Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20220504_174334.jpg
 
Yaani ndo mana walimfukuzaga kipindi kile. [emoji853]

Hivi tangia akae pale badala ya kocha kuna mechi tumeshinda kweli?
Tulishinda ile gemu kabla hatujacheza na makolo I mean Namungo ila kwa Tabu tu na vile tulikua na presha na game ilikua inafuatia
 
Aisee! Ila wacha tugange ya Tanzania Prisons sasa mana game ya leo imetukera mno mno.
 
Na Lile Goli Lingekubaliwa Sijui Ingekuwaje Saa ii, Sijui Ningekuwa Nimejificha Wapi Saiv Huku Mtaani Kwangu [emoji21]
Football game haiwagi hivyo, no guarantee mpaka filimbi ya mwisho na pengine ingewapa fighting spirit tukatoka 1-2 au 1-3. Mpira ni mchezo wa makosa na maajabu hutokea.
 
Back
Top Bottom