Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

REPORT from ALLY MAYAI TEMBELE

"Ally Mayai Tembele, akizungumza [emoji2788] Nilicho kiona leo ni kwamba Yanga Sc hawawezi kucheza kimataifa na wakafanikiwa au kupata mafanikio wakiwa na wachezaji wa aina hii ni wakawaida sana walikuwa wakionekana wazuri kwakuwa walikuwa wakikutana na timu ndogondogo

[emoji2788] Yanga ili washindane na timu kama Orando Piratea, Al Ahly, au Tp Mazembe, wanatakiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa walionao

[emoji2788]Aucho, Mayele, Bangala, Feisal, kidogo ameonyesha ila hawa wote hawawezi kuwa na bato dhidi ya timu kama Al Ahly, Tp Mazembe, au Berkane,

[emoji2788] Simba ni timu bora sana zaidi ya Yanga tofauti na watu wanavyofikili kuwa Yanga ndio bora Simba Sc huwa wanafungwa na Mbeya City au Biashara, ni kutokana na kujisahau wakifikili kuwa ni timu ndogo au ni mbovu hivyo huwa hawajipangi ipaswavyo

[emoji2788] Yanga wao wanajipanga kila geam kwakuwa hawakutani na timu nyingi kubwa wao wakicheza iwe Mbeya City iwe Namungo wanazichukulia kuwa ni timu kubwa

[emoji2788] Wakati huo Simba wamesha ziweka hizi Namungo na wengine kuwa ni timu ndogo Simba wao wanaamini kuwa timu kubwa ni Al Ahly, Orando, na wengine wakubwa wa Africa na timu za hapa nchini hawazifanyii mazowezi kiujumla

[emoji2788] mchezo wao uliomalizika timu bora kwangu ni Simba Sc Yanga ndio walitakiwa kufungwa leo hiyo ni kwa mtazamo wangu mimi kama Ally Amayai [emoji3578][emoji120][emoji2][emoji2][emoji109]

[emoji2788] Kwa kuongeza hii leo kati ya Mayele, na Mugalu, aliyecheza mpira zaidi ni Mugalu, utofauti upo Mayele, amekutana nafasi nzur ameshindwa kuzitumia na Mugalu, amecheza zaidi mpira ila hajakuta na nafasi nzur ya kufunga

#JUMAHsports
Endeleeni kuangaika na sherehe za sare na Yanga baada ya kujipanga kupigania nafasi yenu ya pili
 
Yaani
Propaganda

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Yaani timu nzuri imeshindwa kutengeneza nafasi nzuri kwa striker wao kuifunga timu mbaya, timu mbaya ikatengeneza nafasi nzuri kwa striker wao dhidi ya timu nzuri.

Sisi ni laiti kama tungezitumia vizuri nafasi tulizopata.
Wao laiti kama tungetengeneza nafasi.

Derby huwa haitumiki kupima ubora wa Timu.
 
MSIMAMO WA LIGI KUU

55. Yanga SC
54. Hakuna
53. Hakuna Tena
52. Huamini Au?
51. Labda Huko Chini
50. Shuka Tena
49. Wapo Mbali
48. Sio Mbaya Angalia Utawaona
47. Endelea Kuangalia
46. Sasa Unakaribia Mitaa Yao
45. Tena
44. Enhee!
43. Ewaaa!
42. Simba SC
 
Mwezi wa kukusanya Points zingine.
20220502_114705.jpg
 
Kale kataleta aibu huko mbeleni. Sa sijui ndo udogo. 🤔
Kale katoto huwa kanafanya makosa ambayo hayavumiliki. Mechi ya Azam tulifungwa goli kwa sababu ya uvivu wa yule mtoto. Toka aje Yanga amekosa nafasi za kufunga zaidi ya 4 za wazi, anataka ashoot huku amelala, sijui kwa nini. Ni mchezaji mzuri lakini anahitaji misimu walau miwili ili kucheza timu kubwa.
 
Kale katoto huwa kanafanya makosa ambayo hayavumiliki. Mechi ya Azam tulifungwa goli kwa sababu ya uvivu wa yule mtoto. Toka aje Yanga amekosa nafasi za kufunga zaidi ya 4 za wazi, anataka ashoot huku amelala, sijui kwa nini. Ni mchezaji mzuri lakini anahitaji misimu walau miwili ili kucheza timu kubwa.
Kweli kabisa. Hakatoshi Yanga.
 
Back
Top Bottom