Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaze katuuza leo
Yaani ndo mana walimfukuzaga kipindi kile. 🙁Kaze katuuza leo
Tulishinda ile gemu kabla hatujacheza na makolo I mean Namungo ila kwa Tabu tu na vile tulikua na presha na game ilikua inafuatiaYaani ndo mana walimfukuzaga kipindi kile. [emoji853]
Hivi tangia akae pale badala ya kocha kuna mechi tumeshinda kweli?
Ovyo plusGame ya hovyo kabisa hii leo. [emoji853][emoji853]
Aisee! Ila wacha tugange ya Tanzania Prisons sasa mana game ya leo imetukera mno mno.Tulishinda ile gemu kabla hatujacheza na makolo I mean Namungo ila kwa Tabu tu na vile tulikua na presha na game ilikua inafuatia
Ingebidi ila Ndo Ivo Mkuu [emoji17]Points tatu zetu zipo hapa Mkuu.
Na Lile Goli Lingekubaliwa Sijui Ingekuwaje Saa ii, Sijui Ningekuwa Nimejificha Wapi Saiv Huku Mtaani Kwangu [emoji21]Game ya hovyo kabisa hii leo. [emoji853][emoji853]
Football game haiwagi hivyo, no guarantee mpaka filimbi ya mwisho na pengine ingewapa fighting spirit tukatoka 1-2 au 1-3. Mpira ni mchezo wa makosa na maajabu hutokea.Na Lile Goli Lingekubaliwa Sijui Ingekuwaje Saa ii, Sijui Ningekuwa Nimejificha Wapi Saiv Huku Mtaani Kwangu [emoji21]
Football game haiwagi hivyo, no guarantee mpaka filimbi ya mwisho na pengine ingewapa fighting spirit tukatoka 1-2 au 1-3. Mpira ni mchezo wa makosa na maajabu hutokea.Na Lile Goli Lingekubaliwa Sijui Ingekuwaje Saa ii, Sijui Ningekuwa Nimejificha Wapi Saiv Huku Mtaani Kwangu [emoji21]
Wazee wa mbeleko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya ngapi ngapi huko? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kihivi watajinyea wengiMkuu Huyu DullyJr Kwa Jinsi Mambo Yanavyoenda NBC Premier League Anaweza Kujinyea Ujue [emoji23]
Point gani?za ROSE MUHANDO?Kama kawaida nia tunayo kujikusanyia points zingine tatu leo.
View attachment 2211201
Mnanunua sana mechi utopolo dah,ila CAF hakuna timu ya kuhongwa hivyo kama kawaida yenu awali kabisa mnaenda mavumbini......Na Lile Goli Lingekubaliwa Sijui Ingekuwaje Saa ii, Sijui Ningekuwa Nimejificha Wapi Saiv Huku Mtaani Kwangu [emoji21]