π π πUmri Wa Kufanya Mambo Uwanjani Umeshamtupa Mkono
Hivi Mkuu huwa unasomaga hizo porojo? π
Endeleeni kuangaika na sherehe za sare na Yanga baada ya kujipanga kupigania nafasi yenu ya piliREPORT from ALLY MAYAI TEMBELE
"Ally Mayai Tembele, akizungumza [emoji2788] Nilicho kiona leo ni kwamba Yanga Sc hawawezi kucheza kimataifa na wakafanikiwa au kupata mafanikio wakiwa na wachezaji wa aina hii ni wakawaida sana walikuwa wakionekana wazuri kwakuwa walikuwa wakikutana na timu ndogondogo
[emoji2788] Yanga ili washindane na timu kama Orando Piratea, Al Ahly, au Tp Mazembe, wanatakiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa walionao
[emoji2788]Aucho, Mayele, Bangala, Feisal, kidogo ameonyesha ila hawa wote hawawezi kuwa na bato dhidi ya timu kama Al Ahly, Tp Mazembe, au Berkane,
[emoji2788] Simba ni timu bora sana zaidi ya Yanga tofauti na watu wanavyofikili kuwa Yanga ndio bora Simba Sc huwa wanafungwa na Mbeya City au Biashara, ni kutokana na kujisahau wakifikili kuwa ni timu ndogo au ni mbovu hivyo huwa hawajipangi ipaswavyo
[emoji2788] Yanga wao wanajipanga kila geam kwakuwa hawakutani na timu nyingi kubwa wao wakicheza iwe Mbeya City iwe Namungo wanazichukulia kuwa ni timu kubwa
[emoji2788] Wakati huo Simba wamesha ziweka hizi Namungo na wengine kuwa ni timu ndogo Simba wao wanaamini kuwa timu kubwa ni Al Ahly, Orando, na wengine wakubwa wa Africa na timu za hapa nchini hawazifanyii mazowezi kiujumla
[emoji2788] mchezo wao uliomalizika timu bora kwangu ni Simba Sc Yanga ndio walitakiwa kufungwa leo hiyo ni kwa mtazamo wangu mimi kama Ally Amayai [emoji3578][emoji120][emoji2][emoji2][emoji109]
[emoji2788] Kwa kuongeza hii leo kati ya Mayele, na Mugalu, aliyecheza mpira zaidi ni Mugalu, utofauti upo Mayele, amekutana nafasi nzur ameshindwa kuzitumia na Mugalu, amecheza zaidi mpira ila hajakuta na nafasi nzur ya kufunga
#JUMAHsports
Ukiziona tuu unajua ni porojo huwa sisumbuki kuzipitiaHivi Mkuu huwa unasomaga hizo porojo? [emoji3]
Hamna haja kuzipitia!Ukiziona tuu unajua ni porojo huwa sisumbuki kuzipitia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Saa hii wanashangilia ambavyo Mayele hajafunga goli kwanza. π πEndeleeni kuangaika na sherehe za sare na Yanga baada ya kujipanga kupigania nafasi yenu ya pili
Yaani timu nzuri imeshindwa kutengeneza nafasi nzuri kwa striker wao kuifunga timu mbaya, timu mbaya ikatengeneza nafasi nzuri kwa striker wao dhidi ya timu nzuri.
Uto mkipeana farajaHamna haja kuzipitia!
Na kiukweli hata haziwasaidii kitu.
Ulipoona Derby inakaribia ukakimbia jukwaa naona leo umerudi.
Uzuri wa tafsiri ya picha kila mmoja huwa ana yake.
Kale katoto huwa kanafanya makosa ambayo hayavumiliki. Mechi ya Azam tulifungwa goli kwa sababu ya uvivu wa yule mtoto. Toka aje Yanga amekosa nafasi za kufunga zaidi ya 4 za wazi, anataka ashoot huku amelala, sijui kwa nini. Ni mchezaji mzuri lakini anahitaji misimu walau miwili ili kucheza timu kubwa.Kale kataleta aibu huko mbeleni. Sa sijui ndo udogo. π€
Shukrani sana, hata hivyo sijawahi hofia uto ktk maisha yangu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulipoona Derby inakaribia ukakimbia jukwaa naona leo umerudi.
Welcome back Mtani. Tumemisi vichekesho vyako. [emoji1787]
Kweli kabisa. Hakatoshi Yanga.Kale katoto huwa kanafanya makosa ambayo hayavumiliki. Mechi ya Azam tulifungwa goli kwa sababu ya uvivu wa yule mtoto. Toka aje Yanga amekosa nafasi za kufunga zaidi ya 4 za wazi, anataka ashoot huku amelala, sijui kwa nini. Ni mchezaji mzuri lakini anahitaji misimu walau miwili ili kucheza timu kubwa.
Ooh! Usijali karibu tena Shem..Nipo shemela Shedeeya nilibanwa na ka-issue fulani hivi.
Haya ngapi ngapi huko? π€£π€£π€£Shukrani sana, hata hivyo sijawahi hofia uto ktk maisha yangu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2209706
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app