Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila mwaka huu mnajiamini jamani! Hadi raha, Nyaunyaundiyo zinazidi kukonda pamoja na kuwa zinatafuta robo fainali!!
Umeonaee! Kikosi chetu kiko vizuri japo kwa sasa majeruhi ndo wanatusumbua.

Hahahahaaaa. Hao nyau nyau mwisho wao unakaribia Mkuu. Teh teh. Hiyo robo si ajabu wakaisikia tu. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…