msimu huu mngekua wa hapahapa kama sisi tu.. Pia kumbuka sisi sio kua ni wazembe kiasi hicho hata nyie mlitolewa round ya kwanza tu na ud songo tena msimu uliopita mlikua mmetoka kucheza robo fainali.. So bahati pia inamata..
Sema mnachotuzi ni kua mkishafika kwenye makundi mnajua sana kuutumia uwanja wa nyumbani hapo sina shaka halijalishi mnatumia mbinu gani kushinda
Kilicho tokea vs Galaxy ni ajali haikua uwezo, leo hata zipangwe mechi 10 mfululizo Simba vs Galaxy hakuna mechi hata moja utabet eti Galaxy amfunge Simba , ichezwe popote pale

Kuhusu swala la kutolewa preliminary round ndan ya miaka minne limetoka mara moja , so in other words chances za simba kutoka hatua ya kwanza ni 25% na chances za kwenda mbele ni 75%

Na Simba haiwez anzia huko round ya kwanza , ni round ya wajinga , unapiga mtu goli 10 , umaneni wenyewe huko kwanza mkisha chujana ndio mtakutana na Simba na wakubwa wenzie round zinazo fuata

Sawa lakini ndo mfungwe tatu kwa mkapa na hao unaowaita wajinga [emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja nimkumbushe tu...
Digue diarra
Djuma shaban
Kibwana
Job
Mwamnyeto
Bangala
Sureboy
Feisal
Tibazonkiza
Mayele
Farid

Hapo ukitoa simba kuna timu gani hapa bongo itatusumbua kwa hilo kosi? Bado sub una Aucho,Ambundo,Nkane,Moloko aache tu utani bahasha ya kaki ni wao waliitumia enzi hizo hamna udhamini timu zipo hoi taabani coastal anakuja dar saa nane mechi saa kumi wanashinda 8 boko anafunga goli tano[emoji1787][emoji1787]... Sasa msimu huu mambo yamebadilika kwao wamejificha kwenye kivuli cha bahasha ya kaki serious???
Mfano ile mechi walifungwa moja bila na kagera je haikua uzembe wao? Au mechi wamekosa penati Pale uwanja wa karume musoma na biashara si umbumbumbu wao! Wasitulaumu sisi tunachukua ubingwa kihalali kabisaaaaa chini ya mtakatifu mayele...
Nakazia wasome ulichoandika wapate kukumbuka.
 
Najua hutakubali ila hata humu humu kwenye huu uzi zipo picha za bahasha za khaki , anyway.. cha muhimu jengeni kikos, wachezaj wenu bora wasiondoke , keep them

Mjipange , hakuna ubaya wowote mkiiga mazuri ya Simba, ugenini tunaenda kuzuia au kufungwa goli chache... Ila wakija hapa tunalala nao mbele

Unaweza feli mara moja au mbili ila ukapatia mara kumi , system inafanya kaz sana hii

Tokea simba tuanze itumia miaka minne sasa unaenda watano , imewah feli mara moja tu vs Galaxy , hatujafungwa mchezo mwingine wowote hapa nyumban, ukiangalia ufanisi wa huu mfumo ni karibu 98% huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ni kweli mi nabakia kwenye kutengeneza Kikosi tu Mtani.

Japo huwa napata mashaka sana hilo jambo kutimia maana upande mwingine huyu GSM yupo kibiashara zaidi sababu hata huyo Mayele ni kama nimesikia yupo sokoni, hao kina Mwamnyeto , Farid, Kibwana Shomari wote hao mkataba unaisha msimu huu.

Hivyo nikilifikiria hilo kiukweli bado nakuwa na mashaka na kikosi cha Wananchi sababu kwa hali hiyo tunaeza beba ubingwa this time lakini msimu ujao tukauachia sababu ya Kikosi kuwa kipya.

Na hata huko Kimataifa si ajabu bado tukawa tia maji tia maji kama tulivyozowea.
 
Hili swala la penalties ni makosa ya waamuz , hakuna timu ambayo haijanufaika nayo au kuumizwa nayo

Ila swala la mserereko wa mechi hilo sio waamuzi , n bahasha za khaki

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ooh! Naona unavutia kwako.

Ikiwa kwenu ni makosa ya waamuzi ikiwa mserereko ni bahasha za khaki. 🙄🙄
 
Back
Top Bottom